Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
📖Mhadhara (71)✍️ Mbeya ni mkoa ambao unakabiriwa na matukio ya ajali za mara kwa mara. Maeneo ambayo ajali hutokea sana ni; 1. Mlima nyoka, 2. Mteremko wa Simike (Nzovwe), na 3. Mlima wa Mbalizi...
0 Reactions
3 Replies
264 Views
Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa hospitali maalum ya magonjwa ya mlipuko na kituo kikuu cha uchunguzi mkoa wa Kagera kutokana na mkoa huo kupakana na nchi ambazo zimekuwa na historia ya...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Hawa watangaaji (Laizer na Mmasai) ni washamba sana, wanapiga makelele yaani wanaboa wanaumiza masikio kama wanalipwa mshahara sijui nadhani wanatangaza bure, Kwenye show yao ya Kili Breakfast...
0 Reactions
2 Replies
141 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia...
2 Reactions
45 Replies
910 Views
SERIKALI LIPENI FEDHA YA NAULI YA LIKIZO YA DECEMBER 2024 WALIMU WA SEKONDARI MISUNGWI. Hili ni jambo lisilokubalika hata kidogo, kwamba serikali ileile iwalipe ontime walimu wa shule za msingi...
0 Reactions
2 Replies
164 Views
Wana JF wote Pokeeni salamu zangu za Mwaka huu wa 2025 ukawe mwaka wa heri kwa kila mmoja wetu. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
36 Reactions
412 Replies
9K Views
Hili si jambo la kuficha. Yapata aidha kipindi cha miezi minne sasa wavuvi wanaoingia kwenye hifadhi ya Rubondo kwa kujipatia kitoweo wanapigwa risasi na kupoteza maisha kila kukicha. Sehemu hizi...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
1. Si kubwa kama jiji la Dar Es Salaam, lakini ningeambiwa nichague pa kuishi, ningepapendelea Kampala kutokana na hali yake ya hewa nzuri 2. Lugha ya Kiganda ndiyo imetawala kuanzia kwenye...
46 Reactions
139 Replies
6K Views
Leo naleta kilio ambacho ni kero chetu wananchi tunaoishi Mapinga na maeneo yote yanayopakana na barabara ya Bagamoyo. Kilio hiki kinahusu nauli za usafiri wa bajaji kwani madereva/wamiliki wa...
2 Reactions
11 Replies
420 Views
Mimi sio mwandishi mzuri. Lakini nitaeleweka Kwa hiki kisa changu Cha kweli. Nilimaliza masomo yangu ya degree udsm mwaka 2011 nakuajiriwa mwaka 2012. Huko shinganya vijijini kama Mwalimu. Hii...
69 Reactions
88 Replies
5K Views
Unapofanya maamuzi juu ya maisha yako,ni yako huna haja ya kujitetea kwa mtu yoyote juu ya uamuzi huo
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Separation Ring ni kitu gani? Roketi kwa kawaida huundwa kwa stages au vipande, ambavyo hutumika kwa wakati tofauti wa kuirusha kwenye obiti. Sehemu kubwa ya uzito wa roketi ni mafuta na injini...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili. Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini...
3 Reactions
53 Replies
977 Views
Usiku una mambo mengi mno Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu. Kwangu...
19 Reactions
297 Replies
5K Views
Habari wadau. Nimekutana na graduates wa UDSM analalamika ajira hapati na yeye ana degree ya Journalism & Mass communication from school of Journalism ya UDSM. Baada ya kumsikiliza nilimuuliza...
10 Reactions
24 Replies
901 Views
Hili ni tukio lakweli nililo liona. Siku moja nilikuwa katika mkoa Fulani na kwa kawaida ya shirika nilikuwa nafanyia kazi ilikuwa ni utaratibu kutupa nauli ya ndege hivyo nilienda kwenye moja...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Jaji Wilson Dyansobera kutoka Mahakama kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam amesema baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote mbili (2) na kupitia kwa makini kiapo cha mwombaji aitwaye...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakati tupo katika mwanzo wa mwaka mpya 2025, kuna haja muhimu ya kutazama uhusiano kati ya China na Marekani, ambao ni moja kati ya uhusiano muhimu sana wa pande mbili duniani kwa sasa. Kwa...
1 Reactions
0 Replies
397 Views
Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa. Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu Wanapewa connection na ndugu Hata...
14 Reactions
34 Replies
1K Views
Back
Top Bottom