Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya...
USIKATE TAMAA
Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa.
Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake.
Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa.
Ni dhambi...
Jumla ya maafisa afya ngazi ya jamii 66 waliopangiwa wilaya ya Biharamulo wanaomba uwasaidie warudhishiwe pesa zao kiasi cha 740400tsh kwa kila mmoja waliodanganywa na kutapeliwa na mganga mkuu wa...
1. Yesu alijulikana kuzaliwa kwake itakuwa wapi, atakavyofanyakazi zake na kuondoka hapa duniani itakuwaje kwake kupitia maandiko (Biblia).
2. Hata ujio wake wa mara ya pili, utakuwa ni ule ule...
Amani kwenu
Salamaleko
Yule mhubiri wa kiislamu kaishia wapi
Mbona simsikii je kwa mkapa alieenda?
Na walihudhulia watu wangapi
Mbona hatupean update
LONDON BOY
Katika likizo yangu ya hivi karibuni nikiwa Mwanza, nilitembelea Soko la Kayenze maarufu kwa jina la "Soko la Wakulima," lililopo Wilaya ya Magu, nilishangazwa na hali mbaya ya uchafu iliyokithiri...
Habari Wapambanaji wa Nguvu?
Leo tukate ubishi na ngebe Kwa kupambanisha Miji hii miwili inayofanana Kwa vingi ikiwemo mfano Miji yote iko pembezoni ya Milima na Ina idadi ya watu wanaolingana...
Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu.
kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho...
DSM ni jiji kubwa sana lenye mchanganyiko wa tamaduni kibao, watu wa mataifa wengi, fani nyingi, n.k. Halai hii imewea kuruhusu kuonekana ni jambo la kawaida mwanaume kusuka, kuvaa hereni, kuvaa...
Si wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.
Niliwahi kuripoti...
Katika dini mbili za mapokeo na nyemelezi, ukristo na uislam, kuna vitu viwili vinanipa taabu kidogo.
Mosi, ni urafiki wa Yesu na wanawake wawili toka Bethania ambao walionekana kuwa karibu naye...
Wazima humu?
Mimi huwa na utaratibu wa kutoka na mwanangu asubuhi kumpeleka shule kila siku na huwa natoka nae kuanzia saa moja huwa tunapanda bajaji au bodaboda, sasa leo tukiwa tunatembea kuona...
Ni vizuri kuwa diaspora ila kama huna kazi inayoeleweka huko au umeenda kinyemela na kupelekea kuishi kwa kubahatisha kiasi cha Cha kukosa makazi (homeless) hiyo ni hatari sana.
Katika kipindi...
Wakuu niwape pole kwa maafa yalioikumba nchi yetu kufatia kuporomoka kwa jengo la biashara mjini dar es Salaam mitaa ya kariakoo na pia natoa wito kwa vyombo kuharakisha uokozi ili watu walio...
Miaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu..
Nuhu alitengeneza Safina, Chombo kilichobeba Viumbe hai, jinsia ke na me zaidi ya milioni saba
mpaka sasa hakuna Mwanadamu...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amekabidhi Hati za Haki Miliki za Kimila kwa wananchi 700 wilayani Ikungi mkoani Singida ambapo amewataka kuzitunza Hati...
Habari wanajamvi.
Leo nimewaza sana na kujiuliza sana umuhimu wa waliobobea katika sayansi ya jamiii wako wapi? Na mchango wao katika jamii ni upi?
Sisemi kwamba hawa wataalamu hawajafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.