Nimeambiwa unafokafoka hapa, unadhani we nani, ondoka hapa.
Nimekwenda pale jana ikapimwa uziti Ile sanamu nikaambiwa nilipe Sh.100,000( laki moja).
Sina laki moja, nikaanza kuondoka. Nikaambiwa...
Hii changamoto tulisha itolea taarifa kwa Viongozi wetu wa Serikali za Mtaa lakini hakuna mabadiliko yoyote, barabara hiyo iliyoharibiwa na mvua kubwa ya mwaka Jana (2024) na vipindi vingine tena...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu.
Soma Pia: Dkt...
Hii imetangazwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka huyo Aretas Lyimo.
Ilikuwa ni operesheni ya Dec. 2024,ambapo pia walinasa crystal meth 224 kg katika fukwe za Bahari ya Hindi
Meth ni stimulant ya...
Kama aumewahi kusikia ama bado basi nakukumbusa kuwa kuna Kisiwa kinaitwa Pitcairn ambacho ndicho kisiwa pekee Duniani chenye wakazi wachache katika Bahari ya Pasifiki Kusini kikiwa kimejitenga na...
Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu.
Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra...
Nina rafiki yangu ambaye aliweka pesa katika Benki ya Umoja wa Afrika huko Senegal kwenye kadi yake ya ATM, anataka kunipa pesa na mimi nipo Tanzania nifanyaje
Habarini.
Wazoefu wa shared office niko na startup yangu, hivyo niomena ni bora nipate shared office kwa miezi hii ya mwanzo kuliko kupanga office nzima maana gharama zitakuwa kubwa.
Hivyo...
Hata hapa Tanzania kama hamtajifunza kwa wenzenu wa nchi za Ulaya na Marekani mtapoteza influence sana miaka michache ijayo
Kumbukeni Gene Z, Gen Alpha na sasa Gen Beta sio kizazi kitakacho...
Jana usiku nilifuatilia mjadala wa Hoja yenye kichwa cha habari kinachohusu Mtaala Mpya katika Shule za Sekondari ambayo inasisitiza "Elimu Ujuzi". Nia ya mpango huu ni nzuri kabisa na...
Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi
Fanya hivi
Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua
Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji.
Kisha kajiangalie katika kioo...
Hizi habari za siku sita zilizopita. Imetokea Mfukoni location,sub section Kinoru.
Huyu mtu Musanga amemkata shingo Bwana Muthomi kwa kuthubutu kumfuata mke wake Linat Karemi.
Amemkata shingo...
Hivi hizi online media nani anazi-regulate? Nyingi zinaandika upumbavu! Hebu fikri Hutu mwandishi anayejua mpaka leo kwamba kocha wa Yanga ni Nasredine Nabi anajitambua Hutu? Yaani mpaka ameondoka...
Anasema mimi ni kusudio la Mungu, hata siku zilizopita alipata maono kuhusu mimi. Nimemuacha akiwashawishi waumini wanipigie kura mwaka huu.
Mtume na Nabiii ametisha, atapata mwaliko bungeni...
Kwenye maandiko ya biblia tunasoma kwamba Yesu aliibariki mikate mitano kulisha watu elfu tano wakala na wakashiba iliwezekana vipi?
Mathayo 14:19-20
Akawaagiza makutano waketi katika majani...
Nimeshaona post kadhaa siku za nyuma vijana wa Kariakoo kupotea wakati nipo kwenye daladala ilibidi nimuulize jamaa mmoja kipindi cha nyuma kwanini vijana wa Kariakoo wanapotea sana, akasema...
Jamani kwa wale ambao mmewahi kuishi uchagani, watu wa huko wanafundishwa nini kuhusu pesa?
Watu karibia wote wanaotoka uchagani ni wafuatiliaji wazuri sana wa pesa.
Jamii zote zinapenda pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.