Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Anonymous (2655)
Mimi ni mkazi wa Kigamboni, na tunakabiliwa na changamoto ya barabara ya kutoka Mjimwema hadi Dege. Barabara hii ipo karibu na makazi ya watu, na katika ukarabati wa sehemu zilizoharibika, lami...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Wakristo wanatumia maandiko gani kukataa kutoa uhalali wa wana ndoa kutalakiana hata kama mke kafanya kosa la kunyanduliwa na njemba nje ya ndoa ilihali biblia imeruhusu kuacha mke kwa uzinzi...
3 Reactions
28 Replies
797 Views
Daraja la Mto Tegeta linalounganisha maeneo ya Salasala na Tegeta Machinjioni limekuwa kikwazo kikubwa kwa Wananchi wa maeneo hayo tangu lisombwe na maji ya mvua mapema Mwaka 2024. Licha ya...
0 Reactions
1 Replies
364 Views
Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano. Kaaply...
62 Reactions
302 Replies
9K Views
Viumbe vyote chanzo chake ni nishati/nguvu/energy/roho iliyounda chembechembe, chembe zikaunda ulimwengu na ndani ya ulimwengu zikaunda viumbe, kiumbe imetokana na atom yenye...
8 Reactions
73 Replies
915 Views
Wadau hamjamboni nyote? Wote ni Watoto wake japo uwezo umetofautiana Wakijijini kakata kuni, kachota maji, kakaribisha wageni, Katoa ulinzi kwa wageni na siku zote yupo na baba akimtunza. Huo...
2 Reactions
16 Replies
396 Views
Nimefanya utafiti kuhusu suala la mazingira katika maeneo mengi ya Kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza na hiki ndicho nilichobaini: 1. Taka zenye kemikali eneo la Soko la Samaki na Kamanga...
1 Reactions
0 Replies
235 Views
Usimfanye mtoto wako kuwa mtoto wa kambo, alelewe na baba au mama ambaye sio wake. atakosa amani, uhuru na furaha kwa miaka yake yote ya utoto mpaka atakapojitegemea. Anaandika, Robert Heriel...
14 Reactions
43 Replies
2K Views
1. Kipo kikundi kinajiita Royal Family. 2. Jamaa Wana ukwasi sio poa. Kwa namna wake zetu walivyo macho juu na tamaa aisee hii ni hatari tupu - WADHIBITIWE --Chief Godlove, Lugumi Undeni group...
20 Reactions
153 Replies
8K Views
Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi. Haya...
20 Reactions
254 Replies
8K Views
Husika na mada tawa hapo juu, huu ni mwaka Wa pili, chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekataa kutoa kadi ya bima kwa wanafunzi. Huwezi kufanyiwa registration hadi ulipe ela ya bima na costs...
7 Reactions
29 Replies
796 Views
imeandikwa kurudi kwa yesu hakutakuwa kwa siri yeye atarudi kila jicho litamwona na mtu akikwambia yupo mahali flani msisadiki wala msimsikilize yesu atarudi na ufalme wote wa mbinguni atakuja...
2 Reactions
8 Replies
288 Views
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha. Tabia ya mbwa hawa...
17 Reactions
97 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewafungia leseni madereva 30 kati ya 179 waliokamatwa katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025. Madereva hao 30 walikamatwa...
1 Reactions
11 Replies
306 Views
Wakati mwingine ukipanda husikii chochote na wakati mwingine ukipanda Gia na breki zote unazisikia, yaani mishituko ya hapa na pale.
1 Reactions
8 Replies
385 Views
Anonymous (ed6f)
Hatujalipwa pesa zetu za korosho wa mnada wa 8,9 Newala kitangari ,tangu mnada umepita ni mwezi sas na hakuna taarfa zozote zinazotolewa kwa katimu wa chama cha msingi Limanga
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Wale wasioamini kwamba Mungu yupo, someni kwa makini sababu hizi 10 zinazothibitisha uwepo wa Mungu. Asiyeelewa lugha iliyotumika atumie google translator, itampa tafsiri ya Kiswahili: 1. Orderly...
35 Reactions
692 Replies
9K Views
Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho kuhani amsaidie maeneo ya temboni kuelekea kwa...
42 Reactions
211 Replies
6K Views
Wamiliki mbwa hasa wa mjini wanaofuga mbwa kama pets au kwa ajili ya ulinzi ndani ya mageti katika nyumba zao huwa wanawapeleka wapi hao mbwa wanapozeeka? Huwa sioni mbwa wazee katika nyumba za watu!
3 Reactions
20 Replies
523 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amewaasa wanasiasa wa vyama vya upinzani kuwa watulivu, wakati huu ambao serikali inafanya...
1 Reactions
2 Replies
196 Views
Back
Top Bottom