Ingawaje ninamiliki chumba kimoja bila sebule huku nikiwa na vifaa vichache kabisa vya umeme, lakini tayari chumbani kwangu kuna EXTENSION CABLES mbili ambazo ni mbovu!!
Je, wewe ndani kwako...
Kuna hili tatizo ambalo tukiliangalia na kulitatua ndani ya jamii yetu mabadiliko ya ya maendeleo ya kweli yanawezekana. Tatizo hili ni NIDHAMU YA WOGA
wengi tumeezaliwa na kulelewa kwenye...
BE AFRAID BE VERY AFRAID PEOPLE,
MAID OH MAID WHAT HATH THOU BROUGHT IN MY HOUSE
In a todays world, women have taken up challenges to emancipate themselves from the york of being full house...
Yemeni airliner crashes in Indian Ocean
Airbus 310 reportedly had about 150 people on board; fate unknown
msnbc.com news services
updated 2 hours, 35 minutes ago
SAN'A, Yemen - A Yemenia Air...
Kwa imani kubwa waliyokuwa nayo wanainchi kwa viongozi wao waliowachagua inaonekana kutoridhishwa nao.
moja,baadhi yao hawajawahi kurudi nyuma toka kuchaguliwa au wengine wameonekana wakati wa...
Wakuu najua wengi haswa wakazi wa DSM iwa mnafuatilia kwa makini maenyesho ya saba saba katika viwanja Mwl J.K Nyerere Mtoni..watoto kwa wakubwa ni muda muafaka wakwenda kuenjoy yataanza rasmi...
Vurugu Tunduma 88 watiwa mbaroni
*Ndugu wa marehemu wagoma
mwili wake kuchunguzwa
WATU 88 wanashikiliwa kwa tuhuma za kushambulia kituo cha Polisi baada ya kutokea mauaji ya...
Katika gazeti la Mwananchi toleo la leo, kuna habari yenye kichwa kisemacho "CCM wafanya mkutano kanisani, washambulia". Katika habari hiyo mwandishi kutoka Biharamulo anasema kuwa kundi la...
Wana JF nimeona uchambuzi umefanyika huko GP.
Nilipoangalia orodha ya hayo maamuzi yaliyowekwa sidhani kama yamewekwa kwa usahihi. Naona kama maamuzi muhimu makubwa yanayolitia hasara taifa hili...
Hivi karibuni nilitembelewa na rafiki yangu mmoja aitwae Mkude (Sio jina lake halisi) ambaye miaka ya tisini niliwahi kuishi nae jirani huko maeneo ya Mwananyamala, hapa jijini Dar Es Salaam...
Tips for eating while you workMany people find themselves having a quick lunch at their desk while trying to meet the day's deadlines. The bad news is that this can lead not only to poor...
Kuna hili tatizo ambalo tukiliangalia na kulitatua ndani ya jamii yetu mabadiliko ya ya maendeleo ya kweli yanawezekana. Tatizo hili ni NIDHAMU YA WOGA
wengi tumeezaliwa na kulelewa kwenye...
Wana Jf, Nilipokea kwa masikitiko makubwa habari ya kifo cha Sheikh Gorogosi. Ufahamu wangu unanishawishi niamini kuwa alikuwa mtu muhimu ktk BAKWATA ingawa sifahamu kiwango chake cha elimu...
George Kahama pamoja na akina Rupia ni moja kati ya ma UNTOUCHABLES bongo na wamekuwa immune for such a long time humu JF
Anyway kama mnavyojua kuwa yule bibie kwa jina la JILL amekuwa...
Kifungo kilivyowakatisha masomo wanafunzi Mara
Mobini Sarya
NI miaka 47 sasa imepita tangu nchi hii ijikomboa kutoka makucha ya wakoloni, lakini hali ilivyo sasa ni kama...
Wale wote walio kuwa wamepanda mbegu DECI Mabibo wanatakiwa kuliport mabibo tarehe 1 julai 2009 saa 4 asubuhi kuonana na wawakilishi wa serikali ili kupanga namna ya kurudishiwa mbegu zao.
Katika Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2009/2010 kuna kauli mbiu ya KILIMO KWANZA ingawa haijapewa umuhimu wa kwanza kwa kutengewa fedha nyingi.Hata hivyo mafanikio yake yatafikiwa kwa kupokelewa...
Jamani sijui wenzangu mna mtazamo gani juu haya mashirika ya niliyoyataja hapo juu ne mengine kama hayo katika kuwawezesha wananchi.
Binafsi naona mashirika haya kwa kiasi kikubwa...
Yametokea mapigano makali kati ya polisi na raia mji mdogo wa Tunduma mpakani mwa Tanzania na Zambia mida hii chanzo cha vurugu hizo kainzi ketu bado kanadodosa.
WAKATI jamii ikiendelea kufikiria hatima ya wachama zaidi ya 300,000 wa taasisi ya Deci, serikali imesema athari za taasisi hiyo ni ndogo kuliko za taasisi ya Peoples Unity for Development in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.