Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Serikali imetenga zaidi ya shilingi Bilioni 3 kurasimisha makazi ya wananchi katika Mkoa wa Dar es Salaam. Katika kukamilisha zoezi hilo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe...
2 Reactions
4 Replies
381 Views
Dr. Napoleon Hill, anayesadikika kuwa alitumia kipindi kisichopungua miaka ishirini kutafiti sababu inayowafanya watu kufanikiwa na wengine kufeli, alikuwa na kawaida ya kuwashauri "wanafunzi"...
4 Reactions
17 Replies
602 Views
Nilifanya "karesearch" isiyo rasmi, nikabaini kuwa ingawa Watanzania nao pia wapo Kampala, lakini hawafikii idadi ya watu kutoka Kenya, Zambia, Zimbabwe, South Africa, na Namibia. Niliowaona wapo...
7 Reactions
27 Replies
736 Views
Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake. Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa...
2 Reactions
18 Replies
422 Views
Habari za mchana members. Nachukua nafasi hii kuwapongeza Mkurugenzi na Afisa Elimu msingi wilaya ya Kilindi kwa kuamua kuwalipa watumishi waliokuwa wanadai pesa za matibabu ambao pesa zao...
2 Reactions
0 Replies
107 Views
Wakuu kama mjuavyo kuwa Dunia ina mambo baadhi ya mambo yenyewe ndo kama haya,. Kuna mambo ambayo wewe unaweza kuyaona hayawezekani kumbe kwa wenzio ni kawaida kabisa. Mfano mimi hapa huwa naona...
10 Reactions
105 Replies
5K Views
Wataalamu/wazoefu naomba kujua hii kitu inawezekana? Au kuna njia nyingne ya kuendesha freezer nje ya umeme? Kuna sehemu nataka niweka banda la chuma yale ya kuhamishika kwa biashara, nahitaji...
6 Reactions
15 Replies
622 Views
Kwanza,wanatulinda tusiathirike na madhara yoyote ambayo tunaweza kuyapata baada ya kujua ukweli wa taarifa fulani fulani ambazo wao hawataki tuzijue,hivyo ni bora ikiwa hatutajua...
3 Reactions
3 Replies
174 Views
Uvutaji wa sigara hadharani umekuwa kero kubwa sana mitaani na katika maeneo yenye mikusanyiko ya watu kama vile vituo vya daladala na baadhi ya maduka ya rejareja. Ikumbukwe kuwa sigara ni...
1 Reactions
6 Replies
235 Views
kabla sijafikisha miaka 35 nataka nimiliki plot /viwanja/mashamba kwenye kila mkoa Tanzania Bara, Mungu anitangulie kwenye hili jambo, nimebaini utajiri wa kizazi kijacho upo katika aridhi...
3 Reactions
2 Replies
153 Views
Wakuu Salam sana, Nipo Moro town, nikaona siyo mbaya nikafungue mwaka wakati napata vyombo murua. Kichwani mwangu nikafukiria Samaki Samaki, Star Park na Eli's Pub. Sasa nimeenda Star park...
20 Reactions
66 Replies
2K Views
Habari Huu ni utafiti binafsi nilioufanya na ambao sio rasmi. Maeneo ya utafit NI pamoja na mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Katavi. Rukwa, Morogoro, DSM, Pwani na Mbeya...
12 Reactions
79 Replies
2K Views
1-Fahamu kwamba ndo unaingia miaka 30. (ni mingi mno) 2-Hakikisha una mtoto (kuoa sio muhimu ila hakisha una mtoto) 3- Kama umesoma huna ajira anza kusaka ajira rasmi 4-Bana matumizi...
18 Reactions
33 Replies
1K Views
Kwenye kituo cha mabus ya kutoka gerezani kwenda Mbezi Mwisho abiria tumejaa tu humu mabus yanatupita hadi watu wamepaniki na kuwatupia lawama walinzi wa kituo.
2 Reactions
25 Replies
582 Views
Sioni sababu na nashangaa kwanini UTUMISHI wamekimbilia kutumia ESS na huku ukweli haufanyi kazi, unaingia Online wanakwambia wanashidnwa ku-retrieve taarifa zako, unaomba uhamisho, unajaza kila...
16 Reactions
168 Replies
12K Views
MWAKA HUU USIAGE KILA MTU, WASHITUKIE UMEFIKA. Karibu 2025 ! Bila shaka tayari umefanya tathimini kuangalia sababu nyuma ya kushindwa kwako katika baadhi ya malengo na inawezekana hujaona...
3 Reactions
4 Replies
209 Views
habari ya wakati huu jamii forum leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao...
2 Reactions
9 Replies
224 Views
Hali ya vyoo vya stendi ya mabasi ya Bweri katika Halmashauri ya Manispaa ya Musoma ni ya kutisha. Vyoo hivyo ni vichafu, vimejaa, na masinki yameharibika, huku kukiwa hakuna maji kabisa. Pamoja...
0 Reactions
2 Replies
197 Views
Wakuu habari, Naomba tupeane uzoefu wa njia za asili za kuzuia nyoka wasiingie shambani kwako au nyumbani kwako, nafahamu kuna baadhi ya wanyama wanakula nyoka lakini hawawezi kuzuia nyoka...
4 Reactions
135 Replies
41K Views
Kuna Dada mmoja tulikuwa tukifanya naye KAZI kwenye mamlaka moja ya serikali, bahati mzuri au mbaya akahamishiwa Dodoma, hivyo kituo chake cha KAZI kiko huko. Mwaka Jana mwishoni tukiwa kwenye...
31 Reactions
70 Replies
2K Views
Back
Top Bottom