Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya Sandarusi maarufu viroba vya uzito wa Kilogramu 200, huku...
4 Reactions
168 Replies
28K Views
Katika hali isyokuwa ya kawaida kabisa kwa zaidi ya wiki tatu sasa Pwani ya Mkoa wa Dar es Salaam hasa Baharini imekuwa si sehemu salama tena kwani kumekuwa kukionekana sana Maiti zikielea mara...
15 Reactions
227 Replies
27K Views
Habari wakuu, Kuna maiti zimeokotwa kando ya reli dar es salaam. Bado haijajulikana maiti hizo zimetokea wapi. Hata hivyo sijajua kama Polisi wameshazungumzia hilo swala. Ni vizuri Bunge liunde...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, Katika Msitu wa Chamazi shamba la Muhimbili eneo lilipo Kata ya Chamazi mtaa wa Dovya leo mnamo saa tatu asubuhi imeokotwa miili 3 ambayo imeanza kaharibuka karibu na tank la maji la...
10 Reactions
54 Replies
12K Views
Kasumba hii inaathiri sana uwezo wa watu wetu wa kufikiri kwa kina, hasa katika bara letu la Afrika. Akili za Waafrika wengi zimekuwa kama sifongo zinazofyonza taarifa bila kuchuja wala kutafakari...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
MAITI tatu zimeokotwa kwenye fukwe mbalimbali za Zanzibar katika siku tatu zilizopita zikiwa zimeharibika vibaya, kuwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye makali zikiwa zimefungwa kwenye viroba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wavuvi na wafanyabiashara katika masoko na minada ya samaki ya Kunduchi, Ununio na Feri jijini Dar es salaam wanaishi kwa hofu baada ya kuwepo kwa taarifa za kuopolewa miili 15 ya watu baharini...
2 Reactions
90 Replies
10K Views
CHANGAMOTO KUU ZINAZOWAKABILI VIJANA NA MABINTI WA KIZAZI HIKI NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Utazifahamu changamoto kuu zilizombele yako. Utajua chanzo au vyanzo...
2 Reactions
3 Replies
477 Views
Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama...
1 Reactions
9 Replies
296 Views
Hivi ni kwanini jinsia hii ya kike inajiweka mbali sana na mambo yanayoumiza akili ? Mfano hata fani mbalimbali zenye matumizi makubwa ya akili kuna asilimia ndogo sana ya wanawake katika maeneo...
7 Reactions
30 Replies
782 Views
Sote au wengi tunajua kwamba kuna mfumo unatumika kuficha maneno ambayo ni matusi mara nyingi kwa kugeuza herufi zote au baadhi ya herufi za tusi hilo kuwa nyota. Mfano mzuri ni kwenye subtitles...
0 Reactions
4 Replies
440 Views
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously? Ule weledi wa tasnia habari umeenda...
16 Reactions
84 Replies
2K Views
Mimi nawashangaa sana wanaume wenzangu ambao wanapata hela kwa tabu unabeba zege,unachimba msingi,unabeba tofali,unakuwa saidia fundi halafu ukipata hela unajinyima hata kula mlo mmoja ili...
2 Reactions
3 Replies
204 Views
Ukiwa kwenye jamiii ya kiafrika Then , ukawa unajua kuongea na kuandika English nzuri sana , automatically unaonekana wewe ni msomi na unaakili sana kuliko wengine , mbali zaidi unaweza...
0 Reactions
2 Replies
110 Views
Hizi hapa ndiyo sifa kuu za wanaomuunga mkono Freeman mbowe. machawa wanaotegemea kula na kuendeleza harakati zao kwa mgongo wa mbowe (posho za harakati) Wanachama wenye maono madogo yaliyobebwa...
8 Reactions
26 Replies
927 Views
Asee sio poa , nipo kiwanja Nimelewa sio poa , Sasa nawaza haka ka Vits na drive vipi mpka ghetto? Kigamboni Njia yenyewe ya huku mbezi beach Kwa Zena
0 Reactions
13 Replies
220 Views
Pata kujua kuhusu zao la kiungo cha kukumaga katika bara la Zanzibar (Unguja) Kisiwa cha Unguja kinajihusisha na kilimo cha viungo hali maarufu kama (spices)ambapo kimefanyika kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Hapa ushauri unahitajika maana nimeshauri mpaka nimechoka. Kuna binti kaja kuniomba ushauri kuna biashara anatamani kufungua ila wifi yake yaani mke wa kaka yake anatamani kufanya naye...
3 Reactions
15 Replies
351 Views
Wana jamii nadhani mko poa. Leo kuna nataka kusema maneno machache sana yenye faida kubwa sana. Ndugu zangu kama tunatafuta furaha za kweli hapa duniani ebu tujaribu kusaidia wasio jiweza kwa...
21 Reactions
24 Replies
1K Views
Waafrika kuna mahali tumepigwa chenga ya mwili kisha tukaachwa solemba. Mabeberu (kwa jina pendwa la chama kikuu) walitukuta na sayansi yetu ya asili ikiwa imepiga hatua kubwa kwenye utafiti...
42 Reactions
711 Replies
72K Views
Back
Top Bottom