Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hivi ndugu zangu kuna ajira ambayo mtu anabidi alipie kwanza nkataba ili aweze kusaini mkataba ule maana hii iananichanganya kidgo?
1 Reactions
10 Replies
322 Views
Hivi Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya pamoja na Watu wako wa Mipango Miji wakati mlipokuwa mnawahamishia Wafanyabiashara katika Soko la Sido hivi mlifikiria suala la afya zao? Mlikuwa mnajua kabisa...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Ukichunguza kwa makini nchi nyingi zilizopo kusini mwa Sahara umri wa kuishi upo kwenye range ya kuanzia 62-67 kwa wenzetu wa ulaya wastani wao ni miaka 77 na kuendelea.hata zile nchi za kaskanini...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Mheshimiwa Rais Wetu Mpendwa Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania... Salaam Nyingi Zikufikie Hapo Ulipo. Natumai nawe umepumzika kwa namna fulani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka, kama...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Usijieleze sana, maana haibadilishi chochote. Binadamu anakupenda ama kukukubali dakika tano tu za kwanza anapokuona, hata kabla hujajieleza. Namaanisha, binadamu anakukataa moyoni dakika tano tu...
7 Reactions
24 Replies
622 Views
Leo ni 31, Desemba ni siku ya mwisho ya Mwaka 2024, Kwa kudra za Mungu baada ya masaa kadhaa tutakuwa tumeingia mwaka 2025, Naomba Mungu atie rehema zake tufike wote salama. Mwaka 2024 ulikuwa na...
3 Reactions
13 Replies
275 Views
Napenda kutoa malalamiko yangu kwa bank ya MCB.Hii bank kitengo chao cha huduma kwa wateja hakina msaada wowote kwa sababu baadhi ya namba hazipatikani na namba inayopatikana simu haipokelewi.Ni...
1 Reactions
3 Replies
153 Views
Endeleeni kuzaa na maslay queens. Dogo ndio kashafariki hivyo kwa uzembe wa starehe na akili za ku-slay slay
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika. Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Mimi ni Mkazi wa Pemba ambaye mara nyingi nafanya shughuli zangu za Kibiashara Unguja na Dar es Salaam, kuna jambo moja ambalo limekuwa kero kwa muda mrefu na ninaona kuna haja ya Mamlaka kujua...
1 Reactions
6 Replies
602 Views
Mfanyabiashara Hemed Ally amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Farihani Maluni. Habari inaeleza Farihani alimpa milioni 30 Hemed amuagizie lori...
14 Reactions
106 Replies
12K Views
Nimeangalia mwenendo wa hii timu msimu huu kwa jinsi inavyocheza jana ilipokea kichapo Cha Gori 2 bila kutoka Kwa new castle ikiwa nyumbani kwake old Trafford uwanja unaovuja na kufuga panya...
3 Reactions
11 Replies
286 Views
Wakuu habari za weekend.. Leo ningependa tujuzane matukio ya aibu ambayo tumewahi kuyafanya tukiwa safarini ndani ya basi Nikianza na mii mwenyewe nakumbuka ilikua safari ya DSM to Mafinga...
64 Reactions
168 Replies
22K Views
Memba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana...
73 Reactions
375 Replies
27K Views
Matukio mengi yametokea mwaka huu 2024, Je kwa upande wako ni matukio gani unadhani ni makubwa na kwa namna moja ama nyingine yameacha alama au kumbukumbu fulani kwako?
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Leo nimeona bora nije na thread ya pamoja kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass. Lakini pia kila mtu atakuwa huru ku share picha za jinsi...
23 Reactions
664 Replies
12K Views
Mwaka ambao haugawanyiki Kwa mbili mfano 2025/2023/2021 /2019 Kupitia hii miaka unaweza kufanikisha mambo yako kupitia haya mambo Visualization Mediation Examination Gratitude Frequency and...
4 Reactions
37 Replies
684 Views
Safari yetu ya utafutaji katika dunia hii imejaa misukosuko mingi sana either ya kifamilia, ndoa, kazi na kipato. Wapo watu chungu nzima dunia hii inawasulubu na hawajui wafanye nini kila...
36 Reactions
371 Replies
32K Views
Tunahitimisha mwaka 2024.. Kiuhalisia hakuna kinachobadilika zaidi ya tarakimu.. Maisha yetu yametawaliwa na tarakimu.. Na hizi ndio zinaendesha dunia ya kimwili na ya kiroho pia Tarakimu hazina...
24 Reactions
43 Replies
912 Views
Japo dini ni hazina tofauti na uganga wa kienyeji, upiga ramli, na utapeli, ni wachache wanaoelewa hivi. Hebu angalia namna dini zinavyotufanya waswahili tuwe maskini tukitajirisha wale...
7 Reactions
10 Replies
429 Views
Back
Top Bottom