Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Just imagine mwana wa mai yani hivii kabisa hivii🤣🤣😆
6 Reactions
17 Replies
832 Views
Mratibu wa Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP), Mwl. Cosmas Mahenge, ameelezea mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia mradi huo, ikiwemo ongezeko la vitabu na vifaa vya kujifunzia na...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Anyulise Mwamkisu (49) ameuawa kwa kukatwa na mapanga, katika uwanja wa mpira wa miguu wa Kijiji cha Mofwile Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, kulikokuwa na Ligi ya mpira kati ya...
1 Reactions
6 Replies
292 Views
1. Ni shughuli zipi zinakufanya ujisikie hai zaidi? Yaani ni jambo gani ukilifanya unaishi ndani ya kulifanya, hata kama halikupi hatua kubwa kulifanya tu kunakupa amani ya ndani? 2.Ndoto zako...
3 Reactions
6 Replies
544 Views
Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na hivyo kumekuwa na changamoto ya kutokuwepo kwa Viongozi waandamizi wa Serikali katika ofisi zao...
4 Reactions
4 Replies
407 Views
Mbunge wa Same Magharibi, Dkt. David Mathayo, ameonyesha mfano wa uongozi wa vitendo kwa kutoa mchango wa zaidi ya shilingi bilioni moja ili kusaidia maendeleo katika jimbo lake. Fedha hizo...
0 Reactions
2 Replies
223 Views
Nawauliza wadau wa JF mliofika Mji wa Serikali Mumbai, mnatoa maksi ngapi? Jengo lipi mchoraji amefunika?
2 Reactions
18 Replies
603 Views
Anonymous (dd5d)
Shule nyingi za serikali zimekuwa zikikataza watoto wa kike kusuka na kuna shule baadhi za serikali zina ruhusu wanafunzi wake wa kike kusuka, je hii ni sheria au ni maamuzi ya shule husika na...
1 Reactions
0 Replies
154 Views
Professor mahiri Mark Mwandosya amewatolea uvivu Mainjinia wa Kibongo kutoka TanRoads na TARURA Kwa Kujenga Barabara kienyeji na chini ya kiwango huko Wilayani kwake Busokelo. Prof Mwandosya...
1 Reactions
16 Replies
557 Views
Wakati watanzania tunamlilia NYERERE mimi nasema Hapana Tunapaswa kumlilia NYERERE WA KARNE YA 21, Atakayemalizia kile ambacho nyerere alikiachia njiani alipong'atuka. Mjue mtu huyu jaPO KWA...
7 Reactions
37 Replies
7K Views
Kuna Jambo nimejifunza ktk Maisha, Wazee Wengi wazamani walikua na Hakiba ya Siri. Pia walikua awafanyi maamuzi kwa Mihemko, Na walikua na Busara, Fulani ambayo Mimi naweza sana, Mzee anaweza Jua...
5 Reactions
3 Replies
430 Views
Sisi watanzania ni jadi yetu kusaidiana na kukwamuana mtu wako wa karibu anapokuwa na changamoto hasa za kifedha. Unapomuomba mtu akukopeshe pesa hakikisha unaporejesha unazingatia kuweka gharama...
2 Reactions
6 Replies
216 Views
Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku! Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar! Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Such indoctrination ni hateri kwa watoto akimaliza shule na akikosa ajira na kuweza hata kutatua matatizo yake binafsi, atawezaje kufix ya nchi nzima, mwishowe ni kuchanganyikiwa, sikilize hiyo...
1 Reactions
2 Replies
120 Views
Anonymous (cc18)
Kero yangu kubwa ni kuhusu hizi taa za barabarani (road sign) hapa maeneo ya Tegeta Kibaoni huu ni mwezi wa tatu hivi hazifanyi kazi na wahusika wanaona lakini kimya. Hapa tusipokuwa makini kuna...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Wakati suala la ajira, kuboresha elimu, matumizi ya teknolojia vikitawala, vijana wametaka dira ya Taifa 2050 ipunguze umri wa watu kustaafu kwa lazima hadi kufikia miaka 55 kutoka 60. Hayo...
6 Reactions
20 Replies
639 Views
Imenishangaza sana, niko hapa Bunda (Mkoani Mara) nina biashara yangu, jana nilienda Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Bunda ili kufanyiwa hesabu nilipe mapato na ushuru wa hotel (hotel levy)...
1 Reactions
4 Replies
578 Views
Wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi wamekaribishwa kuwekeza mkoani Kagera kufuatia hatua mbalimbali za utekelezaji wa miradi ambazo mkoa wa huo umefikia ikiwa ni pamoja na mipango ya maendeleo...
1 Reactions
1 Replies
185 Views
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mount Meru, imepokea dawa na vifaa tiba pamoja bidhaa zingine vyenye thamani ya shilingi million 15 kutoka kwa Watumishi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa...
0 Reactions
1 Replies
142 Views
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Back
Top Bottom