Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo...
25 Reactions
576 Replies
10K Views
Na Mwandishi Wetu, Tanga. NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amegawa mituni ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilayani Handeni mkoani Tanga iliyotolewa na Kampuni ya Taifa...
0 Reactions
8 Replies
595 Views
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa...
0 Reactions
10 Replies
545 Views
Serikali ya Tanzania imekabidhiwa mitungi 10,000 ya gesi, ikiwa ni juhudi ya kuunga mkono kampeni ya matumizi ya nishati safi nchini. Mitungi hiyo imekabidhiwa kwa Serikali jana Jumamosi, Machi 9...
0 Reactions
10 Replies
771 Views
Mr. Manguruwe yamemkuta huko. Mkurugenzi Mwanzilishi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu kwa jina la Dkt. Manguruwe na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya...
11 Reactions
89 Replies
6K Views
Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!! Ila ona huku mpaka leo kimya.. Tujikumbushe hapa Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari...
0 Reactions
16 Replies
452 Views
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na...
27 Reactions
236 Replies
16K Views
Wanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu. Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu. Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu...
14 Reactions
62 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya wanachama wanafikiria kuwa bila Mzee Mbowe kuwa mwenyekiti eti chama kitakufa/ kupoteza mwelekeo hiyo ni dalili kuwa Chama cha chadema bado hakijakua wala hakijafanya maandal
1 Reactions
3 Replies
144 Views
Nchi hii ni yetu sote. Lakin vile vile serikali itambue Dunia sasa ni Kijiji sababu ya utandawazi. Hapo kabla tuliambiwa Sana kuhusu kushika thamani Kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya...
5 Reactions
19 Replies
515 Views
Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma. Tupate habari kamili.
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Mfanyabishara wa mbao anayefahamika kwa jina la Peter Stephano mkazi wa Maji ya chai wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, ameanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza nyumba za kisasa zinazoweza...
13 Reactions
63 Replies
3K Views
Management ya mradi wa mabasi yaendayo kwa Kasi BRT katika kutekeleza mpango wa 'maboresho', na kinachoonekana kuimarisha mfumo wa ukusanyaji mapato wamekuja na card. Wazo jema kabisa kwani pia...
0 Reactions
5 Replies
262 Views
Jana niliona picha wananchi wakiwawajibisha viongozi wao akiwemo diwani wao huko Arusha. Nikakumbuka diwani wa huku kwetu Minga. Huyu jamaa alikuwa mwenyekit wa BAVICHA akahamiq CCM. 2020 akapewa...
0 Reactions
3 Replies
257 Views
Kwakweli hakuna adui mbaya wa binadamu ambaye hatumtambui kama POMBE! Pombe ni mbaya jamani! Ubaya wa pombe unakamata fikra! Pombe Ikishakamata fikra zako inakulazimisha uitetee na kuipigania...
26 Reactions
75 Replies
2K Views
Inasemekana kuna ajali imetokea Mikese ikihusisha bus dogo Coaster na kuua watu wengi, wenye taarifa zaidi tuambizane --- AJALI MBAYA MOROGORO, WATU 14 WAFARIKI, 7 WAJERUHIWA. Watu 14...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Huna baya Tido Dustan Mhando wala Deni kama Mdau Tukuka na Mwandamizi wa Tasnia muhimu katika Ubongo wa Mwanadamu yoyote yule ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ( GENTAMYCINE nikiwa ni Mdau )...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Aisee Sasa naelewa kwanini wengi baada ya kutumia Hii App wanaikimbia..Jana nimejipinda kuandika UZi Mreefuu. Usio na Tatizo lolote ila anatokea Mod mmoja anafuta bila sababu za...
10 Reactions
21 Replies
732 Views
Kauli hii hutumiwa eidha na watu wasiojua nini maana ya pesa au watu wanaopata pesa kwa njia haramu (wezi,madawa) Huwezi kuwa tajiri kwa kauli hizi za kipumbavu,yani eti ukiona kahaba mwenye...
5 Reactions
10 Replies
301 Views
Back
Top Bottom