Huwa nashindwa kuelewa ni kivipi nchi ya Singapore ambayo ni sawa na nusu ya mkoa wa Dar es Salaam tu ina ukubwa wa uchumi(GDP) sawa na jumla ya GDP ya nchi zote 8 za jumuiya ya Africa Mashariki...
Chuo Cha Kigamboni city college kilichopo Kigamboni kinatoa huduma za kifundisha wwanafunzi wa kada mbalimbali za afya.
Shida yao ni kushindwa kulipa madai ya walimu( clinical instructors)...
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imekamilisha na kukabidhi rasmi nyumba 109 kwa familia zilizoathirika na maporomoko ya tope yaliyotokea mwezi Desemba mwaka 2023, wilayani Hanang, mkoani...
Kila Kona nchini watu wamekuwa wakilalamikia Visa vinavyofanywa na Dada wa Kazi.
Visa hivyo hufanyiwa Watoto, na hata Ma Boss wenyewe waliowaajiri.
Wengine hufikia hatua ya kueleza kuwa pengine...
Kuna bomba lipo Kimara Korogwe, uelekeo wa Mji mpya karibu na daraja (Njia ya kuelekea Kam College) limepasuka siku ya 5 sasa.
Jitihada za wananchi kuliziba zimegonga mwamba kutokana na wingi wa...
Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt. Sophia Mfaume akiongea kwa uchungu katika msiba wa Askari Polisi waliopoteza maisha katika majibizano ya risasi na majambazi wilayani humo.
Soma Pia: Dodoma...
Ndg.Mhariri,
Naomba kutoa malalamiko yangu nikiwatuhumu Afisa Madini Mkoa wa Simiyu na Afisa Mtendaji wa Kata ya Dutwa kwa kushindwa kusimamia kikamilifu kwa namna moja au nyingine madai ya...
Aisee hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona popo wengi sana? Aisee leo nimejikuta nimepigwa na mshangao kiukweli wakuu maana kuna sehemu nimekaa chini ya mti nikawaona popo wengi sana...
Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA
CHANGAMOTO ZA MFUMO WA USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO (ORS)
Dar es Salaam-19 Desemba, 2024
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuutaarifu umma na...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema michango ya wadau waliojitolea kwenye tukio la maporomoko ya tope ilikidhi mahitaji ya kujenga nyumba zote za wahitaji 109 za waathirika wa maporomoko hayo...
Leseni mlimpa mtu kwa vigezo vya vipimo na vyeti baada ya miaka mitano anakuja kurenew mnamwmabia tunataka vyeti kwani wakati anaikata hiyo leseni ilitolewa na nani au hamuaminiani...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palagamba Kabudi amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia suala la mafao ya Uzeeni ya Wanahabari kutokana na baadhi yao kupitia changamoto ya...
Leo ni siku ya Uhuru, nimefungulia redio nikatune Wasafi FM nikasikia wanapiga nyimbo ya miaka ya 60-80. Vijana wa sasa huziita zilipendwa. Sijui jina la nyimbo wala aliyeimba simjui lakini nikawa...
Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka gazeti la The Tanzania Times ,watu 2 raia wa Tanzania ambao ni madereva wa malori ya masafa marefu Wameuwawa Nchini Zambia Kwa Kushambuliwa na Magenge ya wahalifu...
MJUE KOMANDO ALI MAHFOUDH
Kanali Ali Mahfoudh ni Mmoja wa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ waliotajika sana kwa Miaka hii 50 ya Jeshi letu hili, viza Ushupavu, Ushujaa na Umahiri...
Kama ulikuwa hujui, Serikali ya Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi kuanzia mwaka 1988 wakati hadi mwaka 2008. Vilevile chama cha ANC, kiliwekwa kwenye orodha ya makundi...
Adili Mkwela, almaarufu kwa Jina la Adili Chapakazi, Hosabati, ametoweka hewani na nyumbani kwake hajapatikana wala kuonekana kutokea majuzi.
Adili ni msanifu wa michoro (graphics designer)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.