Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika ulimwengu wetu uliojaa maajabu, kila nchi ina kitu ambacho inaongoza au inajulikana nacho duniani. Wakati mwingine, ni jambo la kufurahisha, la kushangaza, au hata la kusikitisha. Katika...
0 Reactions
4 Replies
296 Views
Vodacom Tanzania Hii si sawa, ni Masaa Karibu 20 sasa Huduma yenu haipo sawa, hela za Biashara na transactions zipo hewani! Si sawa! Tunakwama
3 Reactions
8 Replies
220 Views
Waswahel wa Pwani waliosema pesa mwanaharamu sijui ninini kiliwapa mpaka kuna na huo usemi Nijuavyo mimi ukiachana na mengine yote. Kuna kitu kinaitwa kichaa cha pesa! Pesa inachizisha watu na...
18 Reactions
59 Replies
1K Views
Wakuu once again Leo nimesema niongelee hili jambo. Jamani hali huko mtaani inatisha, hivi watu wanajua kuna UKIMWI? Yani vibinti vya kuanzia miaka tuseme 17 hadi 24 , hawa ndio niseme kama...
30 Reactions
228 Replies
9K Views
Wajasiriamali wanaofanya biashara pembezoni mwa msikiti wa Mtoro wameitaka serikali kuingilia kati mgogoro unaoendelea kati yao na uongozi wa msikiti huo ambapo umewataka wafanyabiashara kuondoka...
3 Reactions
0 Replies
144 Views
Leo ndio nimepata hasa jawabu japo nilikuwa naelewa kuwa walimuua kwa sababu ya kuigiza ile movie ya " the devils kingdom" Na kwa sababu ya kugoma kutoa capital sacrifice ya mama yake mzazi...
18 Reactions
167 Replies
30K Views
Salaam ndugu Wana JF, Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF. Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii. Twende kwenye hoja.. Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya...
68 Reactions
192 Replies
19K Views
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana. Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka. Walimu...
38 Reactions
726 Replies
69K Views
Mada Fupi tu maana Kuna mambo mengi ya kufanya pia. Iko Hivi kuhusu Jiji la Dar es salaam Mm Naona wanawake wa Dar ni warembo sana. Sure cjui ni macho yangu au nn!. Kuna Saa unajitahidi hata...
8 Reactions
51 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri... Niende kwenye mada Kwa dunia ilipofika sasa usimwamini kiumbe anayeitwa mwanamke hata awe dadako wa kuzaliwa tumbo moja (labda kidogo mama mzazi japo naye...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Watu wa Mwanza haya madubwasha nitayapata Kwa dealer yupi hata kama ni used?
11 Reactions
94 Replies
3K Views
Kuna changamoto ya Mfumo wa Employee Self Service (ESS), Watumishi wa Serikali tunateseka. Nimeanza kutumia Mfumo kwa ajili ya kuomba Uhamisho wa kuhama kutoka ‘Taasisi A’ kwenda ‘Taasisi B’ kwa...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
1- mbowe atachukua form 2- Mbowe atashinda uwenyekiti 3-lissu atotoa tuhuma mbowe katoa rushwa 4- lissu atahamia ACT wazalendo 5-lissu atagombea urais kupitia Act wazalendo 2025 6- lissu...
3 Reactions
6 Replies
312 Views
Hili jambo la uchawa binafsi nimeliona ni tatizo ambalo linazidi kutupeleka sehemu mbaya zaidi Sasahivi makazini boss hata kama anakosea,huwezi kukuta anakosolewa watu wanamsifia hata kwenye...
4 Reactions
18 Replies
424 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mdomo huu umeniponza Sio utani jana nimenusurika kupigwa vibao na pia nimeoga matusi mengi ya wanywaji wenzangu wa kahawa na wacheza draft hapa kijiweni kwetu Unajua...
6 Reactions
12 Replies
357 Views
Kuna vitu watoto wanahatibu hadi unajiuliza huyu dogo amewezaje kuharibu hiki kitu, na nini alikua anatafuta huku? Ila uwezi pata jibu kamwe. Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi...
50 Reactions
175 Replies
5K Views
Usijipe mamlaka ya kubeba vinyongo, badilika.
2 Reactions
2 Replies
141 Views
Miaka miwili iliyopita Serikali ilifanya jitihada Kwa kile kilichotajwa kuwapanga machinga, zoezi ambayo lilifanyika nchi nzima. Mafanikio yalikuwa makubwa kwani maeneo mengi ambayo yalikuwa na...
4 Reactions
21 Replies
458 Views
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kukusanya Sh trilioni 3.49 kwa Desemba, 2024 kiasi ambacho hakijawahi kukusanywa tangu kuanzishwa kwa mamlaka hiyo. Kadhalika, imepanga kuanzia Januari...
1 Reactions
7 Replies
207 Views
Back
Top Bottom