“Watu wanaenda Krismasi na nyie wote mlioko hapa mnaenda Krismasi, wapo wa Moshi, wapo wa Arusha, wapo wa Mbeya, wapo wa Iringa na wengine Songea nyumbani kwetu, ulaji utakuwa wa kupitiliza, ulaji...
Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa...
𝗠𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗺𝘂𝘂𝗮𝗷𝗶 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝗽𝗲𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝗺𝗮𝗿𝗲𝗸𝗮𝗻𝗶
Dunia na maajabu yake kutana na jamaa mmoja anaitwa Luigi Mangione muuaji aliyetokea kupendwa na wamarekani wengi haswa watu wenye hali ya chini baada...
Kwa takribani miezi mitano, Mzabuni aliyechukua tenda ya Ukusanyaji taka katika Mitaa ya Chanika ya Gogo, Bondeni na Polisi wameshindwa jukumu hilo, hakuna taarifa rasmi au maelezo kutoka Serikali...
Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA...
Sikukuu hii imekuwepo kabla ya kuhusishwa na Ukristo. Inasemekana ili ukristo ujivunie waumini ilibidi waiingize kwenye dini na kuihusisha na Yesu. Matokeo yake wazungu wengi wasio na dini...
Napenda kutoa ushauri Kwa taasisi za umma panapokuwa na changamoto au marekebisho ya kimfumo iwe inatolewa taarifa kuwa kuanzia saa Fulani Hadi Fulani kutakuwa na jambo Fulani kwahiyo hamtakuwa...
Habarini za weekend wakuu, leo nimepitia nyuzi mbalimbali zinazohusu forever living products, nikaamua na Mimi niweze kushare kitu kuhusu hii kampuni.
Kwanza nakiri kuwa niliwahi kujiunga na...
Kwanza nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.... Yaani penda usipende CCM imebeba matumaini yako kama mtanzania.
Tukirudi kwenye lengo la uzi ni kwamba nimeshangazwa sana na watu...
Habari Wandugu!
Leo kero yangu ipo kwa wasafirishaji wa abiria Mikoani haswa masafa marefu ya kuanzia masaa sita na kuendelea. Ni kawaida kwa wasafirishaji wa mabasi kutokuwa na vyoo ndani ya...
Aslaam,
Kuna wakati kama binadamu unatakiwa ujitafakari.
Mim binafsi nimejitafakari na kugundua nimechelewa saana katika maisha. Na Moja yakitu kilichonichelewesha ni hofu.
Asikuambie mtu hii...
Moto ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza Mabanda ya Muuza Mihogo maarufu katika fukwe za Coco Jijini Dar es Salaaam aitwaye Asley Mihogo.a
Jeshi la zimamoto na...
Heri ya Xmas
Niende kwenye mada kwa Tanzania asaiv huenda bwana DUDU BAYA akawa ndio MSHAURI mashuhuri wa NCHI hii ni baada ya kuona ikitokea sintofahamu yoyote nchini...
Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha.
Nilimbishia ila...
📖Mhadhara (68)✍️
Katika mizunguko yangu ya leo tarehe 27/11/2024, majira ya saa 14:20 nilifika kwenye duka la nguo la dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 40. Wakati nachagua nguo dada huyo...
Wasalaam wakuu!
Kwanza kabisa Nakubaliana na ushauri wote wakitabibu kuhusu aina sahihi ya chakula na namna nzuri ya ulaji kutoka kwa Daktari bingwa na mkuu wa kitengo cha magonjwa ya moyo...
Hili vibe la uchagani na upareni this time sio poa wanangu
Yaani toka nimefika huku ni mwendo wa kulewa tu
Watu tunalewa hadi miguu inakosa nguvu magari tunasaidiwa kuyadrive oya sio poa
Uchawi...
Bila kuanza kutoa huwezi kupokea, hii ni Kanuni ya asili ya ulimwengu aliyoweka muumbaji, hata walimu wa theolojia wanatufundisha kwamba upendo wa Mungu upo maximum and constant haupungi Wala...
1.kuosha vyombo
2.kudeki ndani
3.kutandika kitanda
4.kupika
5.kuogesha mtoto
6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo
NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.