Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kutoka Dom treni ya kwanza saa 11:15 alfajiri halafu baada ya hapo kuna moja ya kitajiri saa 2 asubuhi ambayo haiendani na uwezo wa wateja, mara nyingi haijai except peak demand. Utasubiri mpaka...
5 Reactions
7 Replies
433 Views
Hakika Jaji Asha Kwariko alikuwa ni Jaji wa kipekee mfano mzuri wa kuingwa na Majaji wengine walio hai, vyeo ni dhamana tu, ukifa ndio mwisho wako tenda haki. Jaji Kwariko alikuwa ni mtenda haki...
3 Reactions
10 Replies
467 Views
. Anaandika Mo Mlimwengu. Huyu huyu Mwenyezimungu muumbaji wa ardhi na mbingu. Huyu huyu ambaye ni Mfalme, mtakatifu, mwenye kutupa salama na kutupa amani. Huyu huyu anayeendesha mwenyewe mambo...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Watu wa Daslamu mna mambo mengi sana. Huu uduvi anaoubeza MKuu wa Mkoa ni kitu gani? Kuna mwanaJF humu anauza uduvi?
6 Reactions
33 Replies
856 Views
Wakuu habari za wakati huu. Samahani, nimekuja na mjadala tata kidogo ila nitafurahi kama wachangiaji watatoa hoja zenye mantiki tofauti na kuzozana pasipo misingi. Sijasimamia upande wowote...
-1 Reactions
0 Replies
119 Views
iilh ina maana gani kwa kiarabu? Hilo ni neno linalowakilisha kitu au mtu yeyote anayeabudiwa. Na upande wa Allah, ni moja ya miungu uarabuni. Huyu anafahamika zaidi kuliko wengine. Imefika...
-1 Reactions
7 Replies
198 Views
Pamoja na Jiji la Arusha kuwa kitovu cha utalii, wengi waliofika wanaweza kukubaliana kuwa mji huu ulikuwa na bahati mbaya ya kutopangiliwa vizuri toka mwanzo. Mji ni mdogo na huduma nyingi...
2 Reactions
1 Replies
188 Views
Hivi Karibuni mtu mmoja anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja Philemon Aggrey ameokoka na kuonesha kuwa ana nia ya kuacha na ushoga. Jamaa ameshare upekee wa maisha yake na kuonesha yako mengi...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali. Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu...
9 Reactions
485 Replies
50K Views
Ok mm hapa ni mzigua sasa kuna kitambu kinaniambia ety nikifa mungu atanihojii kiarabu kwaiyoo huyoo mungu hajuii kama mm sijuii kiarabu na huyoo mungu kweli atakuwa yuko sawa akamuhoji mtuu na...
-2 Reactions
0 Replies
103 Views
Habari za muda huu waungwana. Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana...
35 Reactions
212 Replies
4K Views
Binadamu kumbuka u mavumbi wewe na mavumbini utarudi, Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake hapa duniani ni chache Sana, Ushawahi kukutana na hizo quotes? Ndio mfumu WA maisha ulivo yaani...
1 Reactions
0 Replies
124 Views
katika maisha kuna ule usemi wahenga walikuwa wnatumia wakiwa wanasema kikulacho kinguoni mwako, basi usemi huu umekuwa wa kwel katika maisha yetu ya kila siku ambapo wale tunao waamini sana na...
2 Reactions
8 Replies
363 Views
Pia soma: ~ Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo ~ Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika...
1 Reactions
0 Replies
188 Views
Waungwana hivi zile pesa tunazolipa wakati wa kuingia kwenye vyoo hasa maeneo ya Stand zinafanya kazi gani? Maana vyoo vingi vya Umma vina changamoto ya usafi na ukosefu wa maji bila kusahau...
1 Reactions
10 Replies
406 Views
Good afternoon JamiiForums. Je, unataka urafiki wenu uendelee kudumu miaka na miaka? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako. Usifikiri mkijenga majirani ndio mtadumisha urafiki...
32 Reactions
143 Replies
12K Views
Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii...
12 Reactions
195 Replies
13K Views
Kuna wakati maisha yanakuwa ni ufala sana kwani ingawaje wanaoyaishi ni binadamu wenyewe lakini hukosa usawa kabisa... Kuna mtu muda huu anakufa baada ya kukosa elfu tatu ya dawa ya mseto, Kuna...
47 Reactions
256 Replies
56K Views
Aliyekuwa Mfalme wa Zanzibar Sayyid Jamshid amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo nchini Oman zikiwa zimebaki siku chache kufikia miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomuondoa madarakani na...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Kila bayana humpa mtu uhuru wake na haki yake, naendelea na kauli yangu mwaka 2025, no meet no meeting, no meeting no meet. Kila mwamba ngoma huvutia kwake, mpira hauchezwi bila kufika uwanjani...
2 Reactions
2 Replies
122 Views
Back
Top Bottom