Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwemaa. wazoefu nifanye nini ili nisipigwe na kitu kizito hapa hawa nahisi ni wanaija.
3 Reactions
18 Replies
660 Views
Utasikia watu husema kuna watu wana jicho la tatu au macho ya rohoni; hawa huwa ni watu ambao wanaweza kumuangalia mtu na kupata hisia fulani, ikiwemo kama huyo mtu anaweza kuwa na nia mbaya au ni...
2 Reactions
7 Replies
251 Views
Kuna dhana ipo katika watu wengi kuangaika kutuma maombi yao kwa Mungu (ulimwengu wa kiroho) ili kuweza kupata majibu ya maombi yao. Tatizo ni jinsi ya kutuma maombi. Shida kubwa kwa watu ipo...
3 Reactions
8 Replies
683 Views
Huku kwetu katika mitaa ya Manispaa ya Songea kuna wimbi la wizi wa Mita za Maji na kila aliyeibiwa anatakiwa kulipia Sh elfu 45 ili aweze kufungiwa mita nyingine. Tunajiuliza huu ni mchezo ambao...
1 Reactions
4 Replies
450 Views
Hivi karibuni watumishi katika idara mbalimbali wamekuwa wakipokea meseji kutoka NMB Benki zikiwataka kukopa hadi milioni 200 huku Benki ikijua kuwa watumishi hao hawakopesheki kutokana na mikopo...
6 Reactions
18 Replies
622 Views
I WILL BE SHORT Wengi tunasubiria hii complex ifunguliwe , naona tarehe inasogea , it was december , naona now kimya ?? When are they planning on opening this complex ,watu tufungue biashara...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
Naam ndugu zangu katika Imaan. TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan. Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji...
56 Reactions
179 Replies
7K Views
JOHN Chibuga (31), mkazi wa Kijiji cha Bugolola wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza, ambaye Desemba 9, mwaka jana aliachiliwa kwa msamaha wa Rais, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari wadau,iv iz elimu za kusoma nyota ,kuangalia kiganja cha mkono ni sahihi au ni za upande wa giza?maana wengine wanasema sio za giza ila unaweza kuzitumia vizuri,dhambi ni pale unapotumia...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Serikali au Wizara husika angazieni kwa kufuatilia uhujumu uchumi unaoendelea katika soko kubwa kabisa Tanzania la Kariakoo. Utaratibu ambao sio rasmi ila unafuatwa upo hivi, Kariakoo kwa mtu...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Baadhi ya Wananchi kijiji cha Kagunga Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi wamelalamika kufyekewa hekari 60 za mahindi jambo ambalo wamedai kuzorotesha ukuaji wa sekta kilimo na kujikwamua...
1 Reactions
1 Replies
190 Views
Naona bwana mkubwa Ulega anaendelea kujitengenezea mazingira ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Yani yupo tayari kusomesha wanafunzi. Haya tunasubiri tuone itakuwa mwendelezo au ndiyo lambisha...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeongeza muda wa mwisho wa usajili kwa taasisi zote za umma na binafsi ambazo hazijajisajili kabisa na ambazo hazijakamilisha hadi kufikia tarehe 30...
1 Reactions
1 Replies
224 Views
Je, unajua kwamba karibu na Ziwa Eyasi nchini Tanzania, kuna kabila la kale la watu takriban 1,000 ambao ndio wawindaji wa mwisho waliosalia nchini? Wahadzabe wameishi maisha mengi kama...
2 Reactions
9 Replies
434 Views
Nyie haya mambo yakubeti mtu asije kusubutu kama anajua hela yake ni ya mawazo Jana ilikua nusu nife kwa presha kwasababu ya betting. Sikuhiyo nimekaa na mtu wangu waheshima kabisa...
5 Reactions
15 Replies
570 Views
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect...
27 Reactions
137 Replies
6K Views
Anonymous (e2cf)
Eneo Mbutu limekuwa sehemu kuu ya kuchimbwa vifusi kwa ajili ya ujenzi mbalimbali. Hatari kuu kwa watumiaji wa barabara ni haya malori kujaza vifusi kupita kiasi kinachotakiwa na hakuna hatua...
0 Reactions
1 Replies
132 Views
Mwaka 2025 Divorce lawyers wanakwenda kuwa Mabilionea. Wateja (watarajiwa) 1. Wolper, 2. MC Pilipili, 2. Sister P.
2 Reactions
17 Replies
794 Views
Anonymous (e50f)
Yaani kwa mwezi tunaweza kupata maji mara moja, na maji yenyewe yatatoka masaa mawili au chini ya hapo, na pressure inakuwa ndogo sana. Ukiwauliza watu wa DAWASA hawana majibu ya kueleweka...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Back
Top Bottom