Habari wanajamvi!
Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana...
Serikali siku zote inasisitiza mapato, na imeunda systems za kurahisisha ukusanyaji wa mapato hayo.
Sasa inapoelekea systems hizo hazifanyi kazi basi ujue kuna hujuma ili hela zilipwe kwenye...
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kumpa ripoti ya kitaalam kuhusu kasi ya ujenzi usioridhisha kwa Mkandarasi...
NB nimeikopi kutoka X
1. Mpangilia wa kuamka saa 12 Asubuhi kila siku, (Epukua kuamshwa na Alarm).
2. Fanya mazoezi ya "KEGEL" kwa usahihi Walau nusu saa kila siku asubuhi na jioni.
3. Kunywa...
Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matukio yanayoripotiwa Polisi kuhusu utekaji nchini mengi yanabainika kuwa ni ya uongo.
"Kuna matukio yanatangazwa kwenye mitandao na vyombo vya...
◾Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena imeshutumiwa na kampuni ya wawekezaji wa kigeni kwa kukiuka masharti ya mkataba wa uwekezaji baina ya nchi mbili (BIT)
◾Haya yanajiri wiki chache tu...
Haya nimetulia sasa niwaambie yaliyonikuta kwenye biashara ya daladala🤣basi baada yakuona dereva na konda wake wananizingua sikuhiyo nikaamua niingie mzigoni mwenyewe nikae mlangoni nikusanye hela...
Yaani
Tayari ngoma inasoma 35, hujajenga, hujaoa, huna kazi, huna biashara, huna connection yoyote.
Ila vitu ulivyokuwa navyo, una kitanda tayari na mashuka yako na baadhi ya vitu vya ndani, Una...
Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwaniaba ya watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha...
Heri ya Krismas na mwaka mpya!
Wiki ijayo nitakuwepo Kampala, na ninatarajia kuwepo huko kwa siku kadhaa!
Tafadhali mliopo huko, na hata kwingineko wenye "taarifa" mnisaidie yafuatayo:
1. Bei...
Kwa siku chache ambazo nimekuwepo hapa Kampala, nimeweza kujionea, japo ni kwa sehemu ndogo tu, jinsi lilivyo.
Ni jiji kwenye hadhi ya kuitwa jiji. Lina mandhari nzuri na pia hali ya hewa nzuri...
Mimi ni Mtanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa Kitanzania huwa ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama...
Serikali mkoani Pwani, imekamata shehena ya miundombinu mbalimbali ya serikali iliyoibiwa na kuhifadhiwa katika kiwanda cha kutengeneza vifaa vya ujenzi Mkuranga mkoani Pwani.
Miundombinu hiyo...
Nchi yetu watu wake wengi ni watumwa lakini wanajiita wafanyakazi, unamkuta mtu anafanyakazi masaa 12 hadi 14 kwa ujira wa kuanzia 3000-10000 bila kuwa na bima ya afya wala kuunganisha kwenye...
Kwa kasi ya ujenzi wa barabara za mwendokas kuna root zitaenda kufa au kususuasua
route za
Bunju - Ubungo.
Bunju - Makubusho
Goms - Kariakoo
Mbagala - Kariakoo.
Hizi routes mapato /hesabu...
Wananchi wa Kijiji cha Ikuvilo, Kata ya Luhota, Wilaya ya Iringa Vijijini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao ili waweze kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao.
Hayo yamesemwa na...
1. Kufanya ibada kama ilivyo amriwa;
2. Kufanya mazoezi na kula kwa staha na kiasi kama anavyoshauri Prof. Janabi;
3. Kuchamgamkia fursa na kupiga vita umasikini na ufukara;
4. Kupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.