Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewakabidhi Bodaboda wa Jiji la Arusha kiasi cha Shilingi 1,200,000 kwa ajili ya kutengeneza mfumo wa kuwezesha kusajili Bodaboda za Jiji la Arusha na...
Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu..
Ila NIDA imekuwa Kero...
Nilipata maono wakati ule, tarehe 2 ya mwenzi October 2020, niliandika bandiko lililokosa mashiko hapa.
Nimeona tena sehemu kubwa ya maono yale, upande dhaifu wa pili kupata pigo kubwa mapema...
Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa...
Kwanza enzi hizo tulizoea jina moja tu la hoteli. Hili neno mgahawa lilikuja kama jipya/geni hivi na tukazoea taratibu kwahiyo hapa nitatumia neno mgahawa au hoteli kumaanisha kitu kimoja...
Habarini,
Imekuwa ni shida kuwasiliana na nyie kwani hamjibu baruapepe,simu na sms.
Na hata hao watumishi wenu ambao wameweza kupata namba zao hawapokei simu zao.
Huu ni utendaji mbaya na...
Habari za muda wakuu nauliza basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Musoma kwasasa.
Na nauli zao zipoje?
Aisee nimepamis sana home wakuu miaka minne imepita sijaondoka humu jijini.
Wakuu,
Inaonekana raia wameanza kuchoka na ukatili na vitisho kutoka kwa baadhi ya askari wa Jeshi La Polisi.
Hapa ndio sehemu CCM imefikisha vijana ambao wanaonekana hawana la kupoteza...
Kulia au kushoto?
Au inategemea na aina ya kitambulisho?
Kwa mfano vyangu mimi;
Cha kazi, cha NIDA na cha... picha ipo upande wa kulia ukiwa unavitazama
Cha bima ya afya na vya shule vyote picha...
HIvi nyie Watu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) hapa Tabora huwa mnachukuliaje Wananchi? Tangu wiki iliyopita Kata ya Mwinyi hakuna huduma za maji na hata yanapotoka...
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimelalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayowazuia watumishi wa umma kujihusisha na masuala...
Kiumri wamenizidi ila kielimu nimewazidi karibia wote. nipo katika kiwanda fulani hivi hapa Kanda ya kusini, nimepangiwa kusimamia wafanya usafi lakini kila nikiwakusanya na kuwapa maelekezo...
Kuoa katika jamii za hao waswahili kuna faida sawa ila pia zina vituko vingi saana visio kua na mantiki.
Liko hivi mke angu wana nyumba Tanga mjini walio lithishwa na mama yao mzazi kutoka kwa...
Nini kifanyike?
Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka...
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma, Elisante Ulomi amesema mdogo wake, Daisle Ulomi aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki jijini hapa, alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi...
Naombeni msaada wa dawa kwa jili ya kuua tandu na nge. ni mara kadhaa nimekuwa nikiwaona tandu hapa ninapoishi natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so...
MAHAKAMA YAPONGEZWA KWA KUZINGATIA MISINGI YA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU.
Maneno hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Bwana Ridhiwani Jakaya...
Ile kampuni pendwa ya USAFIRISHAJI nchini inapumulia Mashine baada ya Mama wa familia ambae alikua msimamizi Mkuu wa biashara kutangulia mbele ya Haki (RIP) Miaka kadhaa iliyopita.
1. Mabasi...
Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama.
Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.