Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Adhimisho la Ibada ya Misa takatifu katika mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania, yanafanyika leo Desemba 21, 2024 katika Viwanja vya Raila Odinga, chuoni hapo Ibada hiyo...
3 Reactions
14 Replies
453 Views
Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi. Baada ya kumwambia asiende...
54 Reactions
2K Replies
166K Views
Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno. Kuna matatizo ya...
9 Reactions
79 Replies
2K Views
.
3 Reactions
1 Replies
134 Views
Kwema Wakuu! Saikolojia na kisayansi wanaume ambao sio waaminifu wana IQ ndogo Sana ukilinganisha na wale wenye uaminifu. Hayo sio maoni bali ni fact.
19 Reactions
119 Replies
2K Views
Wengi mmenifariji sana, nashukuru sana wakuu. Napenda niseme kitu kimoja sio Kweli Kuwa sisi graduate ni wavivu hapana, mitaani tu hapa hata kazi za ujenzi na ngumu wanapeana kwa kujuana. Wakuu...
10 Reactions
29 Replies
596 Views
Watu wa Halmshauri wamekuwa wakizunguka kwenye biashara tofauti na wakipiga faini na ukishindwa kulipa wanakuweka ndani. Je, Sheria inasemaje kuhusu hili?
1 Reactions
0 Replies
119 Views
Habari Wanandugu, Hivi ulishawahi kushuhudia mharifu kama mwizi, kibaka au mporaji akipokea adhabu kutoka kwa raia? Hakika inatosha kusema kwamba Adhabu wanazokabiliana nazo waharifu na kisha...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Nimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu, Matatizo yako ni yako, binadamu...
13 Reactions
187 Replies
18K Views
Makala hii ni muhtasari mpana wa sehemu ya kwanza ya mjadala kuhusu mchango wa wastani wa IQ katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya bara la Afrika. Katika sehemu ya kwanza, tulichambua jinsi...
1 Reactions
2 Replies
243 Views
Mkuu wa Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Mhe.Faudhia Ngatumbura amesitisha shughuli za ibada katika baadhi ya makanisa Wilayani Meatu mpaka Makanisa hayo yatapokuwa yamejenga vyoo ili kuwanusuru...
1 Reactions
6 Replies
454 Views
WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA RASMI TUZO ZA UTALII NA UHIFADHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi tuzo za uhifadhi na utalii na kusisitiza kuwa Serikali itendelea kubuni mikakati ya...
1 Reactions
0 Replies
171 Views
Wadau habari.mm ni mwenyekiti WA kitongoji aliyeshinda juzi kwenye Uchaguzi WA serikali za mitaa. Naombeni wadau mnielekeze taadisi mbali mbali za ndani na nje ya nchi ambao wanatoa misaada...
0 Reactions
7 Replies
273 Views
Katavi: Hali ya Ugonjwa wa Kipindupindu kufikia Novemba 2024 Wagonjwa waliojitokeza - 441 Walioruhusiwa kutoka Hospitali – 419 Waliopoteza Maisha – 6 Mgawanyiko wa Wagonjwa hao wa Kipindupindu...
3 Reactions
16 Replies
638 Views
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu...
26 Reactions
229 Replies
5K Views
Akizungumzia taarifa za uwepo wa Kipindupindu Mkoani Simiyu, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amesema Viongozi wanatakiwa kushirikiana na Jamii katika kutoa elimu kwa Wananchi kuhusu suala...
0 Reactions
3 Replies
410 Views
Nawasalimu.Mabasi kutoka Dodoma kwenda Moshi yamejaa hadi baada ya xmas. Kama Kuna private tarehe23 December Kuna abiria wawili wa kuchangia mafuta.Nawasilisha.
2 Reactions
9 Replies
283 Views
Dampo la Buhongwa lipo eneo la Manispaa ya Nyamagana Jiji Mwanza, rekodi za Serikalini zinaonesha lilijengwa kwa gharama ya shilingi Milioni 8.87. Licha ya ukubwa wa Dampo hilo ambalo awali...
0 Reactions
3 Replies
367 Views
Soko la Keko Mwanga lilipo Temeke Jijini Dar es Salaam lina umri wa takribani Miaka 48, tangu lijengwe Mwaka 1976 Wafanyabiashara katika soko hilo wanasema halijawahi kukarabatiwa hata mara moja...
0 Reactions
10 Replies
553 Views
Kiukweli nawapongeza wamiliki wa jengo hili kuona umuhimu wa kuliboboa jengo ambalo ni la muda mrefu tena limeshaanza kuonyesha ishara mbaya. Bila shaka wamejifunza pakubwa baada ya kuporomoka...
2 Reactions
12 Replies
826 Views
Back
Top Bottom