Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimekua nikiwaza sana hali ya kiuchumi, sasa nimeijua siri ya kuapata hela kirahisi kwa mazingira ya TZ 1. Kufanya biashara/kazi na serikali, ujenzi wa majengo, kusambaza vifaa, vyakula nk...
3 Reactions
11 Replies
696 Views
Ukiangalia mtifuano uliopo Katika Kinyang'anyiro Cha Uwenyekiti Taifa ndani ya Chama Kikuu Cha Upinzani CHADEMA, utagundua kwamba Kuna Uzima na Mauti kwenye hicho Chama. Mauti ya Chadema iko...
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Hivi jamni kweli laana kutoka kwa mtu mzima aliye kuzidi umri mzazi pamoja na kutamkiwa maneno mabaya huweza kumkuta mtu? Na kama mtu huweza kukutwa na maneno hayo ya laana je ,Kuna njia ya...
9 Reactions
44 Replies
918 Views
Habari ndugu zangu,bila shaka wazima. Niende kwenye bandiko la swali langu, TANESCO hivi mnajua kua mna boa sana? Haiwezekani kwa siku mnakata umeme zaidi ya mara 30 mnataka kuunguza vitu ama...
3 Reactions
9 Replies
285 Views
Mh Mchengerwa amekuwa hafanyi vizuri sana kama waziri, ameharibu wizara zote 3 alizohudumu 1. Akiwa wizara ya mali asili na utalii. Huko alitamba na campaign yake ya kuwapeleka Masai wa...
2 Reactions
5 Replies
284 Views
Mara ya mwisho kuwasliana na Mawio ilikuwa April mwaka huu naombeni msaada wenu kama kuna mtu anamfahamu
4 Reactions
22 Replies
405 Views
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na: 1.Kubeti 2. Energy drinks 3. Pombe 4. Club life 5. Too much time on social media 6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza...
26 Reactions
110 Replies
4K Views
Je, Waafrika Tungeweza Kujifunza Kutoka kwa Wahindi na Waarabu? Jioni ya Jumapili, nilikuwa nikiwa miongoni mwa wazee wa jiji hili kwenye kikao cha kahawa, mahali ambapo akili hupata fursa ya...
30 Reactions
81 Replies
3K Views
Ni pale mpo katika kundi kutekeleza kazi fulani Katika lile kundi wapo watakao kaa pembeni kuangalia hawagusi chochote, Wapo watakao papasa tu ili mradi waonekane nao walishiriki kwenye hiyo kazi...
10 Reactions
23 Replies
644 Views
Hatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka Mfumo...
10 Reactions
104 Replies
3K Views
Msaada naomba kupangiwa kwa mtiririko hivi vituo vitano (5) ukiwa unatokea mbezi kuelekea mlandizi: Njuweni(maili moja), visiga, misugusugu, kongowe na viziwaziwa.
2 Reactions
4 Replies
206 Views
Ukijisomea historia ya Africa kabla ya ukoloni hakukua na mashoga kabisa Katika masimulizi ya makabila na jamii zetu au soga za hadithi utani na vichekesho hakukua na hadithi za mtu alowahi kuwa...
13 Reactions
71 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda naomba utusaidie maelezo ya kina kuhusu shule za msingi za serikali zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza. Swali ni moja tu, KWA NINI MWANACHI ANALAZIMIKA...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Idara ya maji mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard Hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka mda huo huo na kutumika
0 Reactions
3 Replies
228 Views
Kwenye tarehe 10 Agosti 2019, Tanzania ilikumbwa na tukio la kusikitisha na kutisha ambalo limebaki kuwa kumbukumbu mbaya kwa wengi. Ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro, karibu na eneo la...
11 Reactions
37 Replies
1K Views
BLANKETI LA UJIMA LIONDOLEWE KATIKA MFUMO MPYA WA ELIMU. Serikali ya nchi yetu kupitia wizara ya elimu ipo katika maandalizi ya sera mpya ya elimu ambayo inamabadiliko makubwa na kwa kiasi kikubwa...
1 Reactions
4 Replies
201 Views
Uchimbaji huo wa mchanga umekuwa ukifanyika kwa zaidi ya miaka minne sasa, tumeripoti kwenye Mamlaka mbalimbali lakini bado wahusika wamekuwa wakiendelea na hivyo kuweka nyumba zetu kwenye hatari...
1 Reactions
1 Replies
386 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kushirikiana na Wakala wa Barabara (TANROADS) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kufanya...
0 Reactions
4 Replies
213 Views
UKIMILIKI PESA UMEMILIKI HISIA ZA KUJIAMINI NA UKIKOSA BASI UMEPOTEZA SEHEMU YA KUJIAMINI. Linapokuja suala la umiliki wa pesa basi tunazungumzia hisia ziletwazo na pesa ambavyo kwa namna yoyote...
5 Reactions
20 Replies
951 Views
Nilikuwa bado mgeni Wiliya flani mwaka 2022 mkoa x huko kaskazini. Nilipanga mitaa flani pembeni mwa mji, kumetulia karibu na kijito flani cha mchongo kilikuwa kinatiririsha maji na pembeni...
2 Reactions
5 Replies
367 Views
Back
Top Bottom