Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Huyu mwanamke ni mrefu hatari aisee kweli dunia inamaajabu tena ni mrefu halafu mtu wamazozezi apa ukiwa kijeba hamuendani
3 Reactions
7 Replies
459 Views
Lengo ni kuweka kumbukumbu vema na kuondoa upotoshaji Neno la hekima kwa walio.na hekima Nukuu: 1 Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi ulikuwa chini ya miguu...
3 Reactions
143 Replies
2K Views
Nimetoka Lindi leo kabla tu ya mchana na basi letu limeenda mwendo mzuri tu! Hata Vikindu foleni haikuwepo. Saa kumi na nusu ndo tunaikuta foleni ya Kongowe, imeanzia nyuma ya shule ya St...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Niko hapa nina mialiko minne ya sikukuu na bado sijarudi mkoani kwa mama yoyoo. Sitaki kuwakera maboss zangu walionialika kwa hio nimejigawa, jana usiku nimekesha kwa mmojawapo. Leo saa nne...
4 Reactions
15 Replies
298 Views
Kama kichwa kinavyojieleza..nahitaji ufafanuzi wa huo mstari kwenye wimbo wa hao mabinti wawil ambao inasemekana wanapenda sana kwichkwich! Merry Christmas 🌲
2 Reactions
1 Replies
200 Views
Watuhumiwa sita wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki leo December 06,2024, wakituhumiwa kutaka kumteka Mfanyabiashara Deogratius Tarimo katika eneo la...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu wachaga nawaandikieni kwa uchungu mkubwa. Mkiendekeza speed barabarani mjiandae na matokeo yake. Wiki mbili tumezika vijana yapata 8 kwa ajali. Yawafaa nini?
13 Reactions
126 Replies
13K Views
Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali. Wadau hamjamboni nyote? Ukweli lazima usemwe na uongo ukemewe. Wafalme wa Rumi ya wakati walipiga marufuku wakiristo kuabudu siku ya...
5 Reactions
17 Replies
728 Views
Wakuu kwema? Kipi kimejificha kwa hili kabila la kihaya! Kila mmoja wao akifikisha kuanzia miaka 30 tayari anakuwa na upaa. Shida itakuwa Nini wakuu. Merry Christmas.
1 Reactions
42 Replies
897 Views
Anonymous (2f59)
Mimi ni mkazi wa Wami Dakawa, Wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro Lalamiko langu kwa Ofisi ya Maendeleo ya Jamii Mvomero na Mkurugenzi Mtendaji kwani hadi sasa hatujapata mrejesho wa maombi ya...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
DAWASA imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau aliyelalamikia changamoto ya Huduma ya Maji Kibaha, kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ DAWASA Kibaha nini tatizo? Hakuna Huduma ya Maji wiki ya pili...
1 Reactions
1 Replies
187 Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ameahidi kutatua kero zinazowapata Watoto wenye mahitaji maalum Wilayani Muheza ikiwemo...
0 Reactions
4 Replies
269 Views
Nikipita sokoni naiona inauzwa najuaga labda matumizi yake ni kutengeneza tu unga wa lishe. Gunia lake linauzwa 200000-350000. Sijawahi kuona nyumbani kwetu wameinunua ngano hiyo.
2 Reactions
5 Replies
322 Views
Kwa sasa maisha ni magumu mno,vipato ni vidogo na matumizi ni makubwa sana.Kinachotakiwa ni kuacha tamaa na uvumilivu mkubwa sana,ama wewe na mkeo au wewe na mmeo,au kwa mabachela,bila hivyo...
0 Reactions
2 Replies
131 Views
Kwa muda sasa kumekuwa na kundi kubwa la vijana wanaolala barabarani kama makazi yao ya kuishi maeneo ya Barabara ya Sam Nujoma kuingia Sinza Makaburini. Idadi ya vijana hawa imekuwa kubwa na...
15 Reactions
33 Replies
1K Views
Makala hii nitaiweka kwa vipande kuepusha kero ya usomaji. Moja ya hoja maarufu kutoka kwa watu wanaoamini Mungu (Theists). Ni hoja ambayo imelenga kuweka matumaini ya mwelekeo katika maisha ili...
16 Reactions
347 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Usishangae wala usibishe, ukweli yalikuwa ni masanamu 2 yenye umbo la kibinadamu yaliyopewa jina la makerubi Yalikuwa na kazi ya kulinda hekalu takatifu la Mungu na...
0 Reactions
10 Replies
400 Views
Ki ukweli tukubari kwa misukosuko aliyopitia Freeman Mbowe ni makubwa sana mpaka visanga alivofanyiwa vyote. Nakumbuka hata Mitume walifanyiwa visanga vingi na watu ila mwisho wa siku wao ndio...
2 Reactions
4 Replies
709 Views
https://youtu.be/HmKR8SPt17s?si=6EjcTzcwTVzyOeum
0 Reactions
0 Replies
74 Views
https://youtu.be/yb-hC6suofc?si=kI9uE3IMw8NYkp_c Huyu wana mchekea wangemchukulia sheria. Kuwa albino isiwe sababu ya yeye kutukana watu kwa kivuli cha ulemavu yeye sio albino wa kwaza Pia...
12 Reactions
119 Replies
4K Views
Back
Top Bottom