Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03 Januari, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda...
0 Reactions
1 Replies
116 Views
Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini...
3 Reactions
32 Replies
689 Views
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu. Hivi hizo...
25 Reactions
244 Replies
12K Views
Mkurugenzi wa Shirikla la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa wakati anazungumza na kutoa maelekezo kabla ya safari ya kutokea Dar - Moro mapema leo, Februari 26, 2024. Shirika la Reli Tanzania...
2 Reactions
13 Replies
849 Views
Wanabodi, Japo hii hoja itaonekana ni ya ajabu, lakini amini usiamini, inakuza sana utalii!, maana watalii wanataka kuenjoy, moja ya sterehe kubwa duniani, ni starehe hii. Nimeangalia matokeo ya...
9 Reactions
58 Replies
9K Views
Inakuaje mtu hupatiwi ticket ? wanapita na machine kwenye magari wanakatisha parking lakini hawaweki karatasi kumjulisha mwenye gari kua amekatiwa Parking. Hii inasabaabisha madeni makubwa ambayo...
1 Reactions
4 Replies
153 Views
Kwa heshima na taadhima, nichukue nafasi hii ya kipekee kuushukuru uongozi mzima wa jamii forums, wafanyakazi wake wote, na pia wana JamiiForums wenzangu kwa kuwa pamoja kwa mwaka wote huu wa...
8 Reactions
37 Replies
602 Views
Enzi zile za kukaa darasani, ukisikiliza mwalimu kwa saa kadhaa huku ukipiga miayo, zinaelekea ukingoni! Teknolojia imefanya mambo kuwa rahisi sana, na sasa unaweza kujifunza chochote unachotaka...
6 Reactions
13 Replies
716 Views
Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) imewataka Wananchi kuacha kutumia Madaraja ya juu maarufu kama Flyover isivyotakiwa kama kupita kwa miguu juu ya Madaraja hayo au kupiga picha mnato(...
0 Reactions
4 Replies
196 Views
Treni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya...
13 Reactions
101 Replies
4K Views
Wanaume WENGI enzi hizi wanaishi kwa machungu na sonona za hali ya juu kutokana na kutowaeelewa wanawake na tabia zao halisi. Wakati wasichana wakipewa taadhari juu ya uongo wa wanaume, wavulana...
1 Reactions
1 Replies
207 Views
Hii imekuwa too much maana kila siku ni mauaji kwenda mbele. Maiti za wanawake watatu zimeokotwa huko Mwanza. Maiti za wanawake watatu zaokotwa kando ya mto. ----- Wanawake watatu wanaokadiriwa...
4 Reactions
55 Replies
5K Views
Masikini wataendelea kuwepo lakini ujue masikini ni mtaji wa matajiri. Tajiri kamwe asingependa masikini ajikwamue atoke kwenye umasikini, hivyo mifumo imetengenezwa kuendelea kumfunga masikini...
1 Reactions
1 Replies
188 Views
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa mwezi mmoja kwa Katibu Tawala wa mkoa pamoja na wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Katavi kufanya ukaguzi wa kina kwenye maeneo ya biashara nakuchukua...
0 Reactions
2 Replies
173 Views
Kwema wakuu Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua kanisa katholiki lina maeneo makubwa ya ardhi unapokuta kanisa la roma lazima kuwe na heka nyingi sana. Nini kilisababisha kuwa na...
25 Reactions
200 Replies
7K Views
Wewe mwana JF mwenzangu utakuwa jaji kwenye hili, je, nani anadanganya? "Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, lasema lawatuhumu Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na...
1 Reactions
3 Replies
793 Views
Hivi nani anaijua Historia haswa ya ule Mbuyu wa pale ‘Mbuyuni’ kona ya kwenda Oysterbay/Masaki. Maana inashangaza vile umekaa katikati ya Barabara na haujawahi kukatwa!! Sahizi mwendokasi nao...
1 Reactions
15 Replies
502 Views
1) Tembo wawili walilambwa shoti tukala nyama mwezi mzima KILOSA. 2) Pundamlia kahamia zizi la ng'ombe ni fulu maselfie haogopi watu MSAGALI. 3) Fisi anafugwa nyumbani mwa mtu pamoja na mbuzi...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Happy Christmas Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdahalo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao...
54 Reactions
443 Replies
11K Views
Back
Top Bottom