Karma Doesn't exist.
Karma ni dhana ya kimaskini inayowapa matumaini uchwara watu maskini kujifariji na matatizo yao dhidi ya watesi wao.
Mababu zetu waliteswa sana na kusulubishwa ipasavyo...
Sijui uko wenzwetu uku kwetu mambo yamekuwa magumu balaaa sijui ndio ukiona ugumu kuna neema mbele inakuja.maana hapa ata wakisema kuingia 2025 uwe na laki 2 naona bado kuna kubaki 2924
Usijifanye kua mwenye huruma kuliko Yesu au Nabii wa Mungu kuna watu Mungu amekuepusha usiwe nao katika maisha yako watakufanyia makubwa zaidi na walio kutendea mwanzoni, jifunzeni kukinai bila...
Jana nilkuwa misele katika kijiji kimoja huko Butiama na kukuta maandalizi ya sherehe Jumamosi hii, nikajaribu kuuliza nipate undani wa sherehe hizo, nikaambiwa ni vijana wanaenda kukatwa 'mkono...
Jeshi letu la Polisi ni jeshi zuri sana na huenda likawa ni lenye weledi na utashi kuliko yote Afrika Mashariki na Kati. IGP Wambura ni IGP Bora zaidi kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii...
Ninaandika haya malalamiko kuhusu huduma ya uondoaji wa mizigo inayotolewa na SPEEDAF Tanzania. Kila siku, wateja wanakutana na changamoto kubwa katika mchakato wa kufanya clearance ya mizigo...
Habari za kutekwa kwa mwanasiasa Abdul Nondo wa Chama cha ACT Wazalendo katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli ni mwangwi wa hali inayotia simanzi. Tukio hili, lililoshuhudiwa na wananchi wengi bila...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata Subira John (25) mkulima Mkazi Mtendeni kwa kosa la kutelekeza kichanga.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa Morogoro, SACP Alex Mkama...
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti, Serikali ijue madudu yanayofanyika Mpanda, watoza ushuru wanaotoza ushuru wa magari makubwa kushusha mizigo na kupakia mizigo ndani ya mji sio waaminifu.
Baadhi...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Deogratius Evarist Mbuya(40) mkazi wa Legho Kilema wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua Baba mkwe wake, Tibrus Camil Mneney(72).
Mbali na mauaji...
Ripoti ya Afrobarometer iliyochapishwa hivi karibuni, imebaini kuwa huduma za polisi barani Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa za uadilifu na weledi, huku asilimia ndogo ya raia wakiridhika...
1. Kumekuwa na utaratibu wa kusitishwa likizo za Watumishi wanapokuwa likizo na Afisa Mhifadhi II Fundi kwa kigezo cha uhaba wa Watumishi, pia kukataa kutoa ruhusa mbalimbali kwa Watumishi wakiwa...
Kutoka Mkoa wa kilimanjaro (kamanda wa polisi (Simon Maigwa) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo jambo ambalo limewashangaza watu wengi.
Mama aliyekuw akitoka na mwanae ameaga dunia na...
Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku?
Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani?
Muulize mama umekula nini leo?
Muulize hayo maswali...
Zanzibar. Polisi Mkoa wa Kusini, Pemba inamshikilia askari wa Chuo cha Mafunzo (Magereza) kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mlemavu wa viungo na akili.
Askari huyo wa kituo cha Kengeja, Agosti...
Tuliyaona kwa Dr. Mengi.
Tukayaona kwa Mrema.
Tukayaona kwa bilionea Msuya.
Tukayaona kwa Dr. Likwelile.
Tumeyasikia kwa Hans Pope.
Na sasa yameibuka kwa Dr. Mwele.
Ndipo hapa naona hakuna maana...
Mwili wa mtu ambaye hajatambulika umekutwa pembezoni mwa barabara chini ya mti wa muembe katika Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora mkoani Tabora. Tukio hilo limeripotiwa baada ya...
Kila Mwanadamu ili afanikiwe kwenye ulimwengu wa kimwili (Unaoonekana) anahitaji apate Baraka kutoka ulimwengu wa kiroho (Usioonekana) na Baraka hizo zinaweza kupitia Milango maalumu...
MUHIMU: Tanzania bado ni nchi yenye wananchi wengi masikini, Hata katika makabila yaliyotajwa (yenye asili ya afrika), bado wenye maendeleo ni wachache, Orodha hii imejikita kwenye uwakilishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.