Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu! Prof Janabi ametuma ujumbe kwa ndugu zetu wa Rombo mkoa wa Kilimanjaro kwamba maji na matunda ndiyo muhimu katika kula na kunywa katika kipindi hichi cha sikuu ya Xmass. Ila Janabi...
9 Reactions
18 Replies
821 Views
Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle Ulomi alikuwa askari wa Jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni...
21 Reactions
140 Replies
10K Views
Wadau, hii mada ishajadiliwa sana baada ya serikali kutoa tamko kwamba Malawi inafunza watoto kupitia ramani za google ambazo zinaonesha ambazo zinaonesha ziwa lote ni milki ya Malawi. Ukweli ni...
0 Reactions
7 Replies
348 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kuendelea kuimarisha usalama barabarani na kuzuia ajali zisitokee limefanya operesheni, misako na ukaguzi wa magari iliyofanikisha kuwakamata jumla ya...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Ni wiki sasa imepita tangu nipitie njiapanda ya Segera askari wengi wakishirikiana na baadhi ya maofisa wa T.R.A hapo wanapokea rushwa wazi wazi bila woga . Wakati wa usiku unapofika hapo askari...
1 Reactions
5 Replies
291 Views
Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death...
6 Reactions
15 Replies
551 Views
Kila kabila au mkoa una utambulisho wao hapa mjini Dar 1. Watu kutoka Tanga Hawa hujulikana kama waganga wa kienyeji, Yaani ukimwambia mtu unatokea Tanga mtu atakuwazia mganga tu Kwa wanawake wa...
2 Reactions
4 Replies
274 Views
Nimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto! Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao...
11 Reactions
94 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando, amethibitisha kutokea kwa ajali leo asubuhi, saa 12, katika eneo la Michungwani, Kata ya Segera, Wilaya ya Handeni. Ajali hiyo, iliyohusisha lori na...
3 Reactions
11 Replies
762 Views
DIRA YA TAIFA 2050, HAKUNA AMANI BILA HAKI Kwenye Mkutano wa Kongamano la Vijana la kuangazia Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Nilipatata fursa ya kutoa maoni juu ya kuboresha Shabaha...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
NMB, wameondoa huduma ya salary advance bila taarifa yoyote kwa wateja. Tunaomba taarifa itolewe au huduma irudishwe.
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Ushauri wa bure, ujana wako utumie kwa adabu zote usiwe na muda wa kupoteza kwa mambo yasiyokuwa na faida , Tengeneza familia yako weka kipaumbele maendeleo yako ya kiuchumi , starehe na...
14 Reactions
20 Replies
722 Views
Hii trend ya kuunguza masoko bado haijaisha tu? Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki. Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali...
32 Reactions
433 Replies
33K Views
Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam linaungua moto usiku huu huku jitihada za kuuzima zikiendelea. Akizungumza na Mwananchi kwa simu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla...
14 Reactions
388 Replies
46K Views
Ifike mahali tuseme inatosha na kusema sasa ni muda watu kujua kuna Mungu. Hawa niwavuja jasho masikini wanahangaika kupata mehemeo ya watoto wao masikini hawana pakwenda leo kila siku wanachomewa...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Toka miaka ya 90 moja ya utani kwa mtu anayependa vitu vya bure aende Mombasa. Kuwa kwa Mombasa unaweza enda kula sehemu ukataka kulipa wakakuambia ushalipiwa wewe..... Ukaoneshwa mtu ambaye...
0 Reactions
3 Replies
350 Views
Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetoa zawadi za Sikukuu ya Krismas kwa watumishi wake 1052, ikiwa lengo kuwaongezea motisha ya kufanya kazi kwa bidii na kutoa...
2 Reactions
7 Replies
314 Views
Habari wakuu, Ni jambo la kushangaza mtu anahack website yetu anaanza kufuta vitu vyetu. Sio uungwana kabisa lakini tuna mshukuru sana ametuongezea uwezo wa ziada na leo tunatangaza kwamba...
2 Reactions
8 Replies
234 Views
Mawasiliano ya Barabara ya Kizangaze yanayounganisha kata za Maore, Ndungu, Kihuruo na Bendera wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, yamekatika kwa muda baada ya kingo za Daraja la Kizangaze kuvunjwa...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Kwema. Mimi binafsi napenda sana kusikiliza nyimbo za KIKONGO bolingo sebene nk sasa zamani cloud walikuwa na Ben kinyaiya jamaa alikuwa anaendesha kipindi safi safi sikumbuki...
5 Reactions
22 Replies
642 Views
Back
Top Bottom