Arusha ya leo ni safi, wanaarusha wote wana furaha, maji ya kumwaga, huduma za afya mwake mwake, mashule ndiyo usiseme, environmental quality and standards safi, bado machache tu Arusha iwe ya...
Kuna kundi la watu wapo eneo la Geti la Pili kwenye bandari kavu jijini Mbeya, mbele kidogo ya Iyunga unapoelekea Mbalizi. Watu hawa hukamata bajaji mchana kweupe wakiwa na marungu kuzuia bajaji...
Siku ya jana nimepeleka document zangu kwa ajili ya kupata passport lakini nimeambiwa inahitajika barua ya mualiko pamoja na copy ya passport ya mtu ninae kwenda kumtembelea.
Kama kuna mtu yuko...
Usiombe mabaya yatakukuta
porojo za bongo
15-02-2011 ilikuwa jumanne tulivu, tukiwa uwani tukipiga stori za hapa na pale, nawakumbuka baadhi ya watu wachache tulio kaa pale uwani, dada g,dada...
Ni shule ya wasichana iliyo katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara.Inamilikiwa na kanisa la Anglican dayosisi ya Mara.
Taaluma katika shule hii ni ya wastani sana ukilinganisha na hadhi...
Wadau, nawapa tahadhari kuwa huu mkopo wa NMB wa Mshiko Faster, unapanda na kushuka utadhani bei ya hisa kwenye masoko ya hisa kwenye masoko ya hisa duniani. Kwahiyo, ukikopa, usitarajie kile...
Hakuna namna ya kuniambia kuwa Adam na hawa hawakuwa watanzania.
Picha linaanza, huko bonde la olvai (umasaini) ambapo Dr. Leakey aligundua fuvu la kichwa cha binadamu wa kale zaidi (Kama sio la...
1. Badhi ya namba unajibiwa namba unayopiga umekosea chunguza tena, inawezekana ya mumeo au mkeo.
2. Ukitaka kuunganisha YAS pesa unaabiwa bad connection or wrong MMI
3. Ukitaka kujiunga bando...
Vijana nafasi yetu iko wapi? Sijawai kuona kijana mwenye umri Kati ya miaka 18-30 akiteuliwa na Rais kuongoza taasisi yeyote ya umma!
Wazee wa miaka 70 bado wapo serikalini wanabadilishwa kutoka...
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuheshimu mikataba yake na kampuni tanzu ya Adani Group licha ya mashtaka mapya dhidi ya Gautam Adani, mwenyekiti bilionea wa kundi hilo, anayekabiliwa na...
Naomba wenye namba na masiliano makoa makuu Maboto Micro finance, atusaidie.
Tunaomba balance tuwalipe madeni yenu mkononi hamtaki mnataka kumshikiria mteja ili iweje, hamjui dunia ya leo ni soko...
Habari za pilika Na majukum.. Kuna kitu Naomba kufahamu kutoka kwenu wakuu.... Hususan waliosoma chuo cha NIT.. au ambao bado wanasoma..
Nina mdg angu anasoma pale NIT ila hadi leo analalamika...
Haya ndio Yale Yale ya Mr.Tumbili na Mke wake.
My Take: Mambo ya ndege wasiofanana hawawezi kuruka pamoja.
https://x.com/swahilidigital_/status/1862009393295810976?t=gJsJpp2KrYc1oxlsYO2xBg&s=19
Kuna wakati Tunafanya kazi nyingi Biashara nyingi lakini kadri ya tunavyoendelea kuishi unaendelea kugundua fursa kila iitwapo leo,Dunia ya sasa ina fursa nyingi sana hasa kwetu vijana wenye nguvu...
Wakuu salam,
Hivi karibuni internet imekuwa changamoto kweli, wakati mwingine unakuwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kucheza game. Kadri siku zinavyoenda hali inazidi kuwa mbaya
Na hii ni...
Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business.
Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linamtafuta popote alipo mmiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu 15 na...
Watu wakiambiwa kuwa majina yanaunda wanachukulia powa, tanzania ni moja kati ya nchi ambayo wazazi awazingati namna ya kuwapa majina watoto wao, wanaangalia tu namna inavyo sound mdomoni, nchi...
Ni kwamba uchumi umeyumba au shule za English Mediums zimekosa mvuto ama nini?
Mtaani kwetu watoto almost 20 walikokuwa wanasoma shule za Ems now wamerejeshwa Kayumba.
Hii imetokea ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.