Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki...
1 Reactions
0 Replies
644 Views
Salaam, Shalom!! 1. Mchawi anapokujia usiku, akijua wewe u Roho, utamwona,hupaka unga usoni kisha hunuiza maneno Fulani Fulani Ili asionekane, na nuizo Hilo huambatana na kufunika sura yake Kwa...
3 Reactions
29 Replies
668 Views
Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso.Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.Katika habari ya upendano, hamna haja niwaandikie...
3 Reactions
4 Replies
190 Views
Kuna kikundi Cha wahindi wanatembelea maeneo ya wafanyabiashara wa Pesa za mitandao (mobile money) na kuwaibia kwa njia ya viinimacho (chuma ulete). Wako kikundi la watu zaidi ya watatu kwenye...
1 Reactions
4 Replies
261 Views
Ukiwa unatumia vifaa vya umeme, haijalishi kama umeme unaotumia unaenda katika uzalishaji halisi au upotevu—vyote utavilipia. Hii ina maana kwamba Tanesco (kihalali) wanakulipisha: 1. Nguvu...
1 Reactions
1 Replies
166 Views
YANGA OMARY RAIS WA TANGA Kuanzia mwaka 2016, Watu maarufu kama MAPEDEJEE walikuwa na wakati mgumu sana. Watu hawa ambao walikuwa wakiimbwa na kusifiwa na wanamziki wa dansi Walianza “kusomeshwa...
22 Reactions
58 Replies
14K Views
Benki ya Maendeleo ya Kilimo inamlenga Nani?Hii benki pendwa imemlenga Nani? Toka ianzishwe imesaidia wakulima wangapi? Wapi? Lipo la kujivunia?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jiulize mtoto 1. Aliyebakwa 2. Aliyelawitiwa 3.Aliyetelekezwa na wazazi 4. Aliyekataliwa 5. Aliyeshuhudia baba akimpiga mama. 6. Aliyeshuhudia mama akimpiga baba 7. Aliyeshuhudia baba na mamá...
2 Reactions
1 Replies
123 Views
Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Aggrey niliwahi kumuona mara 4 wakati ni shoga.Alikua amechunda,havutii hana nuru mwenye tumbo kubwa kama pakacha na tabasamu la kufosi Baada ya kubatizwa nimemuona live mara moja.Amekonda...
10 Reactions
184 Replies
6K Views
Naomba kufahamishwa mtandao wa simu ambao upo stable katika streaming na price za data package zao. Nimejaribu kuingia kwenye account za insta za Airtel na Halotel, hakuna nilichoambulia zaidi ya...
1 Reactions
10 Replies
261 Views
Lamwike JF Huku kijijini kwetu Njelela kilichopo Kata ya Mundindi, Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe kuna Mwalimu anatutesa sana, kwa sasa amekaimu Utendaji wa Kijiji baada ya Mtendaji aliyekuwepo...
3 Reactions
12 Replies
673 Views
Wakuu naomba mnisaidie kutoa tongotongo kwenye huu mradi mkubwa wa ujenzi wa treni ya SGR. Hivi sisi wazawa tunaruhusiwa kusambaza huduma au bidhaa zipi?
0 Reactions
6 Replies
240 Views
Wakuu Kwema ? Kwa mwenye hiki kitabu cha Almasi ya Kijani kilichoandikwa na Dkt. Dyaboli naomba anisaidie namna ya kukipata.
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hali ni mbaya sana sasa hivi kwa mitandao ya simu kuhusu swala la kununua umeme kupitia simi za viganjani. Imagine unanunua umeme kupitia twigoopesa unakaa masaa matatu hakuna token na giza...
2 Reactions
12 Replies
490 Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali...
1 Reactions
5 Replies
414 Views
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive...
37 Reactions
146 Replies
12K Views
Katika harakati za kurekebisha majina ya cheti cha kuzaliwa yafanane na yale yaliyo kwenye vyeti vya taaluma nilikwenda RITA wilaya ya LINDI Mjini, mara ya kwanza nikalipia na kuacha MAJINA SAHIHI...
1 Reactions
30 Replies
647 Views
Watoto huchagua wazazi wao kabla hawaja zaliwa. Kwa lugha nyepesi, ni kwamba wazazi ulio nao, uliwachagua mwenyewe kabla haujazaliwa. MTOTO HUCHAGUA VIPI WAZAZI KABLA...
3 Reactions
69 Replies
12K Views
Zanzibar wanalalamika nyama kilo kuuzwa elfu 16 kwanini wasifuge? Hawa jamaa wanalalamika nyama kuuzwa kilo elfu 16 lakini kwa takwimu sio wafugaji wala siyo wakulima Pemba na Unguja pana...
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Back
Top Bottom