Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), kwa mujibu wa takwimu za Afrobarometer, asilimia 51 ya Watanzania wanaamini kuwa Serikali yao inafanya kazi nzuri au nzuri...
Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika) na Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Novemba 3, 2024 katika Makaburi ya Mwongozo yaliyopo...
Ujenzi Holela Ndani ya Manispaa ya Moshi
Moshi imekuwa mfano wa usafi na mpangilio mzuri wa makazi katika nchi yetu.
Hata hivyo, tangu mwaka 2024, hali imebadilika kutokana na usimamizi hafifu...
Tuanzie na mifano michache kabla ya kuelimishana juu ya USTAARABU:
Mfano wa matumizi ya kifungashio:Mtu ananunua bidhaa, akisha kuitumia, kifungashio chake anakitupa sehemu yoyote ile, mfano...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa katika mikoa minane kuanzia leo Jumanne, Desemba 3, 2024.
Mvua hizo katika mikoa hiyo ya Dodoma, Singida, Mbeya, Iringa...
Hata wakati wa Mtume, mateso yalikuwa makubwa lkn uislam umeenea licha ya mateso. Mfano
1. Bilal bin Rabah (R.A)
Aina ya Mateso:
Kupigwa vibaya.
Kulazwa kwenye mchanga wa moto wa jangwani huku...
Na Dada Fridah Nakazwe
1. Pata mwanamke sahihi - Sahau slay queens na wanawake wenye sura lakini akili sifuri. Pata mwanamke ambaye sio tu atasaidia maono yako lakini pia atakusukuma kufikia...
Nataka kubadili au ku upgrade akaunti ya NMB chap chap kuwa Akaunti ya kawaida kwani nina project inayohitaji kuwekewa zaidi tsh milioni 20 na Cha chap haiwezi kupokea tsh. zaidi ya milioni 5...
Vitendo vilivyoripotiwa vya ulaghai kwenye mitandao ya simu vimepungua kwa asilimia 28 kati ya Juni na Septemba mwaka huu, kutokana na hatua kali za serikali na kampeni za kuongeza uelewa wa...
Wakuu....
Achaneni na kichwa cha habari kwanza, nataka nijue haya kabla cjafanya lolote.
Madaraka ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano:
1. Raisi anaweza kufuta uraia wa mtu (hata kama ni mzawa)
2...
Mtoto anayesoma Darasa la Tatu katika shule ya Msingi Kasota (9) Mkazi wa kijiji cha kasota Kata ya Bugulula Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani humo amejeruhiwa kwa kumwagiwa mafuta ya Petrol...
Ndio ndio wakuu,
Najiuliza tu kwanini mshikaji siku hizi anapenda sana kuvaa style moja.
Alikua mtu wa suti na mashati ya kawaida.
Siku hizi ni mwendo wa Shati + Kizibao (tofauti rangi tuu)
Mimi...
Maana ya Gen Z.
Kwa mujibu vyanzo vya mtandaoni, Gen Z ni vijana waliozaliwa kuanzia mwishoni mwa miaka 1990. Pia wanafahamika kama kizazi cha kidijitali kwa sababu walizaliwa wakati mtandao ndio...
DODOMA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watendaji wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha wanatumia mfumo wa ardhi Kidigitali ( e- Ardhi)kikamilifu...
Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia...
Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana.
Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa...
"Hatuwezi kuendesha Shirika la Posta kama tulivyokuwa tunaendesha miaka ya nyuma, lazima twende na mabadiliko ya TEHAMA na mahitaji ya sasa ya Dunia, na ndio tafsiri ya kauli yangu ya...
Niaje wakuu,
Just imagine unamloga fundi
Mwenzio kisa kafanya kazi ambayo uliitiwa ukataja bei kubwa yeye kataja bei ndogo kapiga kazi kwa wivu na roho mbaya yako unamfanyia umafia.
At the end...
⚠️ 🎭`
WIZI MPYA
Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa 'IMERUKA'.
Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake.
Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.