Hii imetokea jana asubuhi.
Mzee huyu amefariki baada ya pressure ya mawazo iliyotokana na kuhuzunika mke wake alipougua.
Interest yangu na Ephraim Kibonde ni kwamba yeye ndiye aliyesabsbisha...
Kuna mahala nilikuwa katika Kikao kidogo ndani ya Ukumbi na kuna Dada kwa kutokujua kuwa alikuwa anatuonyesha Video ya bure ya kilichopo katikati ya Miguu yake (ila Kimefunikwa) na alipojulishwa...
Wakuu nahisi Nina shida psychologically...
Nashindwa kufanya Mambo mengi kwa sababu ya kuwaza hasi kila Mara, nahisi kama kitabu kitanisaidia zaidi kupambana na hali hii....
Kama Kuna mtu anaweza...
ni kweli ajali huwa zinatokea kila mwezi kutokana na maagano ya kishetani,mila na kutambikia mizimu kila mwezi.
Hali inazidi kuwa mbaya mwezi wa mwisho wa kila mwaka, kwa sababu watu dizaini...
Dereva wa gari kubwa ya kuchanganyia zege yenye namba za usajili T. 414 BPD ambaye jina lake halijafahamika kwa haraka, amefariki dunia, huku watu wengine watatu wakijeruhiwa katika ajali...
#Repost @wasafifm
——
Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake Charles Peter kwa kosa la kukataa asisome ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu yake mara baada ya...
Hii media ilivyoanzishwa tuliona kama ni mkombozi kwenye Tasnia hii kwa kutoa habari za ukweli na uhakika lakini ghafla imekuwa ndivyo sivyo...
Toka imeingia ubia na AZAM MEDIA imebadilika sana...
Kuna mdau mmoja hapa ameniuliza swali, nami nikaona niwashilikishe wana JF.
"Je mapenzi/upendo yanaifadhiwa moyoni au ubongoni/akilini"
Upi mtazamo wako?
Hili jiko bwana linataka shule, ukinunua mfano lile la 3500W, ukapika kwa hizo watt zote 3500 basi umeme wa 10,000/= utalast masaa 8 tu.
Lakini kuna siri moja. Na hii nimepractice mimi mwenyewe...
Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri.
Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana...
BASHUNGWA ATOA ONYO KALI KWA MADEREVA WAZEMBE, ASISITIZA VYOMBO VYA MOTO KUFANYIWA MATENGENEZO.
📌 Serikali haiko tayari kuona maisha ya Watanzania yanawekwa rehani na madereva Wazembe.
Waziri wa...
MBUNGE MARTHA GWAU AWAGUSA WANAWAKE WA SINGIDA DC & IKUNGI KWA MAJIKO YA NISHATI SAFI YA GESI YA KUPIKIA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau amekabidhi majiko ya Gesi...
Hapo vipi?
Awali ya yote nadeclare yakwamba ni kisasi cha milele na shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake. Nije kwenye mada husika ya kwamba ninaposema hii vita kati ya mwanadamu na shetani...
Picha ilianza na Mimi. Nilibahatika ya kufaulu na kwenda shule nzuri tu ya sekondari ambako pia nilifauli kwenda masomo ya juu. Nikiwa nimekomaa na masomo ya biashara, ndoto kuu ilikuwa kuja kuwa...
Hii ni kali ya mwaka.
========
Joyce Ojala (32), Mkazi wa Matalawe Mjini Njombe, anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na Watu wasiojulikana ili kumlazimisha...
Katika pita pita zangu, nimekutana na hoja ya pasta mmoja wa Kenya akisema kuwa kuna Mungu na pia kuna miungu, na miungu ni sisi wanadamu. Watu walicheka sana na kumuita mnafiki.
Kuna watu wengi...
Napenda niwe wa kwanza kuwatakià heri ya xmass na mwaka mpya .
Mambo mengi muda mchache .
So xmass na sìku hzi kuingia hùmu nì kidogo sana .
Nawatakia furaha na amani kwenye huu msimu wa xmass...
Welcome On board...
Nawatakia wadau wote wa JamiiForum, wakiwemo members na non members na Uongozi mzima Wa JF, ukiongozwa na Director Maxence Melo, heri ya sikukuu ya Christmas 2024 na mwaka...
Wivu wivu wivu wa mapenzi unazidi kutoa roho za watu wengi waliopo kwenye mahusiano ya kimapenzi jamani.
=====================
Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia Castory Abusalam Kindole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.