Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church. Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la...
5 Reactions
61 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu Siku njema 150: ZABURI 1 Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake. 2 Msifuni kwa matendo...
4 Reactions
10 Replies
254 Views
Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)...
2 Reactions
3 Replies
173 Views
Anonymous (49c1)
Habari, Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Nimeona wale vijana wa makachu wamekuja Coco beach. Wazo langu naishauri wilaya ya ilala pale pangeboreshwa pakawekwa ngazi na retaining wall na pakasafishwa . Pakiwa promoted ufalme wa...
1 Reactions
1 Replies
173 Views
Tangu jana usiku, nikitaka kutuma pesa toka Airtel money kwenye mitandao mingine ya simu au bank napata ujumbe wa ‘Unable to fetch, bad details’ Je, kuna taarifa yoyote rasmi juu ya tatizo hili...
4 Reactions
5 Replies
192 Views
Heri ya sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya KITABU: ZIJUE BARABARA SIKUKUU ZA NOELI NA PASAKA Na. Padri Titus Amigu. Chapa - Benedict publication Ndanda - Peramiho - Juni 2000. KRISMASI: Pg...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Wapo marafiki wa aina mbalimbaali katika maisha unaoweza kukutana nao k.v 1.wenye roho nzuri yaani hata ukiwa kukusaidia ni haraka. 2. Wenye wivu ambao haunekani yaani ukifanikiwa anakusifia...
2 Reactions
1 Replies
168 Views
Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini...
6 Reactions
22 Replies
398 Views
TUZITUNZE TUNU ZA UPENDO, UMOJA NA AMANI: BASHUNGWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuishi kwa kutunza tunu za upendo, umoja, amani na...
1 Reactions
1 Replies
142 Views
Hivi Hawa vibaka wanaotuibiaga kwenye daladala makondakta hawawatambui kwa wakati au ndo Lao moja
2 Reactions
9 Replies
326 Views
Habari, kumekuwa na changamoto kubwa sana kwa abiria tunaoshuka njini kwa kupanda daladala za kutoka bohongwa kwenda usagara tunalazimiashwa kulipa nauli nauli kamili bila kujali tunashukia njini...
1 Reactions
1 Replies
135 Views
Jengo la biashara linalouza magodoro lililopo eneo la Mtaa wa Nyamwezi na Kipata katika Soko la Kimataifa la Kariakoo Jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto Jioni hii. Chanzo cha moto huo bado...
1 Reactions
15 Replies
975 Views
Nataka niwasaidie wana-JF Kuelekea mwaka 2025 , hakikisha mambo yafutayo unayazingatia Sana na kuyalinda with all costs . Jiepushe na uchoyo - usimnyime mtu kitu ambacho kipo ndani ya uwezo...
6 Reactions
10 Replies
228 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hawali nguruwe Hawakosi kuhudhuria sabato Mengineyo yasiyofaa wanaendelea nayo kila siku Why? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Siku njema
4 Reactions
19 Replies
319 Views
Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa kwasababu walikuwepo wanachama wakubwa sana akiwemo Chacha Wangwe, Ndesamburo...
1 Reactions
4 Replies
209 Views
Usijisumbue kwenda Kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na...
107 Reactions
358 Replies
16K Views
Back
Top Bottom