Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Familia ya watu sita wilayani Monduli, mkoani Arusha kwa siku nne imelala nje, baada ya nyumba zao kuchomwa moto na wanaodaiwa kuwa maofisa maliasili. Watu hao wanaoishi Kata ya Monduli Juu...
0 Reactions
4 Replies
194 Views
Arusha. Mwili wa mtalii, Inbar Greidinger-Geisler (30), aliyefariki dunia kwa ajali ya gari ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro, umesafirishwa kwenda nyumbani kwao mji wa Tel Aviv, nchini Israel kwa...
2 Reactions
18 Replies
811 Views
Kwa watu waliowahi kusafiri na treni ya umeme toka ianze safari zake watakubaliana na mimi kuwa kwa hakika ni mradi mkombozi katika safari za haraka. Ticketi yako ikionyesha unatoka Morogoro saa...
6 Reactions
12 Replies
504 Views
Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami. Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara...
1 Reactions
5 Replies
222 Views
Kama mtanzania naandika hili machozi yakimwagika. Naumia kwa namna pesa nyingi za watanzania zilivyoteketea kwa kisingizio cha vitambulisho. Kipindi cha Kikwete pesa zililiwa hadharani. Kipindi...
4 Reactions
23 Replies
849 Views
Dar: NEMC na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wafanya Usafi Ilala Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki katika zoezi la kufanya usafi wa Mazingira lililofanyika katika...
1 Reactions
3 Replies
166 Views
Sadaka ni tenda la kiimani la kiroho .. Sadaka haitolewi kwenye nyumba za ibada tuu.. Hizi zenye imani juu ya Mungu moja na dini zake Sadaka pia hutolewa kwa miungu Sadaka pia hutolewa na wapagani...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Kumekuwa na mjadala mzito katika jamii yetu kuhusu tabia ya hospitali, iwe za umma au binafsi, kuzuia miili ya wapendwa wetu waliotutoka mpaka familia iweze kulipa madeni yaliyosalia. Wengi...
1 Reactions
1 Replies
135 Views
Salaam / Shalom!! INTRODUCTON. (Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9). NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho. Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni...
42 Reactions
378 Replies
11K Views
Anonymous (1806)
Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo. Pia kuna kipindi wanakuja...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
au Uchaguzi huu wa CHADEMA ni sehemu ya Utendaji wao (kwa Kipaumbele) na kwamba yale mengineyo ya Kimsingi kwa sasa si Kipaumbele chao?
3 Reactions
3 Replies
210 Views
Habari za muda huu wanajf, once again nimepitia kitabu cha bwana kabendera mengi alioandika ni maisha ya kibinafsi ya aliekuwa rais wetu JPM . Nimekaa nikatafakari yalioandikwa nimeona kabisa kuna...
2 Reactions
0 Replies
154 Views
Kati ya vitu vilivyonisumbua, hasa miaka ya nyuma nilipokuwa nikienda ugenini vijijini, ni suala la kuswaki kwa kutumia maji yaliyowekwa kwenye beseni/ndoo ya kuogea. Tokea nikiwa mdogo...
4 Reactions
24 Replies
893 Views
Anonymous (736e)
Naomba kutoa kero yangu juu ya adha kubwa ya maji eneo la Nyegezi na viunga vyake! Kimekuwa na kero kubwa sana ya maji Nyegezi kiasi kwamba tunajiuliza watendaji wa Idara ya Maji eneo la Nyegezi...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Tabia yake ya kuzusha na kuongopa mambo mbalimbali dhidi ya serikali sikivu ya CCM, dhidi ya viongozi wa CHADEMA Taifa na dhidi viongozi mbalimbali wa umma, wa vyama vya siasa n watu binafsi...
1 Reactions
38 Replies
910 Views
Wadau Kama mlivyosoma kichwa cha habari juu tupeane mawazo mbalimbali kuhusu hili jambo Je kwa mtaji wa tuseme wa Milioni 500 hadi Bilioni moja, ni biashara zipi ambazo zinaweza kua endelevu...
7 Reactions
23 Replies
772 Views
Mungu anasema na Taifa Mungu anasema na wale wapunga pepo na kusema Taifa halitokuwa chini ya wapunga pepo Taifa litakuwa chini ya mkono wake hodari mkono alio losimika Taifa la Tanzania mkono wa...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Wanabodi, Leo ni sikukuu ya Eid El Haji, Iddi ya Kuchinja. Leo ni siku ya Sikukuu ya Idd El Haj, ni iddi ya kuchinja, asubuhi nilikuwa naangalia matangazo ya mubashara ya Baraza la Iddi kupitia...
29 Reactions
1K Replies
22K Views
Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli...
20 Reactions
117 Replies
4K Views
Back
Top Bottom