Majira ya saa 10 jioni ya tarehe 09.12.2024 nimepokea ujumbe huu 1 na 2 (chini) kutoka mtandao wa Halotel Tanzania 🇹🇿 kuwa nimejiunga na huduma ya #AfyaCheck ambayo siijui na wala sijawahi...
Nasomesha Englisha Medoum ila ukweli ni kwamba sijawaji zikubali hizi shule, Shule zimejaa janja janja nyingi sana kuliko kutoa elimu ni full hadaa na wanajua fika kucheza na akili za wazazi...
Kwa mtazamo wake
Profesa huyo wa ivory coast akijibu maswali mbalimbali kwenye redio moja amenena hayo,
Adai wanawake Kutokua na adabu na kuiga umagharibi ni chanzo cha kuharibu taasisi ya ndoa...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) ametangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa upanuzi wa barabara kutoka Rangi Tatu hadi Mkuranga, baada ya kupata kibali kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan...
Inakata sana unakutana na Mwanamke mzuri unamfeel unajaribu kumuapproach bahati mbaya bibie anakaza kwa sababu ya status uliyonayo anashow disrespect sababu tu huna kitu.
Kuna member humu...
Hivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa...
Hizo nywele za katikati ya miguu, zina balaa na mikosi kibao. Na ndiyo maana saloon zote duniani hazikubali kutoa huduma ya kuzinyoa hizo nywele.
Imekula kwako kama umeingia na nywele hizo mwaka...
Habari ndugu zangu,
Kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina...
Ukisoma Kurani inaonyesha kuna ma Alllah wengi ndio waliomtuma Mohamed
Ushahidi huu hapa
Sisi tumemtuma kwenu Mtume aliye shahidi juu yenu, kama tulivyo mtuma (73:15)
Aaah haya maisha bwana mi yanaelekea kunishinda kabisa. 25 yrs bila happiness na bado kuna kiza!
Muda wa kujaribu upande wa pili sasa!
Hivi ni sumu gani inaua bila mateso na kwa uhakika?
Assalam alaykum jamiah .
naam, leo nimekuja kuwananga ndugu zangu waislamu (Wahadhiri) wa Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro pamoja na walimu wa shule za msingi na sekondari za kiislamu, hususan...
Katika kudhibiti ajali za barabara Jeshi la polisi mkoa wa Tanga limewafungia leseni za udereva madereva 15 Kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani.
Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi mkoa...
Kutoka kwenye kitabu "Rich DAD Poor DAD"
cha Robert Kiyosaki
1. Usifanye kazi kwaajili ya kutengeneza pesa (Don’t work for money):
Watu matajiri huwa hawafanyii kazi pesa. Kama unaifanyia pesa...
Ukiona sehemu imeandikwa HAKUNA NJIA HAPA. Ujue ni waongo hao walioandika. Njia ipo ila hawataki upite.
Kama hakuna njia hamna sababu ya kuandika. Itaonekana tu kuwa hakuna njia. Why paandikwe...
Mungu AWABARIKI SANA SANA wote mlio hai
MUNGU axidi kuwainua na kuwapa furaha maishani mwenu
Wale members waliotangulia MBELE za Mungu
MUNGU akawape pumziko la milele
Mkawe na amani na furaha...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
2025 Twende pamoja na mambo haya matatu;
1. Afya
2. PESA
3. FAMILIA
1. AFYA
a) Kula chakula Chenye lishe bora kwa kuzingatia Umri wako.
b) kunywa Maji ya...
Japo watu weusi tuna matatizo mengi sana na ye kipekee tofauti na races lakini sio jambo jema kujidharau kama watu weusi, sio vyema kudharau hali yetu kutokana na weusi tu, sio sawa kujiona duni...
Nimeona sehemu nyingi ukimjibu mtu basi juu kwenye msg yake anaandikwa mfano
Komeo la chuma Said. Nikawa najiuliza kwa nini JF mliona jina la Said ndo liwe Surname ya members wote?
Kwa nini basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.