Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari... Ntafuta marafiki wa jinsia zote wa kupeana nao changamoto za kimaisha, ushauri na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana wakiwa watu simple, watafutaji, wenye mawazo chanya, uvumilivu...
2 Reactions
1 Replies
883 Views
Habari za sikukuu wapendwa Nikiwa kama mwanajamii asee haya mambo yanayofanyikaga siku kama hizi za sikukuu(ukitoa siku nyinginezo),hali ni mbaya mno mtaani Ndani ya siku hizi 2 tu yaaani jana...
9 Reactions
23 Replies
865 Views
Nashangazwa sana ndoto nazoota,kuna wakati nawaota watu ambao nawajua,lani kuna wakati nawaota watu ambao sijawahi kuwaona hata siku moja,na sina uhusiano wowote nao.Wajuzi hebu nitoeni...
1 Reactions
1 Replies
135 Views
Habarini wanajamii forum! Tuingie kwenye mada moja kwa moja.. Mimi ni kijana aged 24 years,katika kipindi fulani cha maisha nikiwa shule ya msingi nilipoteza uwezo wa kusikia (deafness) nasikia...
9 Reactions
79 Replies
6K Views
Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu? Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti...
3 Reactions
34 Replies
808 Views
Teknolojia ya AI na drones inaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo cha misitu, ikilenga kuongeza uzalishaji kwa njia endelevu huku ikilinda mazingira ya asili. Kwa kutumia teknolojia...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Wasalaam. Zimesalia siku 20 tu mwaka 2019 uishe. Ni siku chache kweli kweli na zinakwenda kasi haswa. Wengi watakuwa wanatafakari namna miezi 12 ilivyokwisha na huku wangali: - Hawajatimiza...
18 Reactions
335 Replies
35K Views
Moja, haonekani. Pili, anatetewa na binadamu. Tatu, hakuna ushahidi wa kisayansi. Nne, anaenezwa kwa imani na vitisho siyo ufahamu. Tano, wanaomhubiri wanatofautiana na kuchukiana. Sita...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Mtaani mchuano wa DStv na AzamTv ni Mkali sana. DStv katika kuendana na kasi ya AzamTv ameamua kuachia ofa chaneli zote bure hata kama hujalipia kuanzia jana Desemba 27 mpaka kesho Desemba 29...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Naomba kujua changamoto mnazokutana nazo katika mfumo wa TARURA wakulipia maegesho watu mnaomiliki vyombo vya moto hasa katika vipengele hivi; 1.Uharaka katika kufanya malipo. 2.Usahihi katika...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Kurunzi la mwendawazimu mimi ,mtoto wa mkulima na mwananchi wakawaida najaribu kufikiria ,Katika 2024 na 2025, tunapoendelea na mabadiliko makubwa, tunapaswa kutathmini ni nini tunathamini leo...
1 Reactions
0 Replies
121 Views
Bado siku moja namba zibadilike kutoka 2024 kwenda 2025 Kiukweli mafanikio niliyo pata 2024 1. Afya njema, afya yangu ipo safi, sijapata ulemavu wowote, damu ipo safi, moyo upo safi, kiujumla...
15 Reactions
47 Replies
1K Views
Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu mambo mema ambayo wametendewa na Mungu, cha kushangaza wengi walianza kushukuru kwa kupewa uhai. Mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uhai una faida yeyote kwa...
19 Reactions
60 Replies
2K Views
Mimi si kkamilifu ninamapungufu yangu lakini ouna mambo unakutana nayo unaona hii ni zaidi ya mapungufu. Sina nia mbaya lakini ni mawazo ambayo nadhani siko pekeangu. Unaweza muona mtu anaumwa...
4 Reactions
7 Replies
159 Views
Wakuu Sallam Siku chache zilizo pita Kuna mdau iliweka thread humu JF aliuliza kumbe ukitoka kwenye uislamu unahukumiwa kifo,mada ambayo imezua mjadala mkubwa sana wachangiaji wengi wameonekana...
11 Reactions
65 Replies
4K Views
A.Mikoa yenye amani 1.Lindi. 2.Iringa 3.pwani 4.Dodoma 5.singida Vigezo 1.matukio ya mauaji machache na ukatili wa kijinsia 2.matumizi machache ya madawa ya kulevya 3.stress kidogo B.mikoa yenye...
5 Reactions
21 Replies
656 Views
Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive. Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo...
12 Reactions
86 Replies
2K Views
Mamlaka ya Uhifadhi na uendeshaji wa Mji Mkongwe Zanzibar kwa kushirikiana na taasisi nyingine za serikali zimekubaliana kuwaruhusu vijana wa wapiga makachu katika eneo la Forodhani kuendelea na...
1 Reactions
14 Replies
398 Views
Sio Kila rafiki, ndugu, mke au majirani wako karibu na wewe kwa sababu ya Upendo sio kweli ni Njaa tu ndo zinazowafanya wawe karibu na wewe. Siku wakizipata pesa au kuwa na uwezo wa kukidhi...
2 Reactions
0 Replies
93 Views
👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure 👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa...
15 Reactions
33 Replies
676 Views
Back
Top Bottom