Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Naombeni calculation ya Mtumishi anayekwenda Likizo TANGA to MWANZA Mwenye Mke na Mume tu bila Mtoto yaani wako wawili.
1 Reactions
14 Replies
660 Views
Wadau hamjamboni nyote? Karibuni tujifunze Ishara hizi za kiaskofu zote zina maana yake; tutaje kwa ufupi, tuwe wakarimu kwa kuzitaja ishara zaidi ya hizo ulizozitaja katika swali: Kiti cha...
6 Reactions
3 Replies
357 Views
Wajuvi wanasema kwamba kabla ya kuingia baharini, mto unatetemeka kwa hofu; unatazama nyuma katika safari nzima, vilele na milima ulikopitia, barabara ndefu na yenye kupindapinda iliyovuka kati ya...
8 Reactions
14 Replies
613 Views
Hali inazidi kuwa mbaya siku hadi siku.. Ukimaliza siku salama na kurudi kibandani kwako unamshukuru Mungu sana! Ukikaa mahali lazima kwanza uangalie kushoto kulia mbele nyuma na ilibidi juu chini...
9 Reactions
33 Replies
640 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tumsifu Yesu Kristo Tafakuri makini kwa wenye hekima Aksante Kanisa Katoliki kuendelea kutunza miili ya watakatifu
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Mambo vp wadau wa JF naomba kushare nanyi List ya mikoa 10 ya Tanzania bara inayoongoza Kwa wakazi wake Kujua Kusoma na Kuandika (Literacy Rate) na Mikoa 10 ya Mwisho katika kipengele hicho...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika jamii nyingi za kiafrika kuna kodi inaitwa Black Tax, Ukisha onekana una kipato simu zinaanza kuita, yaani tayari ushavikwa jukumu la kusaidia ndugu wa familia, ndugu wa baba, ndugu wa mama...
25 Reactions
63 Replies
2K Views
Chanzo gazeti la Mwananchi la leo Nini maoni yako Mimi maoni yangu hata wabunge wangekuwa na ukomo wa miaka 10.Hii itaondoa dhana kuwa bila flani mambo hayawezi kwenda kumbe mwingine utajiri wake...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
Bwana Yesu Asifiwe. Tusifike mbali maisha ya machimbo ya dhahabu yasikie tu kwa jirani kama unampenda mtoto wako huwezi ruhusu akatafute maisha machimbo sisemi kwamba watu wasiende ila naandika...
65 Reactions
236 Replies
26K Views
Wakuu, Pengine mimi bado sijaelewa Essence ya hawa watu Kuji expose kwenye Community kiasi hiki, Kwasababu these people have been with Money for a while na Mostly walikuwa ni watu wa Low key ni...
3 Reactions
18 Replies
495 Views
Wakuu hivi nikiwaletea tende, misuli na makobazi toka uarabuni na mbele ya duka nitengeneze kijiwe cha kahawa na mijadala ya mpira na vita vya mashariki ya kati si itakuwa poa?
12 Reactions
23 Replies
508 Views
Merry xmass all jf members Niseme ukweli. Hili neno waendesha uchumi nimeanza kulisikia wiki hii. Hawa watu ni kina nani? Vigezo gani vinatumika kuwachagua? Mbona sikuwahi kuwasikia awali? Kwa...
1 Reactions
9 Replies
310 Views
Jeshi la Polisi limetoa maagizo kwa makamanda wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya doria katika barabara zote zitakazotumiwa na mabasi yatakayokuwa yanafanya safari zake saa 24 katika...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Alikuwa na mambo mengi na Vituko vingi tu ila binafsi nakumbuka kila alipokuwa akienda katika Vijiwe vya Masela wa enzi hizo wenyewe Masela walikuwa wanapiga Magoti na wanajisalimisha Kwake na ama...
18 Reactions
155 Replies
29K Views
Kuna ulimbukeni mkubwa wa baadhi ya watu kuendesha umbali mrefu na familia zao kwenye gari ndogo kwenda kusalimia ndugu , jamaa na marafiki huko Mikoani.. Barabarani ajali ni nyingi sana za...
16 Reactions
48 Replies
4K Views
Vijana kadhaa wameniomba nirudie maelezo kuhusiana na maneno “CHRISTMAS” na “X-MAS” maana wanachanganywa na wenzao. Kifupi, maelezo yanayosambazwa kwenye mitandao yetu ni kwamba “Christmas” ni...
2 Reactions
3 Replies
833 Views
Nimeishi vijijini na maporini kwa muda, niliyoyaona yanastaajabisha! Watu hawazingatii usafi, wanakula matunda bila kuosha, wanakunywa maziwa hata yasiyochemshwa wala hawadhuriki kamwe! Maji...
8 Reactions
54 Replies
1K Views
Wakuu habari, Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio, Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani, Polisi purukushani na Raia, Sasa hiko ivi: KUNA...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Chei Chei Waungwana Muna Habari Yoyote Kuwa Shkuba Yupo Huru ? Kwa Taarifa zilizonifikia wakati huu kuwa Tajiri Shkuba kamaliza kifungo chake cha miaka minne na sasa yupo huru na yupo nchini...
13 Reactions
180 Replies
18K Views
Back
Top Bottom