Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Inashangaza kuona stendi zote zilizojengwa awamu ya 5 zimegeuka kuwa magofu. Kuanzia Chato Hadi Sumbawanga, Magufuli-Mbezi Hadi Dodoma ,stendi zilizogharimu mabilioni Sasa wateja wamezikimbia na...
13 Reactions
163 Replies
4K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imewaachia huru wafanyakazi wawili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya...
4 Reactions
6 Replies
576 Views
Mbele ya Waziri wa Tamisemi na Viongozi wengine akiwemo Mbunge, Jiji la Mbeya wametia Saini Kwa mbwembwe kuanza Ujenzi wa stendi Kuu ya Mabasi,soko na Barabara. Kwa picha (renders) walizoweka...
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself? Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend...
35 Reactions
220 Replies
10K Views
Wataalam naombeni utofauti wa sehemu hizi pamoja na sifa zake. BAR, NIGHT CLUB na RESORT, sifa ya bar ni ipi, ya resort ni ipi na sifa ya...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Zaidi ya watu 200 wakazi wa kijiji cha Kagunga, Halmashauri ya wilaya ya Kigoma, mkoani Kigoma wako mafichoni/ porini huku usalama wao ukiwa shakani kutokana na kile kinachodaiwa uwepo wa...
1 Reactions
8 Replies
676 Views
Naona Makemeo yanazidi kuwa mengi. Wapendwa, kukemea kwetu hakubadilishi lolote kwa yule aliyekwisha kufa. Ni Mungu mwenyewe wa Haki ndiye ataitwaa roho ya mja wake nanyi mtabakia na hayo U...
2 Reactions
19 Replies
307 Views
Samahani, hapo swali ni moja tu maana kuna mtu akishakunywa pombe tu anafanya vitu vya hovyo sana, baadae anarudi anakaa sawa, then anarudia tena makosa tena yanakuwa makubwa tu, watu wanamsamehe...
1 Reactions
4 Replies
212 Views
Hukumu ya kesi ya kulawiti inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC), Dkt. Yahya Nawanda inatarajiwa kusomwa leo Ijumaa Novemba 29, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza. Kesi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Husika na mada tajwa hapo juu, Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi. Pili...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo...
11 Reactions
104 Replies
10K Views
"Pray for Palestine" "Pray for Ukraine" "Pray for Congo" "Pray for Kariakoo" Hizi zimekuwa nyimbo kila mahali utakapopita mtandaoni imekuwa ni kawaida ya wanaoamini kuna Mungu wakijifariji kwa...
2 Reactions
5 Replies
241 Views
Hivi vitabu vya Mungu tunavidharau bure kusema usioe mwanamke ambaye sio bikra utakuwa umefanya big mistake kubwa. Wengi wetu tunachukulia maneno haya ni uongo na pia Hayana maana yeyote kwetu...
9 Reactions
15 Replies
603 Views
Swali linajieleza wakuu kwanini chanjo mfano ya corona au nyingine hawachomi mkono wa kulia
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Wakuu habari za wakati, ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Naomba kufahamu utaratibu wa kuonana na watu au ofisi ya watu wa usalama wa taifa katika ngazi ya mkoa.
2 Reactions
2 Replies
371 Views
Habari zenu ndugu zangu, Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa. Nimepoteza kazi...
10 Reactions
89 Replies
3K Views
Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal. Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine. Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail. Nitaweka...
3 Reactions
21 Replies
24K Views
Nipo Ulaya; na kila ninachokiona na kunisikitisha ni jinsi watu weusi sisi tuna makelele sehemu zote na nyingi haswa tukiwa kw public transport au kw vyumba vya kushare; yaani lijitu linaongea...
4 Reactions
21 Replies
899 Views
Kuna hii mbinu mpya ya kisasa ambayo omba omba wanatembea na hao watoto kwa ajili kuomba mtaani sioni future nzuri.
0 Reactions
4 Replies
159 Views
Siku ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Binadamu Wanawake huadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Novemba. Siku hii inatambua juhudi za wanawake wote wanaofanya kazi kwa bidii kutetea haki za...
0 Reactions
2 Replies
302 Views
Back
Top Bottom