Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza...
Serikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi.
Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa...
Alaaniwe yule mtangazaji wa redio (kama siyo tbc basi ni radio free) ambaye alitangaza kwamba mdada (mmama) yule amekufa. Ili nisiwaache wengine hapa ngoja nifafanue kidogo, huyu Christy Cheung ni...
Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Editha Andason, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, uliopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, aliyeuawa kwa kunyongwa kwa mtandio...
Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV.
Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia.
Pia kama ulikuwa...
Kuna ubaguzi mkubwa kwenye taasisi ya vyuo vya mifugo LITA kwa watumishi kupata stahiki kulingana na mtumishi kuwa karibu na mwenye kitengo.
Changamoto imezalisha chuki kwa watumishi pia hawana...
Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu.
Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo...
Wana Jamvi kheri ya Sikukuu na mwaka mpya 2025. Kuna jambo naomba lilete kwenu hapa, juzi Desemba 24 nilikuwa miongoni mwa abiria zaidi ya 71 tuliosafiri na Basi la Nyehunge linalofanya safari...
Kama mtu ambaye si raia wa Afrika Kusini, nimewahi kuwashutumu Waafrika Kusini kila mara kwenye harakati zao za kuwaondoa wageni lakini sasa nimekua kifikra na kuelewa kwa nini si vibaya kwao...
Utata umegubika tukio la mauaji ya Graison Kenyenye (6), mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa jijini Dodoma, Zainab Shaban maarufu Jojo.
Graison aliuawa usiku wa kuamkia juzi, wakati mama yake...
Nimeona Rais Samia kamtumbua kiongozi wa juu wa Mwendokasi labda kero zitapungua kwa kweli.
Ukiachana na kero ya msongamano wa abiria na utaratibu mbovu ambao kila siku hata Jamii Forums naona...
Watu wanawaleta wagonjwa wa akili makanisani harafu wanasema Wana mapepo.
Matokeo yake ndio hayo na Pastor Kwa kutojielewa na kutaka aonekane anakubalika Kwa watu wake akapotezea kwenda Hospitali...
Inakuwaje wanajamvi.
Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na...
Kwanza, nyuzi kama hizi ni muhimu sana katika jamii ili kuelimisha na kukumbushana juu ya hali halisi za Maisha, UKIMWI UPO NA UNAUA. Huu ni ukweli ambao kila mtu anapaswa kuujua ya kwamba, UKIMWI...
Kama member mmoja humu anaitwa Eli Cohen anapenda kusema kuwa "itikadi yenu sio ya harakati ya haki wala ukombozi, ila ni ya harakati za kitapeli"
Mengine nawaachia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.