Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Salaam, shalom!! Najaribu kuangalia tofauti kati ya shanga zinatumiiwa na Waganga, maasai, rozali na misaafu ,zinakuwa na mwonekano unaokaribiana Kwa karibu!! Nini Hasa asili ya shanga, rozali...
0 Reactions
6 Replies
241 Views
Habari naitaji kujua experience ya aliyetumia halotel fiber na 4g ile ya 50,000 ya halotel pia...
0 Reactions
8 Replies
352 Views
Anonymous (67f3)
Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia...
1 Reactions
2 Replies
208 Views
IPO Hivi kunguni anafanya harakati zake kimya kimya Tena kwenye Giza Ila ukiwasha Taa anatulia. Katika harakati za Maisha yako fanya mambo yako kimya kimya acha matokeo yaongee. Kunguni akiwa...
7 Reactions
17 Replies
773 Views
Punda mmoja huko Kenya katika jimbo la Maragwa amepoteza maisha baada ya kubakwa na wanaume wanne kwa zamu. Wakisimulia tukio hilo, Wanakijiji wa kijiji cha Kamahuha wanasema kabla ya tukio...
4 Reactions
109 Replies
40K Views
Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia...
8 Reactions
23 Replies
593 Views
Nisiseme sana.... Najua humu Kuna wataalamu... Nauliza, mtandao gani wa simu (laini ya simu) ni salama kwa Matumizi ambao unatunza faragha za wateja wake? Mitandai ambayo ipo tz ni; 1.Tigo...
0 Reactions
9 Replies
304 Views
Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi Baadhi ya ndugu...
14 Reactions
103 Replies
2K Views
Sisi Wakazi wa Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid hapa Mkoa wa Mjini Magharibi tuna changamoto ya mifumo ya Maji taka kutowekwa katika mazingira mazuri na kwa ufupi ni kuwa Miundombinu...
2 Reactions
5 Replies
296 Views
Hivi ndivyo university students wengi wa kike wanavyoishi maisha yao siku hizi, wengi wanaishi maisha yasiyoendana na hali za kiuchumi za makwao. Na wengi wanaingia kwenye maisha ya namna hii kwa...
5 Reactions
22 Replies
960 Views
Anonymous (42f3)
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu SAUT CAMPUS ya Mwanza. Changamoto tuliyonayo hatuna canteen za chuo. Majengo yamechakaa sana imefika hatua wazabuni wamekimbia kwa miundombinu kuwa chakavu sana...
2 Reactions
18 Replies
870 Views
I know kuna watu watasema kuwa nimechanganyikiwa ila ni uhalisia kuwa Mifumo hutengenezwa ili kudhibiti matokeo,na ikitokea mfumo ukashindwa ndipo inakuwa ni mapinduzi na kuzaliwa mfumo mpya...
2 Reactions
1 Replies
114 Views
BASHUNGWA ATUMIA GARI YENYE NAMBA YA BINAFSI, APONGEZA UTENDAJI KAZI WA ASKARI BARABARANI. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa akizungumza na askari wa usalama barabara katika...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
TUSIPENDE KUWAHUKUMU WATU TUWANAO WAMEFANIKIWA KAMA HATUJUI KWA NINI WAKO HIVYO KWA NDUGU AU JAMAA ZAO Wapo watu tunawatazama wamefanikiwa sana katika maisha yao ila ndugu zake wako nyuma sana...
4 Reactions
9 Replies
389 Views
Binafsi nimepata maari ya kutosha kutoka saut Mwanza Nimehitimu pale 2015 Chuo cha SAUT kimetoa wanasiasa wanaojiamini na wanalitumikia Taifa Kwa uadilifu Baadhi ya wanasiasa ni Naibu waziri...
10 Reactions
71 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiwasikia baadhi ya wazazi, wengi wao wakilalamika kuhusu matunzo waliyotoa kwa watoto wao. Mfano huyu mmoja alilalamika kwamba alipata shida sana kukumtunza mtoto wake akiwa mdogo...
10 Reactions
31 Replies
949 Views
Leo naona nilite mada Chokonozi; Wengi tumewahi sikia maneno kama Copyright, Trademark patent na mengine kama hayo. Wengine tunayasoma tu tukifikiri na vibwagizo lakini kuna wengine wanayatumia...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Abiria wanalalamika chenji hamrudishi kwa visingizio hamna chenji. Abiria ukitoa 1000 chenji 250 unaambiwa simama pembeni subiri chenji kama una haraka unamwachia chenji. Hii hajakaa sawa kabisa...
1 Reactions
8 Replies
264 Views
Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi. Aliniunganisha na watu wengi Baada ya mama kufariki wale watu walipotea Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui...
14 Reactions
139 Replies
3K Views
Back
Top Bottom