Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Vijana changamkieni fursa adhimu ya kwenda na Kuishi Marekani. Full Raha kule hakuna mateso kama Nangurukuru
14 Reactions
300 Replies
22K Views
Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah. Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini...
19 Reactions
80 Replies
2K Views
Vijana wengi siku za hivi karibuni wameonesha uzalendo wao kwa kujiunga na Jeshi La kujenga taifa (JKT) kwa kujitolea na kwa mujibu wa sheria pia. Lakini idadi kubwa ya vijana Hao wanakosa ajira...
13 Reactions
79 Replies
2K Views
Kusema kweli mzee makongoro nyerere hachoshi katika hotuba zake, Huyu mzee kwa mimi binafsi ningetamani sana apate wadhifa wa juu, kwa hii nchi ilivyo kwa sasa inahitaji watu wa aina hii...
3 Reactions
13 Replies
277 Views
Herini ya sikukuu ya Noeli, kwangu naona ilishakuwa mbaya kwa mfululizo wa yanayoendelea na hili lililonifanya niandike hapa muda huu. Kwanza nianze kwa kusema sina utulivu kabisa usingizi...
46 Reactions
245 Replies
6K Views
Mzuka wanajamvi! Kama kawaida yake mshambuliaji na winga matata wa timu ya ligi ya uingereza ambayo sasa hivi inaongoza ligi Raia wa Misri Mohammed Salah. Ameposti picha akiwa mbele ya mti wa...
18 Reactions
83 Replies
2K Views
Mitandaoni huyu jamaa ana trend japo hana wadhifa wowote serikalini lakini inaonekana kama ndo mtendaji Mkuu wa serikali, labda cheo chake hakipo dhahiri 1. Rais Mseveni wa Uganda Ali tweet Ati...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
MMILIKI wa Kituo cha Cambiasso Sports Academy, Kambi Zuberi Seif na aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya Simba, Muharami Sultan, wameieleza mahakama kuwa walikiri kujihusisha na biashara ya dawa...
1 Reactions
9 Replies
633 Views
Anonymous (5283)
Walimu katika Halmashauri ya Mvomero wanalalamika juu ya kutolipwa fedha ya za likizo kwa zaidi ya miaka 5. Lakini cha kushangaza kuna baadhi ya walimu kila mwaka huenda likizo na kulipwa fedha...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Kama ulidhani mali zako zitakuwa salama ukiziandika kwa majina ya mama yako au ndugu mwingine, basi fikiria upya. Kuna madhara mengi unayoweza kuyapata ikiwepo kupoteza uhalali wa umiliki wa...
11 Reactions
31 Replies
848 Views
Dukani unaambiwa bidhaa ni kiasi flani na unalipia unawakumbusha risiti, wanakutolea yenye kiasi pungufu
2 Reactions
22 Replies
474 Views
Anonymous (b3f4)
Sisi wakulima wa ukanda wa Pwani tunateseka sana na mbolea , hakuna mbolea yoyote ya Ruzuku kwa sasa ilipo kwa mawakala , toka mwezi wa 11 mwishoni, kila wakala anasema serikali haijalipa...
1 Reactions
0 Replies
77 Views
Machinga wapo kila pahala Dar hapo wanapanga bidhaa barabarani na Mwanza Wapo hapo round about Nyerere road Hizi ni sehemu hatarishi Unakuta kariakoo mtu kapanga nyanya na bamia, makele yasiyo...
5 Reactions
41 Replies
770 Views
Habari, Kwa yeyote anaeifahamu kampuni ya kuchukua tenda na kuingia ubia na baadhi ya makampuni hapa nchini kwa lengo la kuwa recruit na kuwapatia hayo makampuni wafanyakazi yakiwemo Tigo...
3 Reactions
5 Replies
464 Views
Leo katika pitapita zangu kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya nimejionea namna ambavyo Jiji hili lilivyo chafu. Viroba vya takataka vimerundikwa kila mahali katika mitaa ya Jiji hili. Wenye...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
kamatunavyo jua wakiristo wanadai yesu ni mungu naleo inasemekana ndio siku aliozaliwa yesu naleo wakiristo wanasherehekea barth day ya yesu mimi sinamengi yakusema zaidi yakuwatakia herí ya...
3 Reactions
14 Replies
287 Views
Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana. Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki...
71 Reactions
262 Replies
25K Views
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa...
16 Reactions
313 Replies
23K Views
USHUHUDA WA PASTOR CHIDUBEM OKWU ALIYEENDA MARINE KINGDOM KUJIPATIA NGUVU KUTOKA KATIKA FALME ZA GIZA ILI AWE MTENDA MIUJIZA MIKUBWA KANISANI KWAKE NA APATE WATU WENGI. Maana ya huyu mchungaji...
2 Reactions
13 Replies
794 Views
Habari za leo wakuu Naombeni msaada wa app nzuri inayosaidia kutaja majina ya watu wanaopiga simu inapokua inaita Na namna ya kuiset Nawasilisha Merry christmass
1 Reactions
12 Replies
390 Views
Back
Top Bottom