Hakuna ubishi kuwa trending ya matokeo ya hivi karibuni inaonesha CCM inashinda kwa kishindo kikubwa,kwa mwenendo huu inawezekana kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani hali ikaendelea hivi hivi lakini...
Msaada jamani
Maisha yangu yako mashakani
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ndani kwangu kuna nge tena mkubwa tu
Nilitaka kumuua kakimbilia chini ya kochi
Sijui nitamtoaje...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Kwa mujibu wa Kanuni za kijeshi Kanali anatakiwa awe na vigezo au sifa zipi ili kusudi apandishwe cheo na kuwa Brigedia Jenerali...
Hawa Jamaa usiombe uingie kwenye 18 zao, utajuta kuwafahamu.
Siku moja Tulikuwa kwenye foleni ya kuelekea mjini, kuna jamaa wa Lori akaziba geti la kuingilia pale kambi ya Abdallah Twalipo...
Hapa Mtaani kwetu Magomeni Jitini katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda wa wiki tatu sasa.
Kuna Barabara imechimbwa, hakuna ujenzi...
Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee.
Inawezekana...
Kawa kama zombi
Niliwahi kununua playstation Kwa mwanafunzi flan hivi wa chuoni alikuwa anadaiwa ada na hana pesa, aliniuzia hio mashine Kwa laki 3 na nusu, lengo langu lilikuwa niiuze hata kwa...
Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa
kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini
wanaofanya vizuri kwenye...
Usiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini...
RAFIKI YANGU ANAOMBA MSAADA
HAJUI AFANYAJE ,KADHULUMIWA
HII NI STORI YAKE KWA UFUPI
".Nimezaliwa Kigoma .siweki wazi ni Kigoma sehemu Gani Kwa sababu ni hatari kwangu nitoshe kusema vile...
Picha: Pinterest
Mimi nimeanza kutumia X kwa sasa toka 2017. Niliheshimu mtando huu sana kwa habari nzuri na kwa ufupi kutokwa kwa watu mbalimbali.
Leo hii unaingia X unakuta ndio watu...
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
Vipi,mbona hakufika?
Kama anataka kuja,anakaribishwa.
Niliweka namba yangu jana,0652 079 561.
There is no problem.
Anaweza kuja.
Yaani pale niliposema Lissu yuko mahututi hospitali,yupo mtu mmoja...
Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa...
Hiki ndicho kipande chako baada ya kurekebisha alama za uandishi:
Kwa muda sasa, najaribu kumchunguza kijana huyu anaye fahamika kama Robert Herieli almaarufu Mtibeli.
Kupitia maneno yake na...
Salama wakuu
Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu
Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja...
Habari waungwana,
Mimi nilisoma udereva katika chuo kimoja cha veta cha serikali huku kaskazini mwaka 2018 na kupewa leseni Class D,
Sasa nina taka kwenda kusomea tena kwa ajili ya kupata...
Habari za majukumu Wana JF
Majanga mengi ya moto majumbani na hata katika maeneo mbalimbali ya shughuli za kibiashara( masoko) yamekuwa yakisababishwa na usukaji/ uunganishwaji mbovu wa nyaya za...
Muhimu: Wanywaji wanakunywa bila kuharibu ratiba za shughuli zao muhimu, ni tofauti na walevi.
Haimaanishi kwamba ni wote lakini kuna kundi kubwa si haba la wanywaji wa pombe wana maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.