Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu, Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya...
15 Reactions
203 Replies
13K Views
Wakuu Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na...
1 Reactions
12 Replies
366 Views
Habari Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa. Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu...
3 Reactions
5 Replies
468 Views
Nilikua napitia thamn ya vipande tofauti Leo 27.11.24 1️⃣Umoja fund-1076 🟥 1087 KUZ🟩 2️⃣Ukwasi/Liquid fund 427🟥 427🟥 3️⃣Jikimu 177🟥181🟩 4️⃣Bond 118🟥118🟩 Hii ina maana gani?? Je ni sahihi na...
0 Reactions
6 Replies
589 Views
Nawasalimu kwa jina la Engonga Baltazar. Mwaka 2017 nipo advance nilitoroka skul nikaenda kukesha kwenye mwenge, napenda sana muziki na nilikuwa na talent ya kucheza na kuimba ila sjui...
5 Reactions
9 Replies
640 Views
Wakati Tanzania ikizozana kuhusu uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma, hebu tutazame hali katika mataifa yanayodai kuwa vinara wa uwazi na utawala bora. Ripoti za hivi karibuni kutoka Marekani...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi! Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake...
2 Reactions
4 Replies
217 Views
Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp Kwanini nataka kutumia...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Hiyo nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salam. Twende kazi..... Huo mwaka 2097 nina rafiki kwa jina la James. Jame miaka hiyo ameajiriwa kwenye moja ya hotel zilizo bamba pale jijini...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Kitu pekee nilichomlaumu Shujaa Magufuli ni kubomoa ile Club Billicanas ambayo 1980s iliitwa Mbowe Hotels. Kile kilikuwa chuo cha kujifunza maisha ya Mjini na taarifa zote za mashambani, Mjini na...
4 Reactions
11 Replies
454 Views
Nimepata hitilafu ya kutopata OTP kwenye mfumo wa internet banking yapata wiki sasa. nimetoa taarifa na kupewa ticket lakini mpaka sasa kimya. ninaomba bw kalegeye ulifanyie kazi suala hili...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nilikuwa nasababu kuu tatu za kunifanya nizionee aibu kazi ambazo wengi huziona Duni. Sababu ya kwanza, ni Malezi na makuzi. Nimelelewa na kukuzwa kwenye...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Nina Leseni class A na D Nimesoma Veta PSV ili kupata leseni class C1 cheti kipo. Naomba mwenye connection ya TRA niweze kupata leseni kwa urahisi nataka nipate madaraja A D C1 E Nipo ubungo Dar
0 Reactions
3 Replies
452 Views
Kwa nini Mungu anataka binadamu wamuabudu, wamuombe, wamtolee sadaka na kumshukuru? Kama unaamini Mungu yupo ni dhambi usipomuabudu, usipomuomba au usipomshukuru? Yani kama unakubali yupo lakini...
7 Reactions
29 Replies
884 Views
1. We live in times where we see many humans, but not humanity. 2. We live in times where the rich has more rooms than children and the poor has more children than rooms. 3. We live in times...
2 Reactions
5 Replies
405 Views
Me nawaza tofauti na wengi Nondo ametekwa Kwa sababu Gani? Nondo sio hatari Kwa watekaji 1 ACT na CCM wana urafiki ambao haulezeki, ni kama CCM alimzaa ACT Mwanzo wa tukio Kwa hadhi ya Nondo...
18 Reactions
37 Replies
1K Views
Hapa kuna aya za Biblia zinazokemea tawala dhalimu zinazofanya mauaji, unyanyasaji, au kuteka watu wasio na hatia: 1. Kutoka 20:13 "Usiue." Hii ni mojawapo ya Amri Kumi ambayo inakemea waziwazi...
2 Reactions
1 Replies
183 Views
Kama wewe ni mtumiaji wa mtindi utakuwa shuhuda hawa jamaa hawana mpinzani. Maziwa bora kabsa
13 Reactions
29 Replies
1K Views
Afrika ni bara tajiri sana duniani. Lina rasilimali za kila aina kuanzia ardhi nzuri inayofaa kulima mazao ya kila aina, maji, hali nzuri ya hewa, uoto wa asili ikiwemo misitu, madini, mafuta...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu, Najua nitakuwa sipo peke yangu, lakini mara nyingi huwa nikienda kwenye hizi hoteli kubwa the likes of Serena, Kilimanjaro Hyatt, huwa nakutana na bendera za nchi mbalimbali. Zamani...
3 Reactions
9 Replies
549 Views
Back
Top Bottom