Labda Leo tuwaeleze kwa kifupi Sana.
Ukiona wewe ni mpinzani, au unajiita mpinzani kisiasa lakini Sisi WanaCCM tunakuunga mkono kwa maneno na vitendo basi fahamu wewe sio mpinzani wetu Bali ni...
Magufuli nakuomba msamaha kama nimewahi kukukosea popote pale, Mimi ni binadamu ni mkosefu.
Tupo tunaendelea na mama yetu kipenzi chetu na anafanya vyema sana na tupo pamoja nae kila hatua.
Ila...
1 Mzee usimkemee, bali umwonye kama baba; na vijana kama ndugu;
2 wanawake wazee kama mama; wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote.
3 Uwaheshimu wajane walio wajane kweli kweli...
Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa (Mb) ameiagiza Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kusimamia Kitengo kinachoshughulikia Malalamiko yanayotolewa kwa Wizara, Taasisi na...
Ni mauaji yaliyogubikwa na simulizi na hisia tofauti juu ya nini hasa kiini cha mauaji ya mkurugenzi mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa nchini (TISS), Luteni Jenerali Imran Kombe...
Wadau hamjamboni nyote?
Misa ya wafu ni sahihi
Kanisa moja takatifu la Mitume
Tafakuri ya kina kwa wenye elimu ya theolojia
Dominika njema
"Na alipoifungua muhuri ya tano, nikaona chini ya...
Kwa yanayoendelea sasa ndani ya CHADEMA, Je chama hicho kinaelekea njia ya TLP?
Na Thomas Joel Kibwana
Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), ambacho kilikuwa na ushawishi mkubwa katika siasa...
Wapendeni adui zenu kama nafsi zenu
A police officer in Zambia has been arrested for allegedly releasing over a dozen prisoners so they could celebrate New Year's Eve.
Detective Inspector Titus...
Heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa.
Hakika Arusha...
Kuna ujumbe nimeuona huku kupitia DStv, kifurushi cha Compact kitapanda na kuwa tshs 64,000/= kwa mwezi kutoka tshs 60,000.
Sijajua kww upande wa vifurushi vingine. Tumeipenda wenyewe, wacha...
Naomba kuelewa wadau
👉.12% ni kiasi gani uwekezaji huo unaanzia kwa mwananchi yoyote
👉.je Baada ya Samia kutoka madarakani huu mfuko wa uwekezaji utaendelea?
👉.Faida zake ni zipi na hasara zake...
Miaka kadhaa iliyopita nilifanikiwa kusoma Elimu ya sekondari lakini nilivyomaliza sikubahatika kufaulu kujiunga na kidato cha tano kwani nilipata daraja la 4, hivyo nilikua sina tumaini lolote na...
This vision I got this morning at seven o'clock.
Nilikuwa katika ndoto.
But in this dream I was sitting cross- legged doing meditation.
And then I disengaged from the body and I started drifting...
Chai ya Fatu…Chai ya kitanga 👌 Chai imepikwa sio kuchemshwa chai ya mtoto hii yinyi mnaita eti peace au pisi 🔥ukiiangalia tu unapata hamu kuinywa 😋
Na Kuna zile chai zenu zile za majani na...
Sjazungumza sana naombeni mnitajie tu nchi zilzoendelea ambapo maendeleo yao yalikuja kirahs rahs bla kupta kwa mkono wa chuma na kumwaga damu za watu wengi nam ili niweze kujfunza jambo kabla...
Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa"
Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana...
It has been so long since à well known personel secretary of Mh Mbowe went missing .
The where about of the missing went viral to international levels unfortunately the authorities in Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.