Uislamu (au tuseme Muhammad), anadai kuwa Ibrahimu ndiye aliyejenga Kaabah.
Mtu anapochunguza kwa makini jambo hili, ni vigumu sana kuamini kuwa Uislamu uko sahihi. Badala yake mtu unasukumwa...
Magari ya abiria ya Barabara ya Mbeya kwenda Kyela, hapo namaanisha kutoka wilaya moja kwenda nyingine yanajaza sana abiria tofauti na uwezo wake.
Gari hizo zimekuwa na utaratibu wa kutoa Viti...
Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako...
Ni hali ya kushangaza sana na taratibu ya ovyo.
Leo nimetembelea ofisi ya TANESCO Kahama, kwa issue inayohusu umeme...cha ajabu naambiwa nirudi nikapige simu nakuomba huduma nikiwa...
Katika zama hizi, dhana ya “Soft Girl Era” imechukua kasi kubwa, hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wanawake wanajitokeza wakipigia debe maisha ya utulivu, starehe, na kujitunza—mara nyingi wakitoa...
Habarini wa JF na maisha yakiendelea.
Tunakaribia kutimiza mwaka kukaribisha 2023 ila kabla ya kukaribisha mwaka watu au mtu hupenda kujua au kusaisha alichokiacha mwaka huo.
Ilikuwa TAHARUKI...
Alute Munghwai, Kaka wa mwanasiasa maarufu wa upinzani, Tundu Lissu, ameonyesha masikitiko makubwa kuhusu ukosefu wa maendeleo katika uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi kwa ndugu yake jijini...
Tanzania imejaa vipaji – kutoka kwa waimbaji wenye sauti za kuvutia, wachoraji wa ramani za ajabu, wanariadha wa hali ya juu, hadi wabunifu wa mitindo wenye ladha ya kipekee. Lakini je, kuwa na...
Karibu kufuatilia ajali mbalimbali za vyombo vya moto kuanzia magari,yenu Hadi Ndege.
Kwa uchunguzi wangu usio rasmi Huwa ikianza kutokea ajali A elewa automatically kuja nyingine itatokea...
Gazeti la Nipashe la Agosti 17, 2022 limebeba kichwa cha habari "Miili ya Watu yaokotwa kwenye viroba"
TANGA: MIILI YA WATU YAOKOTWA IKIWA KWENYE VIROBA
Miili ya watu wawili imeokotwa ikiwa...
Vijana wa Tanzania wana njaa ya mabadiliko na maendeleo. Wanajua kuwa siasa ni chombo muhimu cha kubadilisha maisha yao, lakini wanapokaa mezani kujadili siasa, huwa ni ngumu kwa wengi kuepuka...
Wanabodi,
Rais Magufuli ametetea dhana ya wake wengi kwenye msiba wa Masaburi, kama ilivyoripotiwa hapa,
Naanza na swali,
"Baada ya rais Magufuli, kutetea hoja ya wake wengi, jee kuna ubaya...
Kampuni ya Apple imekubali kulipa faini ya takriban Tsh. Bilioni 235.12 kama faini baada ya uamuzi wa Mahakama kuonesha kampuni hiyo ilikuwa ikiingilia faragha za Watumiaji wa Vifaa vya Apple...
📖Mhadhara (72)✍️
Ni siku nyingi sana sikutembelea ofisi ya NHIF. Lakini jana nilikwenda kwenye ofisi ya NHIF kuchukua kadi ya Bima ya afya ya mtegemezi, nikaambiwa kuwa sasahivi mambo...
BUSOKELO: Kanisa la TAG Latoa Tuzo kwa Mbunge Mwakibete Kutambua Kazi Inayofanyika Jimboni Busokelo
KANISA LATAMBUA KAZI ZA MBUNGE MWAKIBETE, AKABIDHIWA TUZO IBADA YA MWAKA MPYA 2025
Katika...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya kikao cha pamoja na Wamiliki wa Shamba la Sisal Estate “Kwashemshi” lililopo Wilaya ya Korogwe mkoani...
Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi
Matokeo yake Wanachama pamoja na Wananchi...
Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.