Huyu Mchungaji kwa kweli ndiye atayeweza kuleta amani katika familia zote kwa ajili amelivalia njuga swala la ndoa.
Lakini siku za karibuni amekuwa na hasira sana na wote wanaoyakosoa mahubiri...
Utamsikia mtanzania anaziponda shule za Kayumba akisema " Shule za Kayumba hazifai kwa sababu kuna watoto wengi sana"
Nabaki najiuliza hivi huyu mzazi ana fahamu chochote kuhusu saikolojia ya...
Kwenu mnaosomesha watoto shule za gharama ilihali serikali inatoa elimu bure , mzazi unapeleka mtoto kujiunga kidato cha kwanza shule binafsi utazani labda wanafundishwa masomo tofauti na alie...
Aliwaliza na anaendelea kuwaliza wengi, anachofanya anaweka vitu vya thamani kubwa kwa bei rahisi huku akisema tuma pesa sababu mzigo wengi wanauulizia sasa wabongo wanavyopenda mteremko...
Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.
Enzi hizo walikuwa...
Kulingana na muda mchache huu nilioingia kwenye sekta ya ufundi Kuna vitu kadhaa nimejifunza
Mfano juzi Kuna mteja aliniletea pasi baada ya kuikagua nikagundua ile pasi yake haifai Tena kupona...
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.
Imefika pahala kila kona...
Amezichana vibaya shule za English Mediums na kuwaita " mbumbumbu "Watanzania wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule hizo.
Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You...
Kwenye Nyumba za kupanga tunateseka sana sisi mafukara, siku MOJA nipo single nimelala chumba Cha jirani kitanda kinasikika mechi on afu mdada analia makusudi, huwezi amini mnara wangu ukawa nyuzi...
RC QUEEN SENDIGA - UPATIKANAJI MAJI MANYARA MJINI 84% NA VIJIJINI 71%
"Manyara kuna hali ya hewa nzuri ambayo unaweza kulima mazao yote na Manyara ina sifa ya uwekezaji kwenye sekta zote ambazo...
Kwa hesabu zetu huu ni mwanzo wa mwaka Kwa mujibu wa kalenda tunayoitumia, zipo kalenda nyingi lakini hii ndio iliyomakinika na kuwa na nguvu hivyo yote yatakayofanyika na kutokea Kwa mwaka huu...
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza...
Mwaka 2024 ni mwaka ambao umeshuhudia mafanikio makubwa kwenye ushirikiano na maendeleo baina ya China na Afrika, hasa China na Tanzania. Mafanikio haya yanatokana na mambo ya msingi yaliyowekwa...
Heri ya mwaka mpya 2025.
Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine...
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Bila kupoteza muda wiki iliyopita nilijiunga kifurushi cha mbps 10 unlimited kwenye router ya airtel smartbox 5g kwa tsh 70k, Mwanzo speed ilikuwa really 10mb per...
WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu.
(chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.)
Wakati mwingine...
Wakuu Habari!
Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume...
Habari za mchana jamii,
Nina tatizo la kutuma kahawa ya Kilimanjaro kwa rafiki yangu aliye Marekani. Nimejaribu kutumia huduma za posta lakini wameambia ni lazima niwe na leseni hata kwa kiasi...
Tangu Novemba 2024 nimekuwa niliwasiliana na HRS wahuishe na kubadili TAREHE za likizo, mwezi Novemba ukaisha, Disemba umeisha mpaka sasa Januari kila siku nitabadilisha nitabadilisha .
Wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.