Zingatio 1: Simo katika kabila lolote kwenye hii orodha, sina mgongano wa kimaslahi wa kunifanya kupendelea ama kuchukia makabila niliyotaja.
zingatio 2: kuwa ndani ya haya makabila haimaanishi...
Habari za mida hii wakuu
Nimekaa najiuliza hapa, kwanini viongozi wamataifa ya nje kama vile ulaya, Asia n.k hawana titles kama zetu
Huwezi kukuta Mtu maarufu kama vile Dr. Obama, Dr. Trump, Dr...
Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka
Wachaga
Wakinga
Wapemba
Waha
Wanyantuzu/Wasukuma
My Take
Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu.
---
MAKABILA 5...
Kwanza poleni na changamoto za kutafuta riziki, Husika na Kichwa hapo juu ninatarajia kwenda kutafuta maisha mkoa wa kagera wilaya ya karagwe tafadhali wale wenyeji ama waliowai kuishi hayo maeneo...
Mimi kazi zangu zinahusisha biashara chuma, bati n.k kwa ufupi vitu vinavyoendana na material hayo, ujumbe wangu huu uwafikie wahusika wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Wakala wa Vipimo...
Habari wana JF,
Kuna mambo kadhaa natamani kuyajua sababu nimehamishiwa huko kikazi.
-Nauli ya basi kutoka Dar mpaka Kagera ni sh ngapi?
- Je kuna usafiri wa anga na kutoka Dar inaweza kuwa sh...
Kulingana na RIPOTI KUTOKA OFFICE OF HIGH COMMISSIONER FOR HUMAN RIGHTS (OHCHR)ambayo ni ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na kukuza na kulinda haki za binadamu duniani ikiwa inasimamia...
Hii ajali imetupa majonzi makubwa
Ajali hii imetupa funzo kuanzia kwenye chanzo, Kwa maana ujenzi na mamlaka zake
Uwajibikaji, hapa nazungumzia vibali vya kujenga majengo marefu, Ya nazingatia...
Watu wasiojulikana wametekeleza tukio la mauaji kwa kumuua Isack Mallya (72) mkazi wa Kijiji cha Umbwe Onana, Kata ya Kibosho Magharibi mkoani Kilimanjaro na kisha kutelekeza mwili wake nje ya...
Wasalaam. Kifo ni ahadi ya wote. Mhubiri 7:2.
Aheri kuiendea nyumba ya matanga,kuliko kuiendea nyumba ya karamu.
Kwa maana huo ndio mwisho wa binadamu wote, naye aliyehai atautia moyoni mwake...
Sina hakika kama tunaweza kugombea tena hii nafasi ya WHO aliyopata mpendwa wetu marehemu Dr. Ndugulile na kama tunatuhusiwa kugombea tena kuna huyu Dr Peter kisenge wa pale Jakaya Kikwete...
Ulevi ni janga na Changamoto inayokabili watu wengi sana.Ulevi huwa unaathiri familia na maisha ya watu.
Katika kukabiliana na Changamoto hii ninakusudia kuanzisha Jumuia za Walevi wanaotaka...
Mwanzo kabisa, nikusalimieni, hope nyote ni wazima na wagonjwa mungu akuzidishieni wepesi katika afya zenu ili muendelee na majukumu yenu ya kila siku
Pasi na kupoteza muda, niende kwenye lengo...
Huwa najiuliza kipindi kile tunahoji utitiri wa tozo na makato kwenye mitandao ya simu inavosababisha maisha magumu Kwa Watanganyika
Mwigulu alitujibu tuhamie Burundi
Hii kidplomasia ipoje...
Tanesco Tanesco Tanesco
Nimewaita mara tatu kuomyesha Msisitizo.
Hii wilaya ya Nachigwea mkoa wa Lindi kwanini mnakata umeme mara nyingi kiasi hiki na Bila Taarifa kamili.
Mfano leo mshakata...
Mkuu wa wilaya ya Karagwe Kalanga Lisser,amedhibitisha kutokea ajali ,katika eneo la Kiyanga wilayani humo.
Dc Kalanga,ameongea na kasibante radio Bukoba,ambapo amesema kuwa kwa sasa hawezi...
Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la...
Nipo nacheki hapa msiba wa Ndugulile, kuacha watoto wawili tu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha...
Umaskini unachosa sana, umaskini unadhalilisha sana, umaskini ni wa kuichukia na kuikimbia, umaskini haufai hata kidogo, kwenye maisha kuna walio bahatika kushika pesa chini ya miaka 30, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.