Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika...
Wazee baada ya kudevela katika interview nyingi kwa uoga na presha sasa mwezi uliopita naweza kusema katika interview zote nilizowahi kuattend nakiri hii ya mwezi jana ilikuwa ndo ilikuwa the...
Salaam wakuu;
Wahenga walisema"Kuhangaika bure sio sawa na kukaa bure,tena wakasema tembea uyaone.
Naam, leo nilikuwa na vijisent vyangu vilivyotosha kwa nauli ya kwenda mahala fulani na...
Kwa ufupi mimi ni mtu ambaye nimenyooka, naheshimu sana watu, naheshimu muda wa watu, naheshimu mali za watu, naheshimu utu wa mtu, naheshimu uaminifu wa mtu kwangu.
Na hii tabia nimerithi kwa...
Sisi Wananchi wa Kijiji cha Unyianga kilichopo Kata ya Mtamaa, Manispaa ya Singida tunalia kukosa huduma ya maji safi, ni miaka kadhaa sasa tangu ‘Danganya Toto’ ya kujengewa Tenki la Maji na...
Mhadhara - 49:
✍️Wakati tukiwa tunapambana na "Ukatili wa kijinsia kwa Mwanamke", tusisahau kuwa wapo baadhi ya wanaume pia wanapitia Ukatili wa Kijinsia.
✍️Kwa kuwa dhana ya ukatili ni pana...
Hassanein Hiridjee Ndio jina lake Yeye ni mmiliki wa Axian Group ambayo inamiliki Axian Telecom yenye makao yake nchini madagascar mwaka 2022 kampuni ya axian Telecom ilinunua hisa za Tigo na...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Limited, Saimon Mnkondya, maarufu Manguruwe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo baada ya kesi inayomkabili kuahirishwa...
BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA.
📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana.
📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo...
Wakuu hii ni historia ya Mwanasoka Luis Nani, ni Historia inayoelezea mapito na magumu aliyoyapitia huyu jamaa. Lengo la kukuletea hii kukutia moyo Kijana mwenzangu Dada/Kaka na wadogo zangu mnao...
Sina shaka TAL ni mtu mwenye akili na uwezo mkubwa sana. Akichaguliwa kuw M/Kiti CDM atawafaa sana na kuleta mageuzi makubwa.
Changamoto niionayo kwake ni kujiamini sana. Kujiamini ni faida na...
Na Ferdinand Shayo, Manyara.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited David Mulokozi amenunua ndege binafsi aina ya Helkopta ambapo ametua kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Tanzanite...
Inawezekana Polisi na wao wameshachoka kutumika kama Toilet paper chini ya uongozi wa ccm.. sema ndio hivyo hakuna namna na walishaapa watailinda katiba ya nchi , na rais ..
Ila deep down hata...
Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line...
Kiukweli, unatupambania sana vijana na hakika unatutakia mema. Kijana yeyote anayejitahidi kupambana lazima ataona juhudi zako.
Mheshimiwa, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu, lakini nimeshindwa...
Katika hii dunia, tunao watu wajinga sana wa aina mbili:
Wajinga wenye kaujanja fulani, wenye uwezo wa kupewa elimu na kuacha ujinga.
Wajinga wenye upumbavu wa kuwatotosha, uliowasahaulisha...
Wakati wakiripoti habari ya Mkurugenzi wa Kampuni inayotengeneza Pombe kali mkoa wa Manyara ndugu David Mulokozi kuhusu kununua helikopta yake binafsi, hawa hawa waandishi wetu wa habari badala ya...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake.
Waziri Ulega ametoa maagizo hayo...
Kwenye hii kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu (kampuni ya Rostam Azizi). Je kwanini hawagawi mitungi ya O-gas, Manjis, Oryx, Lake nk? Kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.