Mwezi septemba maka jana Umoja wa wanafunzi wa jumuiya ya Afrika mashariki walikuwa na mkutano mkuu katika chuo cha Nelson Mandela Institute of Science and technology ambapo uchaguzi ulifanyika...
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu
1.) Kila nchi ina Rais wake
2.) Kila nchi ina katiba yake
3.) Kila nchi...
Hivi nchi kama Uingereza, Marekani and the rest of the western world, bidhaa zao wanauza wapi?
Kwanini nauliza hivyo: Hapa tanzania sioni kitu chochote MADE IN UK, USA, SWEDEN NORWAY DENMARK ETC...
Hili linaweza kuwa jipya kwako... Hata visivyo na uhai kwenye ulimwengu wa roho vina yoho..
Kimojawapo ni pesa ama fedha, ukipenda ziite shekeli.. Ni wazi umeshawahi kusikia watu wakisema...
Mwaka 2022 nilipata full scholarship lakini nasikitika nilinyimwa passport uhamiaji bila sababu za msingi na kusababisha scholarship kuisha mda wake. Hali hii unanitesa sana imeniathiri.je...
Shalom wapendwa,
Hizi salamu za wasukuma nimeamua kuzifyekelea mbali baada ya kuokoka, kila siku nina enjoy na salamu mpya ambayo ni SHALOM ikiwa na maana ya AMANI IWE KWENU/KWAKO naipenda sana...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati...
Wakuu kama ujumbe unavyosomeka hapo juu.
Niliweka vyeti original kwenye academic qualification na nikawa naomba kazi bila shida na kuitwa kwenye interview bila shida yoyote. Ilifika kipindi...
Habari wakuu Kuna hii habari ya serikali inataka kuja na jamii namba. Sasa wakati naangalia UTV habari kwenye maelezo ya hiyo jamii namba umeme ulikata kwahiyo sikuielewa. Na hapa nimekuja kuona...
Wakuu,
Media ya Dar24 kupitia ukurasa wake wa Insta wameweka tangazo la kupotelewa na Mkugenzi wao ambaye amatoweka toka tar 31/10/2024.
Wasiyojulikana wameamka tena?!
==
Dar24 Media...
Kwakuwa kipato changu hakiniruhusu kununua maji ya kunywa, nimechukua hatua zifuatazo:
1. Kununua water dispenser na chupa zake 2, nikiweka chupa moja ya pili inabaki kuwa spea.
Pia nimenunua...
Jamii nyingi za WATU weusi zina Crab mentality au huitwa kaa kwenye ndoo.
Kaa wakiwa kwenye Ndoo yule mmoja anayejaribu kutoka huwa anavutwa na kurudishwa ndani ili asitoke , maana yake...
Eeeh wakuu,
Leo nitavunja code ya udalali kwa watu wote ambao wanalala hawajui wakiamka waende wapi wakatafute ridhiki. Hii code kanipa jamaa aliyekuja huku bariadi kwa ishu zake namimi nimeona...
Habari wakuu!
Mwanzoni wa mwezi wa Desemba waziri wa fedha wa Marekani alituma barua bungeni kuarifu ya kuwa wizara yake imedukuliwa yaani (hacked) na mdukuzi anayefadhiliwa na serikali ta...
Hakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa bali pesa zinatoka benk kuu(BOT).
Kinachofanyika ni kuvuta pesa za wafia dini wanaoamini asili ni shirk.
Hivyo roho mbalimbali...
Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha...
Wakuu hivi hawa watu wa mikopo ya mtandaoni huwa wanaajiriwa kwa vigezo gani?
Maana nijuavyo mteja ni mfalme na anahitaji kuwa treated vizuri.
Hawa jamaa nilivuta kamkopo kao kama 40k hivi...
Kwa utafiti wangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato.
Naombeni msaada kwa anaye jua
Kwema Wakuu
Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa.
Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.