Natamani waziri husika awaelekezi hivi; Wanapofika maeneo ya vijijini ambapo wananchi wamehamasika kwa gharama zao wenyewe wakajitengenezea miradi yao ya maji safi, wasiwaingilie miradi yao.
Hii...
Yaani hawa dawasa ni upuuz,wajinga,wazandiki. Hawa watu sio binadam wa kawaida. Hawajali ubinadam utu haya wala nidhamu.
Maji yapo kufungua hawataki. Watafungua dakika chache mno na kuyafunga...
Kumchelile? Kwali mwenga!
Kila nikipita humu JF lazima nikutane na Uzi unazungumzia ukatili wa mwarabu. Miaka yangu yote ya kuperuzi humu jf imekuwa hivyo. Na zaidi ni kwa namna gani waarabu...
1.Kung’ata kucha.
2.Kuliza viungo vya mwili (Cracking joint) kama vidole nk.
3.Kuvuta maneno “ummm” au “aaaaah” kila unapotaka kusema jambo. Mfano aaaah unajua… ummm sio kweli…
4.Kulamba...
Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za...
Wakuu Kwema? Bila shaka muko salama.
Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda...
DAR ES SALAAM; MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema ana sifa na uwezo wa kuongoza nafasi ya uenyekiti kwa weledi.
-
Lissu amesema kutokana na...
Nazidi kuomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti hii ni zaidi ya mara ya tatu naandika hapa.
Kutoka Nyahigi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza tunateseka maji yanatoka kwa week mara moja ambayo ni...
Mheshimiwa mkuu wa mkoa, sisi wakazi wa Kiseriani hasa maeneo ya Kilimani tuliungiwa maji mwezi wa tatu mwaka huu.
Ajabu maji yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku. Hatuelewi kisa cha kuungiwa...
Licha ya Waziri Aweso kusema maji yawepo weekends, huku Morogoro hawafanyi hivyo. Mtaa wa Mfuruni kwa mama Milinga tunapewa maji siku Moja kwa wiki ambayo ni ijumaa tu tena masaa mawili au chini...
Wiki mbili zilizopita kulitokea changamoto ya bomba la maji kupasuka maeneo ya Maili Moja – Kibaha, hali hiyo ikasababisha maeneo mengi kukosa maji, tuliporipoti DAWASA – Kibaha kila siku wakawa...
Wananchi wa mkoa wa Mwanza hususani wilaya ya Ilemela na Nyamagana tunapitia katika kipindi kigumu cha upatikanaji wa huduma ya maji licha ya mradi mkubwa wa uzalishaji maji kata ya Butimba...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake...
Bodaboda ni jeneza linalotembea barabarani.
Japo wanasiasa wanawapa majina ya kuwamotisha -MAAFISA USAFIRISHAJI- Muda wowote watu wanaweka turubai tayari kwa mazishi.
#Tuchukue tahadhari#...
Nije Moja Kwa Moja kwenye mada. Nahitaji kujua ni maeneo au eneo gani iwe Eilaya/Kata au kijiki/mtaa ambalo hawajafikiwa kabisa na huduma ya maji ya mamlaka, na Wakazi wake wanatumia maji ya...
Leo Jimbo Katoliki Moshi lilikuwa na Upadrisho wa mashemasi 18 katika Ibada ya misa hiyo ambayo iliiongozwa Askofu Mkuu huyo mstaafu wa wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam.
Mwisho wa Ibada...
Jana bana baada ya kazi kumbe nilipita bar flani kusuuza koo.nikapiga konyagi kubwa ile nikazima,sasa muda umeenda wahudumu wakaniamsha kuwa wanataka kufunga niondoke,me kwa utani nikawaambia...
Watumishi wawili wa ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Arusha wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru wakituhumiwa kwa mashtaka mawili, likiwemo la kumvua nguo na kumpiga picha za utupu mwandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.