Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
📖Mhadhara (74)✍️ Waswahili wanasema wivu ni kachumbari ya mapenzi, lakini kuna wanaume wana wivu mbaya sana kwa wake zao licha ya wao wenyewe ni wahuni walioshindikana. Wapo wanaume ambao wana...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Habari wakuu! Nahitaji kufanya safari ya basi kutokea DSM mpka Gaborone Botswana mpaka! Naomba wenye ujuzi wa route na mabasi yanaoyoenda huko anijuze!
10 Reactions
49 Replies
1K Views
Karibu Gen Beta Mwaka 2025 unaenda kuweka alama rasmi ya ujio wa kizazi kipya, kwa urahisi tu tunawajumuisha kwa kuwapa jina BETA. Kizazi hiki ni kile kitakachoanza kuzaliwa kati ya miaka ya...
3 Reactions
14 Replies
807 Views
📖Mhadhara (73)✍️ Miongoni mwa mambo ambayo yanasababisha kutokuwepo kwa nidhamu, uadilifu, weledi, na ufanisi kwa wafanyakazi wa makampuni na idara mbalimbali ni kuajiri watu ambao hawakukidhi...
1 Reactions
2 Replies
194 Views
Wauza simu wa Kariakoo mtaa wa Aggrey , Makumbusho na Mwenge wanaongoza kwa kuuza "copy" ya simu halisi! Hawa wauzaji wanachanganya na simu original na feki kuhadaa wanunuzi ambo wengi wanatoka...
3 Reactions
16 Replies
663 Views
Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba...
36 Reactions
140 Replies
12K Views
Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema: Mosi, Pili aliumbwa kwa...
4 Reactions
79 Replies
1K Views
Tumedhubutu,Tumeweza na Tunasonga mbele. Kauli mbiu hii ya kinafiki.Aiwezekani kutembea unaimba kauli hii wakati huduma za afya bado duni. Ndg tembelea Hospital ya RUFAA MUHIMBILI kajionee wodi ya...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
UTANGULIZI: Kwa msio nifahamu ni kwamba, mimi Infantry Soldier ni mkristo ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na wala waislamu si magaidi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli...
12 Reactions
86 Replies
12K Views
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na...
76 Reactions
229 Replies
60K Views
Anonymous (609d)
Wodi namba 11 ni miongoni mwa wodi za wanaume zilizopo jengo la Kibasila katika Hospitali ya taifa Muhimbili (Upanga) Hali ya mazingira katika wodi hiyo sio nzuri 1. Sakafu ni chafu 2. Mashuka...
1 Reactions
3 Replies
591 Views
Nakuambia hadi vyama vyote vya wakina mama wangepiga kelele karibia mwezi mzima. Wakina jackline na tv showz na hawa wabunge wa nafasi maalum wa kike bungeni.. "Ooh hayo ndio matokeo ya kuwatesa...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Elon Musk aendelea kutembeza bakora kwa makampuni ya simu Baada ya kuleta mageuzi katika ufikiaji wa mtandao wa kimataifa, Starlink ya Elon Musk iko tayari kupeleka muunganisho wa simu mahiri...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwa macho yangu kabisa leo nimeshuhudia mtu mweusi kavaa suti na njumu Je na wewe ni tukio gani alifanya mtu mweusi mwenzako ukashangaa sana Mungu Kama utaniumba tena usiniumbe nikawa mtu...
15 Reactions
68 Replies
1K Views
🔘 Siku hizi waumini hatutaki INJILI ya kuambiwa/kuhubiriwa; ✓Acha umalaya ni dhambi. ✓ Acha kudanga ni dhambi. ✓ Acha wizi ni dhambi. ✓ Acha uchawi ni dhambi. ✓ Acha kutoa mimba ni dhambi. ✓ Acha...
3 Reactions
12 Replies
312 Views
Kila mara tunajribu kuwaambia kwa vile panton ni moja kipind hiki, nyakati za dharula msiwe mnajaza magari line tatu. Hii itasaidia vipi? Itasaidia abiria kuingia kwa haraka na kuondoka haraka...
1 Reactions
2 Replies
185 Views
Nilipata bahati ya kufanya mafunzo ya vitendo (field) Halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2012, ambapo nilikutana na Muisraeli aliyekuwa sehemu ya exchange program kati ya halmashauri yake na Jiji...
2 Reactions
0 Replies
139 Views
Kwa nini nauliza hayo? 1. Inasemekana, miaka ya nyuma, kabla ya Magufuli na hatimaye Samia kuingia madarakani, Wakenya walikuwa wanaingia Tanzania na kununua viazi mviringo na kuvipeleka Kenya...
3 Reactions
4 Replies
216 Views
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu. Kuna kijana alipewa nafasi ya kuuliza swali akataka kujua ufafanuzi wa aya na inaonekana alikusudia aya mbili za surat naml (27:39-40). Kijana yule kwanza...
1 Reactions
0 Replies
176 Views
Back
Top Bottom