Wafanyabishara Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili hapa jijini Mwanza wameendelea kufanya shughuli zetu katika mazingira yasiyo rafiki.
Soko hill lipo kando ya Ziwa Victoria ambapo...
Leo nilikuwa eneo la Buzuruga Shule, ki ukweli hali nilioiona imenisikitisha sana kutokana na marundo ya uchafu yaliyojazana kwenye mitaro maeneo hayo eneo maarufu la Shule.
Wahusika watoke...
Wale wau ambao kila kitu kizuri kikitokea wanaishia kusema ni kwa sababu Mama Samia anaupiga mwingi, kuna wakati hizo sifa kwa raisi zitawatokea puani na kumuumbua sana raisi wetu.
Juzi hapa...
KATIKA hali ya kusikitisha, mkazi wa Magugu, Wilaya ya Babati, Juliana Obedy (44), amepoteza maisha baada ya wataalamu katika Kituo cha Afya Magugu, kudaiwa kumcheleweshea huduma kituoni hapo...
Kutokana na ongezeko la watu karibu na barabara kuu na ukuaji wa teknologia
Nafikiri ule utaratibu wa kutumia vivuko vya mistari ya pundamilia kwenye barabara kuu unaenda ukipitwa na wakati...
Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti...
Katika uwasilishaji wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi 2022/2023 mMh.Waziri barawa(MB) alipata kusema kuwa ilitokea ajali mbili za Ndege moja ikiwa ni...
Kampuni ya burudani na masoko ya Starlink Tanzania Limited imekanusha vikali uwapo wa uhusiano wowote na Kampuni ya Starlink Satellite Tanzania Limited inayotoa huduma ya intaneti inayomilikiwa na...
Ilikuwa mwaka 2011 mwezi wa 7 mara yangu ya kwanza kuchukua mkopo benki, Tsh 3m. Ule mkopo niliufanyia biashara vizuri na nikarejesha bila changamoto kubwa ndani ya miezi 6. Wale maafisa mikopo...
Tupo humu daily tukilamba makalio na miguu ya viongozi wetu wa chama. Tukisifu na kuabudu wao daily. Kazi yetu haionekani. Kwa sasa nani mwana CCM mzuri humu kwa kusifu na kuabudu kama...
Wale malaika wakuitwa waovu, wenye vipaji vingi na tofauti. Wale viumbe waliokuwa takatifu, wenye talanta na ustadi. Walijawa siri na funguo za codes nyingi, walijawa maarifa na miujiza, ila nafsi...
Mwongozo wa Wanaoanza Kujichukia;
Hapa chini kuna sheria 10 ambazo unaweza kutumia ili kuwa mtaalamu wa kujichukia kwa haraka. Mwongozo huu umeelekezwa kwa wanaoanza na hauhitaji ujuzi au uzoefu...
Law school of tanzania imeingiliwa na siasa , Nme sikitishwa na sheria mpya walizo pitisha hawa watu
●kwamba mtu alie kaa kazini kwa zaidi ya miaka 10 akiwa kama legal officer au ana LLB basi...
Matendo haya hayaendi pamoja hata siku moja.. Upande mmoja maji yakipwa basi upande mwingine maji hujafa
Maji yakipwa yana faida na hasara zake! Vilevile maji yakijaa yana faida na hasara zake...
Kadri unavyoendelea kujieleza kwa watu wasiokuelewa, ndivyo unavyoongeza nafasi ya wao kukuumiza ama kukifumua kidonda chako upya.
Mtu asiyekuelewa, atajitahidi kukuonyesha kila kinachokukuta ni...
Kwa wanandoa wengi, kuanzisha biashara ya pamoja ni ndoto ya kuwa washirika wa maisha na kazi.
Unapomuona mpenzi wako sio tu kama mwenza wa maisha bali pia mshirika wa biashara, inatoa nafasi ya...
nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kusaidia watanzania wenzangu kwa namna moja au nyingine wale wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha na kwamba wanahitaji ushauri au msaada wa aina...
Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi.
Na pia akasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.