Hello there. I just wanted 2 let you know that please stay away from the beaches all around in the month of July. There is a prediction that there will be another tsunami hitting on July 22nd. It...
Katika jamii (makabila) nyingi hapa Tanzania watoto wanaozaliwa katika ndoa wanakuwa wa ukoo wa baba (Patrilineal system), na baba mzazi ndiye mwenye watoto. Lakini pia kuna jamii chache ambazo...
Uganda: Oil Reserves Rival Saudi Arabia 's, Says U.S. Expert
Date Posted: Tuesday 02-Jun-2009
By Edris Kisambira
Kampala - Uganda 's oil reserves could be as much as that of the Gulf...
Nemeona thread ya :Akina dada na salon za kiume!!
Je mnasemaje kuhusu akina KAKA kwenye SALON za KIKE? tena akina MAMA/DADA uzipenda sana SALO za aina hii, je kulikoni?????????
Wakuu,
Katika siku za hivi karibuni kumezuka kasumba ya karibu shule zote zilizoko katika mikoa ya kanda ya ziwa kuagiza waganda kwa ajiliu ya kufundisha katika shule nyingi zinazoitwa...
jamani mimi sikumwelewa vizuri mh heshimiwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Samweli sitta wakati akitoa rambi rambi za king of the pop marehemu Michael jackson ni kweli nakiri...
Kuna mtu aliniambia zamani kwamba Wahindi (wengi) hawawezi kukupatia chenji yako mtu mweusi (Mwafrika) baada ya kununua kitu dukani mwao kupitia mkono wao wa kulia. Niliambiwa sababu ni kwamba...
Siyo siri tena kuwa Wabunge wetu wameungana kupinga ufisadi.Wabunge wa CCM ambao wameonyesha njia katika mapambano juu ya ufisadi ni Selelii,Ole Sendeke,Kilango n.k.Jamani tuwaunge mkono ili...
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia summer njema wadau wote walioko ughaibuni. Hiki ni kipindi sasa cha kufurahia hali ya hewa kama uko TZ vile. Ukipita huko mitaani sasa barbecue kwa sana...
Nimefurahishwa na jambo moja ambalo kidogo linaashiria mwelekeo mzuri katika elimu yetu hapa bongo, miaka mitano iliyopita nakumbuka pale kwenye kitongoji changu ungesikia watoto waliofaulu darasa...
Kwa hili, nachukulia kuwa mtu yeyote aliyefanikwa kupata elimu ya sekondari na kuendelea ni MSOMI.
Nashangazwa kuona kuwa wasomi wengi wa Afrika wanakumbatia utamaduni wa kimagharibi kwa nguvu...
Suala la waalimu kugoma sii jipia maskioni mwa watu wengi.
Tulishuhudia mgomo wa waalimu Tanzania, na sasa waalimu Kenya nao wako kwenye mgomo.
Miaka ya nyuma hatukuwahi kusikia waalimu...
inna lillahi wainna illaihi rajihunna
marehemu profesa haroub othman miiraji
profesa haroub othman, mmoja wa wahadhiri waandamizi wa chuo kikuu cha dar es salaam, amefariki dunia asubuhi hii...
Kadri siku zinavosonga, Waafrika tunazidi kupoteza utamaduni wetu na historia pia. Nadhani ingekua ni jambo la hekima kuutunza utamaduni na historia yetu kwa ajili ya vizazi vijavyo. Wenzetu watu...
wanaJF
Nimepata simu kutoka kwa rafiki yangu mmoja ananiambia nyumba imeungua
maeneo ya Magomeni Kagera pia inasadikiwa kuwa familia imeteketea na moto
huo. Chanzo cha moto huo inasemekana...
Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Haroub Othman amefariki dunia leo alfajiri. Hizi ni taarifa nilizozipata kwenye TBC One. Kifo hiki ni pigo kubwa kwa wanasiasa na...
Amiri jeshi mkuu,mwenyekiti wa chama-that means mbunge yoyote atakaye ishutumu serikali anaweza fukuzwa uanachama then akapoteza ubunge,kinga ya kutoshtakiwa,............bonge la msululu wa mambo...
INNA LILAHI WAINNA ILAIHI RAJIHUNNA
kwamba Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi amefariki dunia katika ajali ya gari akiwa safarini akitokea Mtwara kwenda Lindi.
Kwa mujibu wa taarifa...
By Gatonye Gathura, Citizen Correspondent, Nairobi
Scientists have found a way of eradicating HIV infection from the human body by "smoking" out the virus from its hideout cells. The new...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.