Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019. Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba...
62 Reactions
759 Replies
200K Views
Country Estimated availability date Algeria No planned launch date Angola Delayed to 2025 Benin Available Botswana Available — added in 2024 Burkina Faso Delayed to 2025 Burundi...
3 Reactions
15 Replies
569 Views
Kwa kweli hii namba ni kero sana., unapiga dakika za kutosha(kumi na zaid), unakata kisha unapiga tena simu haipokelewi. Badala yake, unaambiwa uendelee kusubir mpaka unaamua kuacha /kukata...
3 Reactions
11 Replies
311 Views
Nilichoona na kuamua kuzinduka ni kwamba ukiwa na hoja yoyote kwenda popote basi taarifa inafika vizuri, haraka na kwa uzito kupitia Jamiiforums kuliko njia zingine za kiprotokali zinazowekwa na...
4 Reactions
12 Replies
599 Views
It is a pity kuwa wazee hawa walikuwa na mahali pa kupata advance ya pensheni yao sasa mmeiondoa na kubakia salary advance. Kwanini salary advance imebaki na kuondoa pensheni advance? kwanini...
1 Reactions
3 Replies
345 Views
Nimekuwa nafuatilia habari za mchungaji Magembe, na kuna mahali alitoa historia ya familia yao kwamba walikuwa wachawi balaa. Je hakurithi? Nani ana uhakika? Na Je ndio chanzo cha ugomvi wake na...
0 Reactions
2 Replies
215 Views
Pengine unaweza kujiona upo salama kwa kudhani ngumi za mtaani ni kwa wapiga debe, bodaboda, au watu wa tabaka fulani tu. Ukweli ni kwamba, mtu yeyote anaweza kujikuta kwenye hali hii...
21 Reactions
81 Replies
2K Views
Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga. Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo...
18 Reactions
112 Replies
2K Views
Wakuu, Ila tuko na viongozi wapumbavu, mlishindwa kuwatoza fine kulingana na makosa waliyofanya, kutupa taka, sijui mavazi si tayari mna utaratibu kwenye mambo hayo? Mmeona vijana wanafaidi sana...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Mambo yanayo zuia mafanikio kwenye maisha Tanzania ni mengi sana na ukiwachunguza sana watu waliofanikiwa utagundua kuwa kuna tabia au mambo kadhaa yanayoshabihiana kati yao. Pia ukiwachunguza...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Nihilism ni imani au falsafa inayodai kwamba maisha hayana maana, thamani, au lengo lolote la msingi. Wanaofuata mtazamo huu wanakataa mambo kama maadili ya kidini, kanuni za kijamii, au dhana za...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Ewe dereva wa gari ndogo unayetumia Mandela Road. Chukua tahadhari Sana na malori mara kadhaa nimekoswa koswa na hayo malori pamoja na kuwa Nilikua kwenye 'lane' sahihi. NB: ukiweza tumia njia...
1 Reactions
1 Replies
198 Views
Wanabodi, Declaration of Interest Bandiko hili sio la kujidai na kuonyeshea Wasukuma ni matajiri sana, na tunapanda sana ndege, bali ingefanywa sensa ya ni kabila gani linaloongoza kwa kukwea...
25 Reactions
105 Replies
12K Views
Baada ya kufika Kigoma nikakaa siku kama ya 3 hivi nikasema niende mjini , nikaenda barabarani Buzebazeba ( ndo nilipofikia), ilikuwa jioni , nikagundua kumbe 1. Kigoma hakuna foleni barabarani...
34 Reactions
150 Replies
5K Views
Nipende kwanza kujivunia kwa mada ya tiba mbadala ya chumvi ... Sijivunii kwa wingi wa wachangiaji la hasha bali kwa mada husika kuwa msaada mkubwa kwa wengi mno... Tiba ile imewasaidia hasa...
32 Reactions
333 Replies
90K Views
Je hii inaingia akilini? Sijaona na sitoona faida ya pombe kabisa. Nimekaa na kutafakari kwa kina kwamba yani mimi ninunue pombe haswa hizi kali niharibu maini na figo ili nimtajirishe mmiliki na...
6 Reactions
25 Replies
765 Views
BALOZI HOYCE TEMU (PhD) AHITIMU SHAHADA YA UZAMIVU YA MAWASILIANO YA UMMA Aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 1999 na ambaye kwa sasa ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu katika Mashirika ya...
4 Reactions
4 Replies
421 Views
Huko Kilimanjaro ukifaya kosa utapigwa viboko vya kutosha mbele ya mama yako, mkeo, watoto wako na jamii kwa ujumla, ili iwe fundisho.
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Hua najitolea kusemea vijana jobless Tanzania ukiingia ajira portal ukaona namba ya ajira zinazotangazwa utashangaa Nasikitika kuona mamilion ya graduates jobless wapo wamejazana UVCCM...
3 Reactions
8 Replies
256 Views
Tunaweza kusema Dolla ya Marekani umeshuka thamani lakini pia Shilingi ya Tanzania imeimarika. Katika hali zote, zipo sababu nyuma yake ambazo zimepelekea hali hii. Katika miezi michache nyuma...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom