Baada ya Sakina Datoo kuondolewa katika uongozi wa IPP media na Msaki kujiuzulu, mhariri wa makala Loy Nabeta naye ameandika barua ya kujiuzulu wiki iliyopita.
Je kulikoni IPP media
Wabunge walivalia njuga sana suala la kuanza utekelezaji wa miradi mingine ya barabara kama ule wa Dumila-Kilosa na Korogwe -Handeni na kuacha miradi ambayo imekuwa kwenye ilani ya chama kuanzia...
Ni katika harakati za kupambana na UKIMWI
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Celtel Tanzania, imetoa sh. milioni 40 kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, ikiwa...
Kova, aliliambia Ijumaa Wikienda juzi kwamba kitendo cha Mkenga kimemkwaza yeye kama kiongozi wa kanda ambayo koplo huyo anafanyia kazi, lakini pia ni aibu kwa jeshi la polisi.
Kamanda huyo...
Nilikuta picha ya Rais wetu katika Blog ya Michuzi akiwa katika mkutano pamoja na Rais wa RHODESIA,ukiangalia utaona kuwa Rais wetu anajaribu kujiweka mbali na Mugabe, hii inatokana na waingilishi...
Kwa muda mrefu pamekuwa na mawazo kuwa baraza la mawaziri ni kubwa . Hii inatokana na katiba kumpa Rais uwezo wa kuamua kuwa na ukubwa gani wa baraza hilo.
Ingekuwa vizuri, ikiwezekana (kabla ya...
Wana JF, My wife wangu ni kama amewahi kutumia hizi cream, sasa sijui kama kuna solution kabla mambo hayajaanza kwenda Kombo! Naomba msaada wenu wadau.
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA)...
Nawasilisha hoja ya ajira ya magaidi na majasusi.ambazo nadhani ziko wazi
Naposema magaidi na majasusi ninauhakia serikali yetu inaoa majasusi wakulinda utawala. serikali yetu ina majasusi wa...
ndugu zangu,
wakati wa kampeni za uchaguzi Jakaya Kikwete aliomba kura kwa wananchi wa Same Mashariki kwa ahadi kwamba atajenga barabara ya Mkomazi-Bendera-Kihurio-Ndugu-Gonja-Kisiwani-Same kwa...
Wadau kuna link hapo chini ambapo Obama ameweka wazi mishahara ya waajiriwa wa Ikulu yake. Nimeshaangaa kuona ni kitu public..wakati hapa kwetu ni siri kiasi na hatuna hakika kuna wafanyakazi...
nimejiunga na JF muda si mwingi uliopita naanza kugundua kuwa nimekuwa teja wa jamvi hili kila siku napenda kupitia na kusoma wakati mwingine na kuchangia mawazo hamuoni kwamba nimeanza...
Wakuu kama mjuavyo wikiend ilyopita maonyesho ya 'kimataifa' ya Sabasaba yalianza Dar na baadhi yetu nadhani tumebahatika kufika kule, pamoja na maana yake nzuri, maonyesho haya naona yana...
Naomba kufahamishwa kama wananyakazi hawa wa TBC ni ukoo mmoja na kwanini wote wawepo kwenye taasisi moja?
1. Tiddo Mhando
2. Evans Mhando
3. Neema Mhando
4. Rehema Mhando
Alitabiri kifo cha kiongozi na mtu maaraufu nchini kutokea mwezi Juni
Tayari wafuatao wametutoka:
Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi
Prof Haroub Othman
Kabla yao alitangulia Mwana...
Hivi bado tuna ngojera mashuleni kwetu! maana nikuwa mkali sana (Naipenda sana) kulumbana na kufoka foka yaani ngojera group member ipo siku hizi mashuleni? just curious kama kuna mtu ana data...
AMAZING OR WHAT
Do you know that, it is in the
American Costitution,
That if The Sultanate of Oman's Sultan Makes a visit to the USA
The President of The United States
Him Self has to be at the...
Spika aokoa jahazi la serikali kuhusu hoja ya Mbunge Selelii
Na Exuper Kachenje, Dar
WIKI mbili baada ya Mbunge wa Nzega, Lucas Selelii (CCM), kuwasilisha hoja kuituhumu Wizara ya...
Niliamka usingizini leo muda wa saa 9 kasoro usiku nikasikia TBC kipindi fulani kinaishiria.Kuna fundi wa nguo alikuwa akihojiwa,kwa kweli nahitaji mawasiliano naye yeye moja kwa moja au kupitia...
Kisanduku cheusi chapatikana Comoro
Imeandikwa na Mwandishi wa BBC.
Aina ya ndege iliyopata ajali.
Maafisa wa Ufaransa wanasema waokoaji wamepata kinasa sauti cha ndege...
Michael Jacksons death may trigger another wave of Jackson Mania. The first vestiges of this phenomenon have already appeared in Russia and Ukraine. The media of Ukraines Zaporozhskaya Region...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.